Waraka wa UAMSHO unaochochea machafuko Zanzibar

Waraka wa UAMSHO unaochochea machafuko Zanzibar

Tambueni kuwa huwezi kuamua kitu au kusuluhisha kitu bila kujua chanzo
 
Hii inaonekana wazi kuna watu wamebuni huu waraka ili kuipaka matope uamsho .

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Wewe Fadrashid; acha kuupotosha umma. Unajua maana ya vita vya badri??? kwa hiyo unataka kusema kuwa hapo mnapigana vita ya badri? kwa minajili na mafundisho sawia ya kupigana vita vya badri, ndicho mnachokifanya?????
Na mimi pia ni Muislam tena sio wa kuburuzwa. Nina tenda, nina abudu kwa elimu na si kibubusa.
Acheni kuiharibu dini, hayo mnayofanya hayako kwenye mafundisho ya dini. mwenye elimu safi ya dini hawezi fanya hivyo kama mnavyofanya kwa kisingizio cha dini.
Dini ya kiislam inaendeshwa kwa elimu na hekima, na sio kwa ghadhabu na ujinga.
Kwa haya mnayoyafanya mkasababisha mtume wetu na Mungu wakatukanwa, hakika nyinyi ndio mtakuwa mmewatukanisha na mtaubeba mzigo wake, kwa hayo yaliyosababishwa kwa mikono yenu.

Leo mnasingizia mafundisho ya kiislam ili kuhalalisha hayo???? mwalimu mkuu wetu mkuu na kiigizo chetu sisi waislam ni Mtume, kwa hayo myafanyayo kwa kisingizio cha uislam ni kumsingizia mtume, kwani hakufundisha hayo myatendayo. Na dhambi ya kumsingia mtume ni kubwa sana. Hayo mnayoyafanya kwa kisingizio cha uislam hayapo popote katika mafundisho ya dini yetu.

Bahambie bahelewe bana...
 
"Insha allah kwa nguvu za allah"
Aisee! Kumbe huyo allah anaagiza hayo mauaji, sasa jamani nitakosea nikisema allah ana dhambi, na ataungua moto jehanamu?

we ulikuwa hujui? atauliza jehanamu umejaa? jehanamu itamjibu kuna kingine? kisha atatumbukiza miguu yake.. je hajaenda motoni huyo..
 
Usidhani akifa Ponda, Ilunga na Farid ndio kupona.

Kwanza wakifa hao ndio moto utawaka vibaya. Wakifa wao ni faida kwetu na kwao wenyewe pia,kitakachobaki ni mimi na wewe kumtafuta wakumtanguliza mwenzie. Ukiniua sina hasara! Vita ikifika mlangoni ndio utajua ubaya wake na wala sio kitu cha kushabikia, unashabikia kwakuwa unatazama tu kwenye tv ngoja siku hali ikufike hapo hutatamani tena na utaona bora uendelee kutazama kwenye TV.

Mateso na manyanyaso zaidi kwa jamii yetu waislam hatutavumilia. Amani ni tunu yetu sote basi na tuilinde. Walioua Zanzibar wanasababu zao binafsi kwakuwa Uislam haufundishi kuuwa watu bila ya hatia lakini kama mtu wetu kauliw bila ya hatia tunaruhusa ya kulipiza kisasi.

Serikali iliendee suala hili kwa umakini mkubwa sana na endapo watajichanganya hapo ndio umwagji damu Tanzania utakuwa rasmi!

mWISHOWE TUTAWAINGIZA HAWA WANYAMA MISIKITINI MWENU.

Pig 01.jpg

Pig 02.jpg
 
Kijana Soma hii:
Romans 14:9 For to this end Christ both died, and rose, and revived, that he might be Lord both of the dead and living.

10 But why dost thou judge thy brother? or why dost thou set at nought thy brother? for we shall all stand before the judgment seat of Christ.

11 For it is written, As I live, saith the Lord, every knee shall bow to me, and every tongue shall confess to God.

12 So then every one of us shall give account of himself to God.

haya maandiko hayamfai huyu mjahidina maana mungu wao si Mungu huyu wa kweli!
 
kwa hakika haya mambo ni mazito kulikotunavyodhani.
 
Ndugu hebu someni waraka huu uliosambazwa Zanzibar muone tunakoelekea

attachment.php

It is islamic to act that way. Islam deity commanded them to hate Christians and Jews. See this 5:51 O ye who believe! take not the Jews and the Christians for your friends: They are but friends to each other. And he amongst you that turns to them is of them. Verily Allah guideth not a people unjust. Make war on them until idolatry is no more and Allah's religion reigns supreme - 8:39

O Prophet! Exhort the believers to fight. If there are 20 steadfast men among you, they shall vanquish 200; and if there are a hundred, they shall rout a thousand unbelievers, for they are devoid of understanding. - 8:65

Fight those who believe neither in Allah nor the Last Day, nor what has been forbidden by God and his messenger, nor acknowledge the religion of Truth, even if they are People of the Book, until they pay the tribute and have been humbled. - 9:29 (another source: ) The unbelievers are impure and their abode is hell. (another source: ) Humiliate the non-Muslims to such an extent that they surrender and pay tribute.

Whether unarmed or well-equipped, march on and fight for the cause of Allah, with your wealth and your persons. - 9:41

O Prophet! Make war on the unbelievers and the hypocrites. Be harsh with them. Their ultimate abode is hell, a hapless journey's end. - 9:73

Do you see!!?? It is a command from their deity to fight those who do not believe and/or follow Allah of Islam who is full of peace and love.

Uislamu ni dini ya amani lakini wajinga wachache ndio wanao-utukanisha uislam uonekane ni usheitani,wasilamu msikubali hilo.

Can you show us the peace?

Now, listen to Allah who is full of love speaking to his ummah:

Allah has cursed the unbelievers and proposed for them a blazing hell. - 33:60
Unbelievers are enemies of Allah and they will roast in hell. - 41:14
 
wewe acha kurud nyuma unajua ksa cha mtume (s.a.w) kuamrishwa kupigana vita vya badr n kuondoa dhurma ya makafir hvyo waislamu wamevumilia baada ya kupata uhuru mpaka leo wameshndwa na inshaallah ktaeleweka mwaka huu
hivi mtu akisema wewe mgeseatakuwa amekutukana?
 
Usidhani akifa Ponda, Ilunga na Farid ndio kupona.
Kwanza wakifa hao ndio moto utawaka vibaya. Wakifa wao ni faida kwetu na kwao wenyewe pia,kitakachobaki ni mimi na wewe kumtafuta wakumtanguliza mwenzie. Ukiniua sina hasara! Vita ikifika mlangoni ndio utajua ubaya wake na wala sio kitu cha kushabikia, unashabikia kwakuwa unatazama tu kwenye tv ngoja siku hali ikufike hapo hutatamani tena na utaona bora uendelee kutazama kwenye TV.
Mateso na manyanyaso zaidi kwa jamii yetu waislam hatutavumilia. Amani ni tunu yetu sote basi na tuilinde. Walioua Zanzibar wanasababu zao binafsi kwakuwa Uislam haufundishi kuuwa watu bila ya hatia lakini kama mtu wetu kauliw bila ya hatia tunaruhusa ya kulipiza kisasi.
Serikali iliendee suala hili kwa umakini mkubwa sana na endapo watajichanganya hapo ndio umwagji damu Tanzania utakuwa rasmi!
Wewe kama uliambiwa ulipize kwa wasiohusika endelea na hapo ulipojificha utapatikana tu. Mlangoni kwangu wala hutadhubutu kupasogelea pana DAMU YA YESU
Kama huamini Saddam Hussein alianza hivihivyo na waarabu wenzake wakamsaliti akakutwa ndani ya Handaki na akanyongwa na wenzake.
Osama Bin Laden alitamba hivi hivyo akasalitiwa na Daktari wa Chanjo wa Jengo la Mji aliojificha
akadunguliwa bila ya kuwa na silaha. Hivyo Vita alivyovitangaza na wewe vitangaze lakini wakija wapelelezi wa kigeni ni nyie haohao mtakaotajana maana sasa hamtaki mnataka kutudhuru hata sisi

hapo ndio umwagji damu Tanzania utakuwa rasmi! Hapo HAITATOKEA jamaa yangu MSHINDWE KWA JINA LA YESU
 
Hii inaonekana wazi kuna watu wamebuni huu waraka ili kuipaka matope uamsho .
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
Sawa na hii You Tube ya Ustadhi Ilunga Hassan ya kuwataka mapadri wauawe ni ya uongo?

Ustadh Ilunga Hassan - Mauaji ya shahid Aboud Rogo na Unafiki katika sensa Part 1 - YouTube
Au fuatilia hii Post
Naomba muangalie hii amri ya kuua na wala tusiendelee kushangaa lakini hapa hakuna hata sheikh mmoja aliyeuawawa

Last edited by a moderator:
Nilishawai kuskia kuwa mtume alikufa vitani,ila kabla ajakata roho alisema kuwa "hii vita (ambayo alipigana)ndio itakuwa jihadi ya mwisho" na akawasii waislamu wote kuwa jihadi iliyo baki ni yakila mmoja apigane na nafsi yake katika kushindana na uovu na dhamira mbaya. Kama hayo niliosikia ni kweli sasa sijui wewe MaxShimba na hao wanaojiita waislam wanamtukuza vp mtume kwa kwenda kinyume na wasia wake.
 
Watu wapo wanapalilia , na tusipokuwa makini TZ imeisha....huu mchezo ni sa usalama sa taifa , najua wengine hawatofahamu ninenacho , waraka hata mimi naweza kuandika na kuchapisha ,halafu usiku nikasausambaza , haihitaji kuwa na Masters kufaham hili.( zamani kipindi cha chuki , usalama walitia vinyesi kwenye visima , walichoma maskani za ccm na kuwasingizia watu, na vituko tele tu)
Sio kama naunga mkono mauwaji , iwe ya padri , albino , muembe chai ni , yote nayalani na yanastahiki kupingwa na kila mtu...tuweni macho kwani hawa wanataka lao tu ni 2015.
Usishangae kwao kutoa kafara hata watu 5000 sio hasara...
TAFAKARI BILA JAZBA
 
Back
Top Bottom