Kama huo ndio uislam nasita kuiita dini
Ila sinagogi la Sheitwani au?!... Dini ya amani inaagiza kuua?!
Kama huo ndio uislam nasita kuiita dini
Kazana tu kuchochea kuni kwenye moto mkali unaowaka kwa waraka wako wa kipika.Kumbuka sote tuko kwenye jahazi moja na unachofanya wewe ni kulitoboa hilo jahazi ambapo litakapo zama tutaangamia sote.Endelea na huo mchezo wako mchafu.Wajinga wenzako watakupongeza kwa upuuzi wako.
why do you Muslims feel proud and prestigious to kill others? Kwanini mashehe wenu na maimamu wenu daima wanahubiri habari za kuwaua makafiri tu? Kwanini redio zenu na magazeti yenu daima yanatangaza uadui kati ya wakristo na waislamu. Hivi huyo mtume wenu ndiyo aliwafundisha kwamba dunia hii ni mali yenu na mtaishi wenyewe tu bila watu wengine wenye mitizamo tofauti na ninyi? Na akawafundisha kwamba akitokea mwenye imani tofauti mumuue? Hayo ni mafundisho ya Mungu au ya kwake binafsi yeye mtume?Usidhani akifa Ponda, Ilunga na Farid ndio kupona.
Kwanza wakifa hao ndio moto utawaka vibaya. Wakifa wao ni faida kwetu na kwao wenyewe pia,kitakachobaki ni mimi na wewe kumtafuta wakumtanguliza mwenzie. Ukiniua sina hasara! Vita ikifika mlangoni ndio utajua ubaya wake na wala sio kitu cha kushabikia, unashabikia kwakuwa unatazama tu kwenye tv ngoja siku hali ikufike hapo hutatamani tena na utaona bora uendelee kutazama kwenye TV.
Mateso na manyanyaso zaidi kwa jamii yetu waislam hatutavumilia. Amani ni tunu yetu sote basi na tuilinde. Walioua Zanzibar wanasababu zao binafsi kwakuwa Uislam haufundishi kuuwa watu bila ya hatia lakini kama mtu wetu kauliw bila ya hatia tunaruhusa ya kulipiza kisasi.
Serikali iliendee suala hili kwa umakini mkubwa sana na endapo watajichanganya hapo ndio umwagji damu Tanzania utakuwa rasmi!
Tatizo unajichanganya sana. Kule upo na huku upo unakuwa kama popo.
Jikite kwenye hoja, hapa watu wanachangia hilo bandiko hapo juu sasa wewe unachangia nini?
Kwamba Mateso na manyanyaso zaidi kwa jamii yetu waislam hatutavumilia.. Kwahiyo unamaanisha kuwa Kilichofanyika jana nk, nk, ni utekelezaji wa hii kauli yako inayoshasbihiana na Kauli nyingine ya Gaidi Ilunga anayelindwa na utawala wa Kikwete?
Waliouwa zanzibar wametoa huo waraka na wanakiri kutumia Uislamu wewe unakataa uu mwislamu kuliko waislamu hao wenzako? Wana sababu zao zipi hebu tushawishi tuweze nasi kung'amua.
Naona povu linakutoka punguza chuki zidi ya waislam.
Yaani ukiambiwa waislamu hawana akili,wewe ni mfano tosha!!!, nimewekea red huo upuuzi wako ili nikueleze na nikuulize yafuatayo:. kwanza, em niambie katika hiyo vita ya mmarekani, aliyoitangaza BUSH(not jesus), ni sehem gani ndani ya iraq, ulisikia watu walilazimishwa kuwa wakristo??Wewe hujui historia ya roman catholic, lakini pia rejea maneno ya bush wakati anavamia iraqi, alisema it is a crusade war- yaani vita vya kupigania msalaba ndio maana mpaka leo huwezi thibitisha silaha alizokuwanazo sadam, ujue kuwa vita anavyoendesha mmarekani, muingereza, mujerumani na mfaransa ni vya kueneza ukristo, labda uwe haupo tiyari kuelewa. Sasa unaposema ukristo ulienea kwa neno mie sikuelewi, kwani ulishasikia vita vya kidini tanzania, uislamu umeingiaje hapa, je mombasa, uganda, wakati mwingine mtu unataka kuwa biased, nchi za ulaya zote zipo vitani kusambaza ukristo, kama sio kweli niambie zinasambaza dini gani? Kwani kila nchi ina dhehebu lake la kikristo, wao wamegawana madhehebu kuondoa vita baina yao, we hushangai yesu kazaliwa jerusalem lakini hakuna ukristo kule hilo halikuingii akilini, mungu akuongoze<br>
Siku zote huwa
siamini kama Uislam ni dini,inahamasisha watu wake kuwa na
Visasi,Vurugu na Chuki,wanaweza kufanya chochote wakati wowote hata kama
jambo hilo litawagharimu na wao pia!!!Ni dini isiyoamini Ustaarabu wala
kujali ya baadaye,Mifano ni Mingi.Rejea!!!!!!!
ndugu hebu someni waraka huu uliosambazwa zanzibar muone tunakoelekea
![]()
Hawa Jamaa naanza kuwachukia sasa maana nimewavumilia sana kuwapenda, waraka gani huu sasa! Kwanini tusivunje muungano tuwaache na nchi yao?
waraka wa tiss, tunakoelekea siko....
Kutatua kweli tatizo sio kuvunja Muungano bali kuweka serikali moja Tanzania moja, hawa ni waislamu haramu wanaofadhiliwa na Iran na makundi arabuni ndio kwenye waraka wanaoitwa vijana wanaosoma nje ni waarabu wasiotaka kusikia neno mapinduzi, tukiwarudishia kisiwa watadai na pwani ya Tanganyika yote na hiyo ipo kwenye ajenda yao! Hapa tukamilisha kazi serikali moja manake SMZ ndio mlezi wa maovu yote na wauwaji wanajulikana wote lakini subutu kukamatwa
naomba sababu tatu zilizopelekea uamini huu ni waraka ulioandaliwa na TISS, hivi unadhani Othman alivyo mdini anaweza kukubali kuandaa kitu kama hii?