Waraka wa UAMSHO unaochochea machafuko Zanzibar

Waraka wa UAMSHO unaochochea machafuko Zanzibar

Nadhani kuna kikolezo hapa! Si vyema kudafua mavitu na kuwabambikizia hawa!

Siamini huu waraka ni wa kweli. Kama ni kweli, basi tuna tatizo kubwa kuliko tunavyodhania. Maana ni juha tu anayeweza kutoa siri za mipango yake, kwamba amesomesha vijana huko Somalia na hata kutabiri Msiba Mkubwa! Lakini ni ......
Nakupa like mkuu, inanipa tabu kuamini waraka husika.
Kama ni kweli basi siamini kama ni watu ambao wanaweza kutimiza uhalifu wowote bila kujulikana kabla.
 
Mzizi wa Fitna hadi wakristo wanaitwa MAKAFIRI ni huu hapa:


QURAN 5:72-73
72. Hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu!
Na hali Masihi mwenyewe alisema: Enyi Wana wa Israili! Muabuduni Mwenyezi Mungu, Mola wangu Mlezi na Mola wenu Mlezi. Kwani anaye mshirikisha Mwenyezi Mungu, hakika Mwenyezi Mungu atamharimishia Pepo, na mahala pake ni Motoni. Na walio dhulumu hawatakuwa na wa kuwanusuru.
73. Kwa hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni wa tatu wa Utatu. Hali hakuna mungu ila Mungu Mmoja.
Na ikiwa hawaachi hayo wanayo yasema, kwa yakini itawakamata adhabu chungu wale wanao kufuru

Kumbe jibu lipo kuwa MUNGU ni MMOJA, si muache wanaosema makufuru watapata adhabu yao na nyie wengine mtaionja pepo yenu? tabu iko wapi? lazima umlazimishe mwingine kufuata unachoamini? si umempa taarifa imetosha yeye kuamini au la? be open minded, think out of the box!!
 
Haya tumeshaona! unataka tufanyeje sasa!

Huo waitwa ujeuri, OKOKA mkubali MUNGU MMOJA, na YESU kuwa BWANA NA MWOKOZI WAKO, UMKIRI uione pepo vinginevyo ukateketee na mapepo..wallahi tutaangamia
 
Haya tumeshaona! unataka tufanyeje sasa!

Huo waitwa ujeuri, OKOKA mkubali MUNGU MMOJA, na YESU kuwa BWANA NA MWOKOZI WAKO, UMKIRI uione pepo vinginevyo ukateketee na mapepo..wallahi tutaangamia
 
Kuwaruhusu wajiite Zanzibar ni Nchi ndio kosa

Serena to meet Azarenka in Doha final



Fox News ‎- 3 days ago
Doha, Qatar – Current world No. 1 Victoria Azarenka and American Serena Williams won their respective semifinal matches on Saturday at the ...


wakati uamsho wanaendelea na harakati zao, wenzao Doha walikuwa wana burudika na Mchezo wa Tennis ya wanawake wa kithungu, wasio ficha sehemu za mwili wao vithuri, tena wengine na mikufu yenye Msalaba.
na sasa hivi ya Dubai yameanza
 
Usidhani akifa Ponda, Ilunga na Farid ndio kupona.

Kwanza wakifa hao ndio moto utawaka vibaya. Wakifa wao ni faida kwetu na kwao wenyewe pia,kitakachobaki ni mimi na wewe kumtafuta wakumtanguliza mwenzie. Ukiniua sina hasara! Vita ikifika mlangoni ndio utajua ubaya wake na wala sio kitu cha kushabikia, unashabikia kwakuwa unatazama tu kwenye tv ngoja siku hali ikufike hapo hutatamani tena na utaona bora uendelee kutazama kwenye TV.

Mateso na manyanyaso zaidi kwa jamii yetu waislam hatutavumilia. Amani ni tunu yetu sote basi na tuilinde. Walioua Zanzibar wanasababu zao binafsi kwakuwa Uislam haufundishi kuuwa watu bila ya hatia lakini kama mtu wetu kauliw bila ya hatia tunaruhusa ya kulipiza kisasi.

Serikali iliendee suala hili kwa umakini mkubwa sana na endapo watajichanganya hapo ndio umwagji damu Tanzania utakuwa rasmi!
Si unaona hata maneno yao. Uislamu haufundidhi kuua lskini umwagaji damu utakuwa rasmi!
 
Kiini macho cha kuficha ukweli....Sisi tunataka kupewa majibu yenye tija sio upuuzi wa kutuambia uamsho au mama yake na uamsho, huo uamsho upo nje ya tanzania. Hao wanaojiita usalama wa taifa wanakula kodi zetu wamesahau kazi zao wameishia kueneza siasa na kulinda viongozi.......Binafsi sitaki huu urojo/----- nataka majibu yenye tija, mkumbuke sponji likijaa maji linaanza kuvuja.
Usalama wa taifa wanehamia chadema chezea 2015 wewe
 
"Insha allah kwa nguvu za allah"
Aisee! Kumbe huyo allah anaagiza hayo mauaji, sasa jamani nitakosea nikisema allah ana dhambi, na ataungua moto jehanamu?
Mwenye dhambi ni yule mungu wenu aliyewaruhusu kufunga ndoa za mashoga kanisani huku mkifurahia ... huyu mungu wenu ndiye atakeinguzwa Jehannam na Allah
 
Serena to meet Azarenka in Doha final



Fox News ‎- 3 days ago
Doha, Qatar – Current world No. 1 Victoria Azarenka and American Serena Williams won their respective semifinal matches on Saturday at the ...


wakati uamsho wanaendelea na harakati zao, wenzao Doha walikuwa wana burudika na Mchezo wa Tennis ya wanawake wa kithungu, wasio ficha sehemu za mwili wao vithuri, tena wengine na mikufu yenye Msalaba.
na sasa hivi ya Dubai yameanza

Andika kiswahili vizuri ... mambo yenu ya ki-David cameroon Huko Huko ....
 
hand-amputation.jpg


Kwamba kwa mtindo huu ndio watu wanaitafuta mbingu... ni uongo na ushetani!!!!!
 
haya ndo matatizo ya kuangalia movie za kichina tangu utotoni mpaka ukubwani maana hizi rhetoric ni pumba tupu. hii ishu ya uislam vs ukristo ni idea iliyotoka nje ambayo tukikaa na kutafakari siyo idea ya kitanzania kabsaa. ebwanaee shemeji yangu ni mwislamu halafu tunaheshimiana kichizi, nafahamu fika kuna mtu kibao hapa ikibidi panga pangua ndugu zako kutenganisha wakristo na waislamu itakuwa vigumu saaana maana tunaishi wote kwa pamoja humu. sitoshangaa tukija gundua hili tishio la machafuko ni njama ya CCM manake HAWATAKI kuachia ngazi, kusema kweli niko radhi kupiga vita fisadi kuliko kukosana sababu dini. Ningependa sote tuchukue muda kusikiliza ule wimbo wa juma nature "umoja wa Tanzania" thats some real ish, chunga sana mwana utakuja juta ulichojiombea
 
Mwenye dhambi ni yule mungu wenu aliyewaruhusu kufunga ndoa za mashoga kanisani huku mkifurahia ... huyu mungu wenu ndiye atakeinguzwa Jehannam na Allah

Ni huyo mtume wako aliyependa uzi..... Allah wenu anaruhusu kuua binadamu?
 
Siku zote huwa siamini kama Uislam ni dini,inahamasisha watu wake kuwa na Visasi,Vurugu na Chuki,wanaweza kufanya chochote wakati wowote hata kama jambo hilo litawagharimu na wao pia!!!Ni dini isiyoamini Ustaarabu wala kujali ya baadaye,Mifano ni Mingi.Rejea!!!!!!!


JE WAJUA KUWA MAJINI YAANI MASHETANI NI NDUGU WA WAISLAM.
HIVI UNAJUA KUWA MAJINI (MASHETANI ) NI NDUGU ZA WAISLAMU? (JINNIE (EVIL SPIRITS) HAVE SPIRITUAL RELATION WITH MUSLIMS)


Soma ufafanuzi wake huu MAJINI (MASHETANI) NI NDUGU ZA WAISLAMU.

UTANGULIZI.

Majini ni viumbe visivyoonekana kwa macho ya kawaida ya wanadamu. Hii ni kwa sababu viumbe hivi viko katika asili ya roho ya kutokuonekana. Majini huitwa pia Ibilisi, Shetani, Pepo mchafu au Joka la zamani.

ASILI YAO:

Majini yalikuwa ni malaika kabla ya kuungana na yule Muasi Mkuu wa Mungu, yaani Lucifer aliyemuasi Mungu mbinguni na kutaka ukubwa wa kufanana na Mungu, na ndipo akatupwa huku duniani yeye pamoja na malaika zake, na huku wakiwa wamenyang’anywa utukufu waliokuwa nao hapo awali. Vita hiyo iliongozwa na Malaika Mkuu wa Mungu wa Mbinguni yaani Jehova kumtupa chini huyo malaika muasi pamoja na malaika zake. Viumbe hivyo vilivyotupwa ndivyo leo vinavyoitwa MAJINI au MASHETANI au PEPO WACHAFU au IBILISI au JOKA LA ZAMANI.


Uf. 12:7-12 “ Kulikuwa na vita mbinguni, Mikael na Malaika zake wakapigana na yule joka, yule joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake, nao hawakushinda, wala mahala pao hapakuonekana tena mbinguni. Yule joka akatupwa yule mkubwa nyoka wa zamani aitwaye Ibilisi na shetani audanganyaye ulimwengu wote, akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye. Nikasikia sauti kuu mbinguni ikisema sasa kumekuwa wokovu, na nguvu na ufalme wa Mungu wetu kwa maana ametupwa chini mshtaki wa ndugu zetu yeye awashtakiye mbele za Mungu wetu. Mchana na usiku. Nao wakamshinda kwa damu ya mwanakondoo na kwa neon la ushuhuda wao ambao hawakupenda maisha yao hata kufa. Kwa hiyo shangilieni enyi mbingu, nanyi mkaao humo. OLE WA NCHI NA BAHARI! Kwa maana yule Ibilisi ameshuka kwenu mwenye ghadhabu nyingi akijua ya kuwa ana wakati mchache tu”

Hivyo kwa mistari au aya hizo unaanza kupata taswira ya kile tunachijifunza kuliusiana na majini.
Ki- Biblia Malaika ni viumbe walio katika hali ya roho ila wanaweza kuonekana kwa umbile la mwanadamu Mw. 18:1-18, Lk 1:26-28, Kut 3:1-6
Katika Ebr 1:13-14 “ Yuko Malaika aliyemwambia wakati wowote uketi mkono wangu wa kuume hata nitakapowaweka adui zako chini ya nyayo zako? Je, hao si ROHO watumikao wakitumwa kuwahudumia wale watakaourithi wokovu?

Biblia inazidi kubainisha namna ya kuumbwa kwao

Mw. 2:1 “ Basi mbingu na nchi zikamalizika na JESHI LAKE LOTE”

Ni katika jeshi hilo ambapo tunawapata hawa viumbe vya kiroho.

Na katika Kol 1:1:16 “ kwa kuwa katika yeye vitu viliumbwa vilivyoko mbinguni na vilivyo juu ya nchi. Vinavyoonekana na visivyoonekana……”

Jeshi hilo ni huru linaweza kujiamulia lolote na ndiyo maana 1/3 ya hao roho yaani malaika waliasi na kufanya machukizo mbele za Mungu na wakafukuzwa (Uf 12:7-12) na wengine wamefungwa.

Katika Yuda 6 “ Na malaika wasioilinda enzi yao wenyewe, lakini wakayaacha makao yao yaliyowahusu amewaweka katika vifungu vya milele chini ya fiza kwa hukumu ya siku ile kuu”

Tunasoma pia katika 2 Petro 2:4

“ Kwa maana ikiwa Mungu hakuwaachilia malaika waliokosa, bali aliwatupa shimoni akawatia katika vifungu vya giza walindwe hata ije hukumu”
kwa hiyo Majini ndiyo mashetani na mashetani ndiyo majini.Katika kitabu Lawi 17:7

“Wala hawatatoa tena sadaka zao kwa wale MAJINI ambao huwafuata ili wafanye uasherati nao, sheria hii itakuwa sheria ya milele kwao kizazi baada ya kizazi”.


Kwa sababu majini hayo tangu yalipotupwa toka mbinguni wana wa Israel hawakuwa na ufahamu wa kutosha kuyahusu baadhi yao walijikuta wakiyatolea sadaka huku wakiamini kuwa wamemtolea Mungu sadaka. Na kumbuka kuwa mara nyingi wana wa Israel walipotoa sadaka zao nyingi zilikuwa za wanyama na hivyo kutakiwa kuchinja na kutoa damu ambayo ni sehemu kubwa ya chakula cha majini.
Katika Zaburi 106:34-40.

“ Hawakuwaharibu wtu wa nchi kama BWANA alivyowaambia, bali walijichanganya na mataifa wakajifunza matendo yao, wakazitumikia sanamu zao nazo zikawa mtego kwao naam walitoa wana wao na binti zao kuwa dhabihu kwa MASHETANI wakamwaga damu isiyo na hatia, damu ya wana wao na binti zao walio watoa dhabihu kwa sanamu za Kaanani. Nchi ikatiwa unajisi kwa damu.

Ndivyo walivyotiwa uchafu kwa kazi zao, wakafanya uasharati kwa matendo yao. Hasira ya Bwana ikawa juu ya watu wake akauchukua urithi wake.
Hivyo kutokana na kutokuonekana kwao hayo majini yaliwahujumu wana wa Israel hata yakawasababishia wamwasi Mungu kwa kuyatolea sadaka kinyume cha Mungu wa mbinguni aliyehai.

Katika Kumb. 32:17-20.

“ walitoa sadaka kwa Pepo si Mungu, kwa miungu wasioijua, kwa miungu mipya iliyotokea siku zilizo karibu ambayo baba zetu hawakuiogopa,

Humkumbuki muumba aliyekuzaa Mungu aliyekuzaa humkumbuki. Bwana akaona akawachukia kwa sababu ya kukasirishwa na wanawe na binti zake. Akasema nitawaficha uso wangu nitaona mwisho wao utakuwaje maana ni kizazi cha ukaidi mwingi watoto wasio Imani ndani yao.


Pia katika Math 12:43-45
“ Pepo Mchafu amtokapo mtu hupitia mahali pasipo maji akitafuta mahali pa kupumzikia asipate. Halafu husema nitarudi nyumbani kwangu nilikotoka hata akifa aiona tupu imefagiwa na kupambwa, mara huenda akachukua pamoja naye pepo mengine saba walio waovu kuliko yeye mwenyewe, nao huingia na kukaa humo, na mtu yule hali yake ya mwisho huwa mbaya kuliko ya kwanza.

Katika Biblia tunaona kipindi Yesu alipotwaa mwili na kuja duniani, hao majini, au mashetani au Ibilisi au Mapepo wachafu yalimfahamu na yalianza kulalamika mbele zake.

Math 8:28-31 “ Naye alipofika ng’ambo katika nchi ya Wagerasi, watu wawili wenye pepo (Majini) walikutana naye, wanatoka makaburuni wakali mno, hata mtu asiweze kuipitia njia ile. Na tazama wakapiga kelele wakisema tuna nini nawe mwana wa Mungu? Je, umekuja kututesa kabla ya muhula wetu………………. (MK 5:1-9).

Majini hayo yanafahamu kuwa Yesu ndiye atakayewahukumu ila yalichoshangaa ni kwamba mbona amewahi kabla ya kipindi chenyewe cha yeye Yesu kuyahukumu kwenda Jehanamu ya Moto?

Yesu alikuja duniani ili kumwokoa mwanadamu kutokana na mateso ya hayo majini au mashetani kwa sabahu katika Uf. 12:12 Malaika Mikael alipokuwa anawafukuza hao malaika waasi yaani hao majini au mashetani alisema OLE WA NCHI NA BAHARI ndiyo maana Yesu ilibidi aje duniani kupambana na huyo shetani, Joka, Ibilisi kwa niaba yetu maana sisi tusingeweza na wale, majini walisema kumuambia Yesu ukitutoa tuache tukawaingie nguruwe na ngurume wale wapatao 2000 waliona bora kufa baharini kuliko kuishi na viumbe hivi majini au mashetani miilini mwao na hivyo kutimiza ujumbe wa malaika Mikaeli “ Ole wa nchi na bahari”. Baharini ni sehemu mojawapo ambapo majini huishi.

Unabii wa kuangushwa mji mkubwa uliojisifu sana (Babeli) ulipotolewa, ilitabiriwa kuwa, hayatakuwa tena makazi, bali patabaki yatafanya makazi huko.

Isaya 13:12. lakini huko watalala hayawani wakali wa nyikani na nyumba zao zitajaa bundi, mbuni watakaa huko, na majini atacheza huko.
Ndipo tunaposoma katika Yoh 12:31, Yesu anasema “sasa hukumu ya ulimwengu huu ipo, sasa Mkuu wa ulimwengu huu atatupwa nje”.

Na katika 1 Yoh 3:8

“atendaye dhambi ni wa Ibilisi kwa kuwa Ibilisi hutenda dhambi tangu mwanzo. Kwa kusudi mwana wa Mungu alidhihirishwa ili azivunje kazi za Ibilisi.

Kama tulivyosoma toka sura na aya mbalimbali ndani ya Biblia kuwa majini hayo yanasubiri adhabu Biblia inatueleza atakaye ya hukumu.

Math 25:31, 41 “Hapo atakapokuja mwana wa Adamu pamoja malaika watakatifu pamoja naye…………… Kisha atawaambia na wale walioko mkono wake wa kushoto ondokeni kwangu mliyolaaniwa mwende katika moto wa milele aliyowekewa tayari Ibilisi na malaika zake”.

Hivyo kwa mujibu wa Biblia Majini yaani mashetani ni Adui yetu na ndiyo maana alipokuja Mohammad yalianza kukanusha kuwa Mungu hana mwana ili kuwavuruga waislamu wasiijue kweli (Soma Quran 112:1-4, Al- Kahf, 18:3) ya kumwamini mwana wa Mungu Yesu.
Kwa bahati mbaya sana mambo yahusuyo majini katika imani ya Kiislamu ni tofauti sana na vile tulivyosoma katika Biblia. Ingawa Quran na Hadithi za Muhammed, Mtume wa Waislamu, Vinatutaka sisi wakristo tumwamini allah S.W. mungu anayeabudiwa na Waislamu Misitikini.
Katika Suratul Waqia 51:56.

“ Sikuwaumba majini na watu ila wapate kuniabudu” katika Quran Suratul Al- Ankabut (Buibui), 29:46-47) “ Wala msibishane na watu waliopewa kitabu (kabla yenu) ila kwa yale (majadiliano) yaliyo mazuri isipokuwa wale waliodhulumu miongoni mwao na semeni tunaamini yaliyoteremshwa kwetu na yaliyoteremshwa kwenu na Mungu wetu na Mungu wenu ni mmoja nasi ni wenye kunyenyekea kwake”.

Waliopewa kitabu kwa mujibu wa Quran ni Wayahudi na Wakristo. Je, hoja kuwa Mungu wetu na Mungu wao wanayemwabudu kuwa ni mmoja je ni sahihi?. Tuchunguze kuhusiana na mafundisho ya Allah S.W. wa misikitini kuhusu majini ndipo tutajua ni mmoja au la!.

Muislam yeyote ili imani yake ikamilike ni lazima aamini yanayoonekana na yasiyoonekana katika Suratul Al- Baqarah (Ng’ombe Jike la Njano), 2:1-3.

“ Alif Lam Mym. Hiki ni kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake ni uongozi kwa wamchao mwenyezi Mungu ambao huyaamini yasiyoonekana (maadaam) yamesemwa na mwenyezi Mungu na Mtume wake) husimamisha sala na hutoa katika yale tuliyowapa.

Quran peke yake ukiichunguza utaona kuwa majini yamechukuliwa kama ni viumbe tofauti na mashetani, wanasema hivyo kwa sababu katika uislamu majini yamepewa hadhi kubwa sana na ya kipekee. Hadhi hiyo ni kwa sababu majini waliamini Quaran.

Tusomapo katika Quran Suratul al- Ahqaf, (Kichuguu cha mchanga) 46:29


“ Na (wakumbushe) tulipokuletea kundi la majini (kuja kwako) kusikiliza Quran. Basi walipoihudhuria walisema (kuambiana):- “ Nyamazeni (msikilizeni maneno ya Mwenyezi Mungu)” Na ilipokwisha (Somwa) walirudi kwa jamaa zao wakiwaonya”.

Na ndani ya Quran kuna sura nzima inayoitwa sura ya majini (Mashetani) hiyo ni sura ya 72. katika sura hiyo inasema 72:1-3, 14. “ Sema: imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini liliisikia (Qurani) likasema hakika tumesikia Qurani ya ajabu inaongoza katika uongofu. Kwa hivyo tumeiamini wala hatutamshirikisha yoyote tena na Mola wetu na kwa hakika utukufu wa Mola wetu umetukuka kabisa. Hakujifanyia mke wala mwana……………………. Nasi wamo miongoni mwetu na wamo miongoni mwetu waliokengeuka waliosilimu hao ndiyo waliotafuta uwongofu.

Kwa hiyo aya hizi zinaonyesha kuwa Quran ilipokuja ndipo majini waliposilimu. Kumbuka kuwa Quran imeanza mwaka 610 B.K kipindi ambacho Biblia tayari ili kuwepo kwa karibu karne 6.

Akifafanua asili ya majini Mwanazuoni mkubwa wa kiislamu aitwaye Abdalllah Saleh Farsy aliye kuwa Kadhi Mkuu Zanzibar, kisha akawa Kadhi Mkuu Kenya katika kitabu alichoandika kiitwacho “ Maisha ya Nabii Mohammad” ule Uk. 31 anasema “ Katika safari yake ya kurejea Taif ndipo walipomjia majini wakasilimu kama inavyoonesha haya katika Suratul Jinn. Majini ni viumbe vyepesi vinavyokaa angani. havina viwiliwili kwa hiyo haviwezi kuonekana na wanadamu ila vinapojibadili kwa umbo lenye kiwiliwili. Na vina uwezo huo wa kujibadili kwa sura ya kuweza kuonekana. WAO NA MASHETANI WANA ASILI MOJA. Kwa hiyo asili ya majini ni shetani.
 
Usidhani akifa Ponda, Ilunga na Farid ndio kupona. Kwanza wakifa hao ndio moto utawaka vibaya. Wakifa wao ni faida kwetu na kwao wenyewe pia,kitakachobaki ni mimi na wewe kumtafuta wakumtanguliza mwenzie. Ukiniua sina hasara! Vita ikifika mlangoni ndio utajua ubaya wake na wala sio kitu cha kushabikia, unashabikia kwakuwa unatazama tu kwenye tv ngoja siku hali ikufike hapo hutatamani tena na utaona bora uendelee kutazama kwenye TV. Mateso na manyanyaso zaidi kwa jamii yetu waislam hatutavumilia. Amani ni tunu yetu sote basi na tuilinde. Walioua Zanzibar wanasababu zao binafsi kwakuwa Uislam haufundishi kuuwa watu bila ya hatia lakini kama mtu wetu kauliw bila ya hatia tunaruhusa ya kulipiza kisasi. Serikali iliendee suala hili kwa umakini mkubwa sana na endapo watajichanganya hapo ndio umwagji damu Tanzania utakuwa rasmi!
mh!kafa shehe osama, rogo, muhammad.... Hao ninani wao?Hivi mnaona Mungu wetu yuko likizo eeh! Tunakuja bro!
 
Mwenye dhambi ni yule mungu wenu aliyewaruhusu kufunga ndoa za mashoga kanisani huku mkifurahia ... huyu mungu wenu ndiye atakeinguzwa Jehannam na Allah
dogo uwe unasomaga qaraa! Yaani baada kukusanya wanadamu na majini kuijaza jehannam, itauliza kuna ziada? Hadi allah akitumbukiza miguu yake ikiwa ndiye kiumbe wa mwisho ndipo jehannam itasema kat kat kat yaani tayari imesha jaa! Sasa bandika aya au hadith inayosema allah alitoka motoni!
 
dogo uwe unasomaga qaraa! Yaani baada kukusanya wanadamu na majini kuijaza jehannam, itauliza kuna ziada? Hadi allah akitumbukiza miguu yake ikiwa ndiye kiumbe wa mwisho ndipo jehannam itasema kat kat kat yaani tayari imesha jaa! Sasa bandika aya au hadith inayosema allah alitoka motoni!

Wewe vipi usiniletee comedy na viroja...wahi vatican huko kuna batch mpya ya mashoga wanafunga ndoa kwa mkupuo
 
Back
Top Bottom