Hakuna waraka hapo ni uhuni tu.
Kutatua kweli tatizo sio kuvunja Muungano bali kuweka serikali moja Tanzania moja, hawa ni waislamu haramu wanaofadhiliwa na Iran na makundi arabuni ndio kwenye waraka wanaoitwa vijana wanaosoma nje ni waarabu wasiotaka kusikia neno mapinduzi, tukiwarudishia kisiwa watadai na pwani ya Tanganyika yote na hiyo ipo kwenye ajenda yao! Hapa tukamilisha kazi serikali moja manake SMZ ndio mlezi wa maovu yote na wauwaji wanajulikana wote lakini subutu kukamatwa
Usidhani akifa Ponda, Ilunga na Farid ndio kupona.
Kwanza wakifa hao ndio moto utawaka vibaya. Wakifa wao ni faida kwetu na kwao wenyewe pia,kitakachobaki ni mimi na wewe kumtafuta wakumtanguliza mwenzie. Ukiniua sina hasara! Vita ikifika mlangoni ndio utajua ubaya wake na wala sio kitu cha kushabikia, unashabikia kwakuwa unatazama tu kwenye tv ngoja siku hali ikufike hapo hutatamani tena na utaona bora uendelee kutazama kwenye TV.
Mateso na manyanyaso zaidi kwa jamii yetu waislam hatutavumilia. Amani ni tunu yetu sote basi na tuilinde. Walioua Zanzibar wanasababu zao binafsi kwakuwa Uislam haufundishi kuuwa watu bila ya hatia lakini kama mtu wetu kauliw bila ya hatia tunaruhusa ya kulipiza kisasi.
Serikali iliendee suala hili kwa umakini mkubwa sana na endapo watajichanganya hapo ndio umwagji damu Tanzania utakuwa rasmi!

Wewe acha kurud nyuma unajua ksa cha Mtume (s.a.w) kuamrishwa kupigana vita vya badr n kuondoa dhurma ya makafir hvyo waislamu wamevumilia baada ya kupata uhuru mpaka Leo wameshndwa na Inshaallah ktaeleweka mwaka huu
jamani dhulma ni neno la jumla mno na ni neno ambalo linatakiwa litumiwe na mtu asiye na maarifa wala hekima,kwa kadri ya niishivyo mateso shida nizipatazo mimi kwa kiasi kikubwa sana ni sawa au nafuu kwa baadhi ya rafiki zangu waislam,wapo ambao wanashida zilizo nafuu ya zangu,wapo ambao shida zetu zinafanana,na wapo ambao shida zao ni kubwa kuliko zangu, sasa unapoandika dhulma kwa waislam una maanisha nini hasa, au unamaanisha ni kipi ambacho mimi napata kwa kuwa tu ni mkristo ambacho wengine hawapati kwa kuwa tu ni waislam ?
kwa kukutabiria umesoma vizuri dini ya kiislam na kuielewa na ukachanganya na elimu hii ya dunia na ukaielewa pia,wenzako walio wengi hawajasoma dini wala darasani wanachokifanya ni kumsikiliza ustadhi ilunga,sheh kishik na ponda na wanajiita waislam.wanaudhalilisha uislam!Wewe Fadrashid; acha kuupotosha umma. Unajua maana ya vita vya badri??? kwa hiyo unataka kusema kuwa hapo mnapigana vita ya badri? kwa minajili na mafundisho sawia ya kupigana vita vya badri, ndicho mnachokifanya?????
Na mimi pia ni Muislam tena sio wa kuburuzwa. Nina tenda, nina abudu kwa elimu na si kibubusa.
Acheni kuiharibu dini, hayo mnayofanya hayako kwenye mafundisho ya dini. mwenye elimu safi ya dini hawezi fanya hivyo kama mnavyofanya kwa kisingizio cha dini.
Dini ya kiislam inaendeshwa kwa elimu na hekima, na sio kwa ghadhabu na ujinga.
Kwa haya mnayoyafanya mkasababisha mtume wetu na Mungu wakatukanwa, hakika nyinyi ndio mtakuwa mmewatukanisha na mtaubeba mzigo wake, kwa hayo yaliyosababishwa kwa mikono yenu.
Leo mnasingizia mafundisho ya kiislam ili kuhalalisha hayo???? mwalimu mkuu wetu mkuu na kiigizo chetu sisi waislam ni Mtume, kwa hayo myafanyayo kwa kisingizio cha uislam ni kumsingizia mtume, kwani hakufundisha hayo myatendayo. Na dhambi ya kumsingia mtume ni kubwa sana. Hayo mnayoyafanya kwa kisingizio cha uislam hayapo popote katika mafundisho ya dini yetu.
Wewe acha kurud nyuma unajua ksa cha Mtume (s.a.w) kuamrishwa kupigana vita vya badr n kuondoa dhurma ya makafir hvyo waislamu wamevumilia baada ya kupata uhuru mpaka Leo wameshndwa na Inshaallah ktaeleweka mwaka huu
Padre Mushi alimwua nani hadi mnalipiza kisasi? Hivi uislamu unaruhusu haya? Amani ni yetu wote na wala sio ya imani fulani wala watu fulani tu.Usidhani akifa Ponda, Ilunga na Farid ndio kupona.
Kwanza wakifa hao ndio moto utawaka vibaya. Wakifa wao ni faida kwetu na kwao wenyewe pia,kitakachobaki ni mimi na wewe kumtafuta wakumtanguliza mwenzie. Ukiniua sina hasara! Vita ikifika mlangoni ndio utajua ubaya wake na wala sio kitu cha kushabikia, unashabikia kwakuwa unatazama tu kwenye tv ngoja siku hali ikufike hapo hutatamani tena na utaona bora uendelee kutazama kwenye TV.
Mateso na manyanyaso zaidi kwa jamii yetu waislam hatutavumilia. Amani ni tunu yetu sote basi na tuilinde. Walioua Zanzibar wanasababu zao binafsi kwakuwa Uislam haufundishi kuuwa watu bila ya hatia lakini kama mtu wetu kauliw bila ya hatia tunaruhusa ya kulipiza kisasi.
Serikali iliendee suala hili kwa umakini mkubwa sana na endapo watajichanganya hapo ndio umwagji damu Tanzania utakuwa rasmi!
Huu -----....hauna mahusiano yoyote na Uislamu..lugha iliyotumika, matumizi ya maneno, tamathali za semi vyoote vinaashiria kama waraka huu haukuandikwa na waislamu.
Nawanukuu, kwenye mabano nafafanua ..."Viongozi wao waliomo ndani ya serikali (Maalim Seif Sharrif Hamad), na nje ya serikali (Jussa Ismail Ladhu)"...