MkuuNi muda wa kumuomba Mungu kweli, viongozi wetu wanaipeleka wapi nchi hii? Hakuna vita iliyombaya na inayoangamiza vibaya kama vita ya udini. Kwa kweli waasisi wa Taifa hili wakifufuka leo na kuona hapa nchi ilipofikishwa wataomba wafe tena.
Kibaya zaidi hakuna kiongozi anayeweza kukemea uchochezi huu.
mhu! kwa hapa sina la kusema maana ninaishiwa nguvu japo nilikuwa najua kuwa ndivyo walivyo!Uislamu ni dini ya amani lakini wajinga wachache ndio wanao-utukanisha uislam uonekane ni usheitani,wasilamu msikubali hilo.
Usidhani akifa Ponda, Ilunga na Farid ndio kupona.
Kwanza wakifa hao ndio moto utawaka vibaya. Wakifa wao ni faida kwetu na kwao wenyewe pia,kitakachobaki ni mimi na wewe kumtafuta wakumtanguliza mwenzie. Ukiniua sina hasara! Vita ikifika mlangoni ndio utajua ubaya wake na wala sio kitu cha kushabikia, unashabikia kwakuwa unatazama tu kwenye tv ngoja siku hali ikufike hapo hutatamani tena na utaona bora uendelee kutazama kwenye TV.
Mateso na manyanyaso zaidi kwa jamii yetu waislam hatutavumilia. Amani ni tunu yetu sote basi na tuilinde. Walioua Zanzibar wanasababu zao binafsi kwakuwa Uislam haufundishi kuuwa watu bila ya hatia lakini kama mtu wetu kauliw bila ya hatia tunaruhusa ya kulipiza kisasi.
Serikali iliendee suala hili kwa umakini mkubwa sana na endapo watajichanganya hapo ndio umwagji damu Tanzania utakuwa rasmi!
mhu! kwa hapa sina la kusema maana ninaishiwa nguvu japo nilikuwa najua kuwa ndivyo walivyo!
Kutatua kweli tatizo sio kuvunja Muungano bali kuweka serikali moja Tanzania moja, hawa ni waislamu haramu wanaofadhiliwa na Iran na makundi arabuni ndio kwenye waraka wanaoitwa vijana wanaosoma nje ni waarabu wasiotaka kusikia neno mapinduzi, tukiwarudishia kisiwa watadai na pwani ya Tanganyika yote na hiyo ipo kwenye ajenda yao! Hapa tukamilisha kazi serikali moja manake SMZ ndio mlezi wa maovu yote na wauwaji wanajulikana wote lakini subutu kukamatwaHawa Jamaa naanza kuwachukia sasa maana nimewavumilia sana kuwapenda, waraka gani huu sasa! Kwanini tusivunje muungano tuwaache na nchi yao?