Waraka wa UAMSHO unaochochea machafuko Zanzibar

Waraka wa UAMSHO unaochochea machafuko Zanzibar

Mzizi wa Fitna hadi wakristo wanaitwa MAKAFIRI ni huu hapa:


QURAN 5:72-73
72. Hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu!
Na hali Masihi mwenyewe alisema: Enyi Wana wa Israili! Muabuduni Mwenyezi Mungu, Mola wangu Mlezi na Mola wenu Mlezi. Kwani anaye mshirikisha Mwenyezi Mungu, hakika Mwenyezi Mungu atamharimishia Pepo, na mahala pake ni Motoni. Na walio dhulumu hawatakuwa na wa kuwanusuru.
73. Kwa hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni wa tatu wa Utatu. Hali hakuna mungu ila Mungu Mmoja.
Na ikiwa hawaachi hayo wanayo yasema, kwa yakini itawakamata adhabu chungu wale wanao kufuru

Red: Hapo ndipo kufuru ilipo dhidi ya mwenyezi Mungu, kwa kutokujua nini alichosema na kuandika anafikiri anatunza Imani kwa Mungu mmoja wakati kimsingi amemfanya Mungu kama mada sawa na mada zingine, Ukisema WA TATU, wa UTATU si tu kwamba umepotoka,bali kusema ni WATATU hiyo ni numba,kwa kiasi kikubwa Mungu wa kweli hahusiki na namba kwani hiyo tayari inakusu dunia na mada, (Time & Space) huwezi kuhusianisha Mungu na Mambo ya mada (matter), yaonekana mwandishi/mnenanji alikurupuka tu akiwa hajui nini Wakristo wanaamini yeye akidhani wanaamini kuwa Mungu wako watatu na kukimbia kuhitimisha kuwa wanakufuru kwa kusema kuwa Mungu ni watatu.Pumba tupu. sijui ni Allah au ni Mtume wake Muhammad aliye bug step hapo. Poleni Waislam
 
Waraka, waraka, waraka. Mimi nadhani tujadili pia ule waraka wa kanisa kuelekea uchaguzi wa mwaka 2010. Nadhani hapo ndipo filimbi ilipigwa na sasa tuko hapa, hao maaskofu wetu waliangalia mbali kabla hawajatoa waraka huo? Sidhani kama kutakuwa na udini kama kanisa litaacha kujizatiti katika kujenga ushawishi wake katika serikali na siasa, kwa bayana au kwa siri. Sidhani kama kuna idadi kubwa ya waislamu ambao wana msimamo mkali, wanaweza kudhibitiwa kwa kupitia waislamu wenzao na wala si vinginevyo. Na kamwe msitegemee BAKWATA kuwadhibiti waislamu bali unganisheni vikundi vyote vya uwakilishi vya kiislamu ili viunde baraza litakalo aminiwa na waislamu wote. hivyo itakuwa rahisi kusuluhisha jazba za waislamu. Hatujafikia 'point of no return'. Huu ni ujumbe kwa serikali na viongozi wa dini.
 
usidhani akifa ponda, ilunga na farid ndio kupona.

Kwanza wakifa hao ndio moto utawaka vibaya. Wakifa wao ni faida kwetu na kwao wenyewe pia,kitakachobaki ni mimi na wewe kumtafuta wakumtanguliza mwenzie. Ukiniua sina hasara! Vita ikifika mlangoni ndio utajua ubaya wake na wala sio kitu cha kushabikia, unashabikia kwakuwa unatazama tu kwenye tv ngoja siku hali ikufike hapo hutatamani tena na utaona bora uendelee kutazama kwenye tv.

Mateso na manyanyaso zaidi kwa jamii yetu waislam hatutavumilia. Amani ni tunu yetu sote basi na tuilinde. Walioua zanzibar wanasababu zao binafsi kwakuwa uislam haufundishi kuuwa watu bila ya hatia lakini kama mtu wetu kauliw bila ya hatia tunaruhusa ya kulipiza kisasi.

Serikali iliendee suala hili kwa umakini mkubwa sana na endapo watajichanganya hapo ndio umwagji damu tanzania utakuwa rasmi!

kumbe mnaruhucwa kulpiza kisasi, xo kivp dini cyo inayochochea machafuko
 
:banplease: Ina maana huyu mungu wa wana uamsho ndiyo mungu wa Waislamu wote? Kama ndivyo mbona inatisha. Yaani mungu anaruhusu mauaji? Biblia inasema katika mji ule wauaji hawataingia bali sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo.
Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamau, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.(Ufunuo 21:8):rockon:
 
Watanzania inabidi tufikiri kabla hatujakurupuka kutoa uamuzi,kwakweli inawezekana kwa wakati kama huu uamsho watoe waraka kama huu

hamuoni kama kuna mkono wa mtu hapo
 
If that is the case, then this is a b*****it religion!!!

Usiamini kila unachokisoma magazetini au kukisikia redioni au kukinakili kwenye forum ja kijamii
Soma,chunguza,fanya utafiti ndio utoe uamuzi la si hivyo akili yako itatawaliwa na mawazo ya wengine
Mungu ibariki Tanzania
 
Usidhani akifa Ponda, Ilunga na Farid ndio kupona.

Kwanza wakifa hao ndio moto utawaka vibaya. Wakifa wao ni faida kwetu na kwao wenyewe pia,kitakachobaki ni mimi na wewe kumtafuta wakumtanguliza mwenzie. Ukiniua sina hasara! Vita ikifika mlangoni ndio utajua ubaya wake na wala sio kitu cha kushabikia, unashabikia kwakuwa unatazama tu kwenye tv ngoja siku hali ikufike hapo hutatamani tena na utaona bora uendelee kutazama kwenye TV.

Mateso na manyanyaso zaidi kwa jamii yetu waislam hatutavumilia. Amani ni tunu yetu sote basi na tuilinde. Walioua Zanzibar wanasababu zao binafsi kwakuwa Uislam haufundishi kuuwa watu bila ya hatia lakini kama mtu wetu kauliw bila ya hatia tunaruhusa ya kulipiza kisasi.

Serikali iliendee suala hili kwa umakini mkubwa sana na endapo watajichanganya hapo ndio umwagji damu Tanzania utakuwa rasmi!

msitutishe nyie hamjui Mungu wa kweli hii vita siyo yetu ni Mungu msipo tubu nawasikitikia please tubuni Mungu awasamehe
 
It is islamic to act that way. Islam deity commanded them to hate Christians and Jews. See this 5:51 O ye who believe! take not the Jews and the Christians for your friends: They are but friends to each other. And he amongst you that turns to them is of them. Verily Allah guideth not a people unjust. Make war on them until idolatry is no more and Allah's religion reigns supreme - 8:39

O Prophet! Exhort the believers to fight. If there are 20 steadfast men among you, they shall vanquish 200; and if there are a hundred, they shall rout a thousand unbelievers, for they are devoid of understanding. - 8:65


Fight those who believe neither in Allah nor the Last Day, nor what has been forbidden by God and his messenger, nor acknowledge the religion of Truth, even if they are People of the Book, until they pay the tribute and have been humbled. - 9:29 (another source: ) The unbelievers are impure and their abode is hell. (another source: ) Humiliate the non-Muslims to such an extent that they surrender and pay tribute.

Whether unarmed or well-equipped, march on and fight for the cause of Allah, with your wealth and your persons. - 9:41

O Prophet! Make war on the unbelievers and the hypocrites. Be harsh with them. Their ultimate abode is hell, a hapless journey's end. - 9:73

Do you see!!?? It is a command from their deity to fight those who do not believe and/or follow Allah of Islam who is full of peace and love.


Hahahahah Mkuu kuran haisomwi hivyo,hivyo unavyoisoma wewe hamna tafuti anvyoisoma Ustadh Ilunga,HUWEZI KUSISOMA KURANI kwa kuchagua aya.

kwanza unatakiwa ujue kuwa AYA za kuran zimeteremshwa kwa nyakati tafauti kwenye visa tafauti

Unajua kuwa Issa bin maryam(Yesu,krist,jesus) ametukuzwa mara 25 yaani ametajwa mara 25 kwenye Kuran lakini katika Kuran hiyo hiyo Mohammad katajwa mara 4 tu

Unajua kuwa wakati mtume Mohammad alipofukzwa kutoka Makka Mungu alimshushia wahiy kuwa awapeleke wafuasi wake Abisinia(Ethiopia) nchi ya Wakristo,akaambiwa hao ni watu wakuwaamini

Unajua kuwa katika kuran hiyo hiyo inaamrisha kuwa watu wa waliopewa vitabu(Ahlilkitabu),yaani waisrael wamepewa kitabu cha Zabur,wanasara wamepwea Injili na waislam waliopewa kuran wote watakwenda peponi

Mfano hivi sasa kuna mzozo wa kuchinja, kuran inaamrisha waislam wale nyama iliochiyiwa na watu wa Ahlilkitab hao niliowataja hapo juu lakini kwababu watu hawajui maamrisho ya dini zao ndio maana tunapata matatizo

Sasa ukosefu wa watu kujua dini au kusoma vitabu vya dini kama Novel au watu kama nyinyi mnaotoa aya moja na kuitafirisi bila kujua mnafanya nini ndio maana Tanzania na Padri na mashekh wake wameshindwa hata kutoa jibu katika sakata la kuchinja

Kuwa mwislam mzuri inabidi uamini Taurat,Zabur,Injili kwa ufupi hivyo vitabu vitatu ndio vilivyojenga Kuran na mwiislam anatakiwa Kila anapotajwa Nabii Isa (Yesu,Krisi,Jesus)lazima amsalie
Kabla hujatoa hoja kwanza analyze halafu ndio utoe uamuzi
Mungu ibariki Tanzania
 
Naupenda sana wimbo huu.huimba moyoni mwangu kila ninapohisi tatizo kubwa,yes,tz kuna tatizo kubwa hivi sasa:God will make a way where it seems to be no way,he works in ways we can not see,he will make a way for us,he will be our guide,hold us closely to his side,with love and strength,for each new day,he will make a way,he will make a way.
 
kwa mtu mkini ambaye anajua japo kidogo kuhusu uandishi wa jinai ni vigumu sana kuamini kuwa huo ni waraka wa uamsho, licha ya kutoanza na Bismillah[mtanisamehe kama nimekosea], lakini ukitazama ujumbe una jumbe nyingi zinazo fahamika na kujihusisha wao wenyewe katika matukio mbalimbali, kwa akili ya kawaida tu ni kuwa uongozi wote wa uamsho wanafahamika na wanaishi ndani ya zanzibar hivyo ni kichekesho kwa wao kuandika waraka wa wazi wa kujinasibisha na matukio hayo, nawasihi wana jamvi tutakuwa tunaitendea haki jf kama tutakuwa realist kuliko kuongozwa na mihemko ya dini zetu.
 
Ndugu yangu, hujitakii mema wewe, unawaambia waislam habari ya mtume paulo, kwao mtume paulo ndiye adui namba moja ya Waislam, hawawezi kusoma chochote cha mtume Paulo, Mtume Paulo ni moto na ni sumu kwa Uilsam kwa kuwa Paulo japo alihubiri mamia ya miaka kabla ya Uislam lakini kama vile alikuwa ameandaa movie ya dini itayokuja ambayo ni Uislam na kusema itawapotosha wengi,na kweli imewapotosha na kuwapofusha mamilioni ya watu.


Mkuu sisi hatupingi Paul kuwa mtume wenu lakini munamshirikisha na jesus ambaye hamtambui Paul kabisa hebu kijana lete ushahidi wako hapa kama paul ni mtume kwa mujibu wa bibilia dini ya uislamu ilikuwepo kabla ya Paul HAKUNA DINI YA KWELI ISIPOKUA UISLAMU acha kuleta tabu katika dini za wengine
 
kwa mtu mkini ambaye anajua japo kidogo kuhusu uandishi wa jinai ni vigumu sana kuamini kuwa huo ni waraka wa uamsho, licha ya kutoanza na Bismillah[mtanisamehe kama nimekosea], lakini ukitazama ujumbe una jumbe nyingi zinazo fahamika na kujihusisha wao wenyewe katika matukio mbalimbali, kwa akili ya kawaida tu ni kuwa uongozi wote wa uamsho wanafahamika na wanaishi ndani ya zanzibar hivyo ni kichekesho kwa wao kuandika waraka wa wazi wa kujinasibisha na matukio hayo, nawasihi wana jamvi tutakuwa tunaitendea haki jf kama tutakuwa realist kuliko kuongozwa na mihemko ya dini zetu.



Kabisa mkuu ni jambo dogo tuu lakuweza kuchambua hii ni mchele na hiii ni chuya kwa mtu mwenye ufahamu anafahamu mara moja nakugongea tano nikitoka hapa
 
Red: Hapo ndipo kufuru ilipo dhidi ya mwenyezi Mungu, kwa kutokujua nini alichosema na kuandika anafikiri anatunza Imani kwa Mungu mmoja wakati kimsingi amemfanya Mungu kama mada sawa na mada zingine, Ukisema WA TATU, wa UTATU si tu kwamba umepotoka,bali kusema ni WATATU hiyo ni numba,kwa kiasi kikubwa Mungu wa kweli hahusiki na namba kwani hiyo tayari inakusu dunia na mada, (Time & Space) huwezi kuhusianisha Mungu na Mambo ya mada (matter), yaonekana mwandishi/mnenanji alikurupuka tu akiwa hajui nini Wakristo wanaamini yeye akidhani wanaamini kuwa Mungu wako watatu na kukimbia kuhitimisha kuwa wanakufuru kwa kusema kuwa Mungu ni watatu.Pumba tupu. sijui ni Allah au ni Mtume wake Muhammad aliye bug step hapo. Poleni Waislam


Point yako sijaiona unajaribu kupinga ukweli kwani hamusemi nyinyi mungu ni yesu mtoto wa mariyam ama hamsemi kwani hamsemi yesu ni mungu,holy ghost ni mungu na bwana ni mungu ila wote hao ni mmoja hamruhusiwi kusema watatu nitakupa mfano mnavyosema kwajina la BABA na LA MWANA NA ROHO MTAKATIFU hao wote ni mmoja huwezi jua zaidi kuliko anavyojua alokuumba aya imekuja wala musiseme watatu nyinyi watu.
 
Ni mwamini Mungu mmoja gani? Baba, Mwana au Holly Ghost?



Hahaha mkuu nilikua sina hiyo ndo kwanza naipata kutoka kwako umenifurahisha nimecheka sana mkuu kwa jibu la mstari moja lakini linatosha kwa wote
 
Yap!, huyo ni kamanda LUCIFER akiwa kazini, biblia inasema ameshuka duniani akiwa na ghadhabu nyingi akijua kuwa ana muda mchache tu, ndio maana unaona anaamrisha ua padri, ua kafiri, mwagia tindikali Soraga, Biblia inaendelea kuonya kuwa OLE WA NCHI NA BAHARI.

Na hv hawa Marekani wanaotakwa kupandikizwa vile vidubwashika paji la uso au mkononi?if its tru,the end is very near.
 
ooh uislam ni dini ya amani.. waapi? au huyo allah wanayemtaja ni tofauti.

kwa nijuavyo mimi allah ni mungu(with small m)aliyekuwepo ndani ya al kaaba(hapo mecca) hata kabla ya mtume muhammad kuzaliwa na alikuwa miongoni mwa miungu mingi iliyokuwemo humo al kaaba(wapagani walihiji hapo mecca kila mwaka even before muhammad) hivyo napata picha kuwa allah sio yule yule Mungu wangu Jehovah, i dare to say Jehovah is real and alive while am not sure of the other al kaaba gods
 
Lula wa Ndali Mwananzela Toleo la 282 20 Feb 2013 RAIA MWEMA

KWA muda mrefu sasa nimekuwa
nikiandika masuala ya usalama na
jinsi gani ipo haja ya haraka ya
mabadiliko ya muundo wa baadhi
ya vyombo vyetu vya usalama. Leo
naomba nizungumzie Idara ya
Usalama wa Taifa na kwa nini
ninaamini ndicho kiungo
kinachokosekana (missing link)
katika harakati za kupambana na
vitendo vya uhalifu wa aina
mbalimbali na hasa huu wa siku
hizi wa utekaji nyara na mauaji
yenye mwelekeo wa kidini au
kisiasa

Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa
sasa hivi na tangu Kikwete aingie ni
Bw. Rashid Othman. Kuingia kwake
kwenye idara ilichukuliwa na baadhi
yetu kama ‘asante’ ya Kikwete kwa
Rashid Othman (maarufu kama RO)
kutokana na urafiki wao wa karibu
hasa wakati Kikwete akiwa Waziri
wa Mambo ya Nje na RO akiwa
Ubalozi wetu pale London,
Uingereza. Kupewa Ukurugenzi kulikuja kama habari ya kushangaza kwa wakongwe wa idara hiyo.
Tangu kuingia kwake kwenye idara,
mojawapo ya mambo ambayo
yameonekana kuendelea ni ile hali
ya mgawanyiko wa ndani ya idara
ambao kwa kweli ulifikia pabaya
sana wakati wa uchaguzi mkuu wa
2010.

Lakini siyo kugawanyika kwa
kawaida tulikoona bali ni
kugawanyika ambako ndani yake
imeingizwa siasa na hata kufanya
wanasiasa wahusishwe na usalama
wa taifa.
Lakini mambo makubwa matatu
yametokea na ambayo kwenye nchi
nyingine yenye kujali usalama wa
taifa, Mkurugenzi wake angekuwa
ameshang’oka. Mauaji ya albino,
utoroshwaji wa wanyama kwenda
Qatar na mauaji ya kidini na
kisiasa. Mambo haya matatu
ninaamini yanatosha kabisa
kufanya Bw. Othman aamue
mwenyewe kuondoka au afukuzwe
kazi

MAUAJI YA ALBINO
Mojawapo ya mambo ambayo
sikumbuki kama yamewahi kutokea
kabla ni mauaji ya Watanzania
wenye upungufu wa rangi ya ngozi
(maalbino).
Ndani ya mwaka mmoja hivi
tulishuhudia watu zaidi ya arobaini
wakiuawa, viungo vyao
vikinyofolewa na wengine wakibakia
na vilema vya maisha. Sasa hili
liliendelea hadi Waziri Mkuu akalia
bungeni kwa uchungu.
Lakini liliendelea hivyo kwa kiasi
kikubwa na kufichua mojawapo ya
udhaifu mkubwa wa Usalama wa
Taifa chini ya RO – kukosekana kwa
watoa taarifa za siri (informants)
kwenye ngazi za chini kabisa.
Kwa wanaokumbuka usalama wa
taifa wakati wa Nyerere
watakumbuka jinsi ambavyo kila
Mtanzania alikuwaa najiona kuwa
ana sehemu katika kulinda taifa.
Wenyewe tulikuwa tunajivuna – kwa
stori za kweli na uongo – kuwa
makaburu walijaribu mara kadhaa
kujipenyeza nchini (infiltrate) lakini
mara zote walishindwa. Walijaribu
kwenye kambi za jeshi na kote
walishindwa kwa sababu maafisa
wetu wa usalama walikuwa
wameenea kila sehemu.
Hili lilikuwa kweli hata kwenye ofisi
na shule mbalimbali ambapo
kulikuwa na mtandao mkubwa sana
wa mawakala wa Usalama wa Taifa
ambao walikuwa wanafuatilia
mambo na walikuwa wameingizwa
humo kwa umakini mkubwa. Sasa
mauaji ya Albino ambayo yamerudi
tena huku matukio matatu yakiwa
yametokea kabla ya mwezi wa pili
haujaisha yamefichua upungufu
huo wa Usalama wataifa.

Utoroshwaji wanyama kwenda Qatar
Mojawapo ya kashfa za ajabu sana
za utawala wa Kikwete ni hili
lililotokea miaka kama miwili
nyuma ambapo ndege ya kijeshi ya
Qatar ikiwa na watu wenye pasi za
Kibalozi iliweza kuingia nchini na
kutua KIA na baadaye kuweza
kuondoka na wanyama hao bila
vyombo vyetu vya usalama kujua.
Inashangaza kuwa uwanja wa
kimataifa kama KIA hauna maafisa
wa usalama wa taifa ambao
wangeweza kuzuia ndege hiyo
kuondoka.
Lakini wanyama waliondoka na
Qatar imekataa kuwarudisha na
nina uhakika kuna watu humu
humu kwenye serikali yetu
waliopewa walichopewa na sasa
wako kimya. Rashind Othman
alipaswa kujiuzulu wakati ule ule.
Unaweza vipi kuongoza usalama wa
taifa na kuacha jeshi la nchi
nyingine linaweza kuingia nchini?
Na pamoja na RO bila ya shaka
Mkuu wa Usalama wa JWTZ naye
angepanguliwa!

Mauaji ya kisiasa na kidini
Lakini kubwa zaidi na ambalo
naamini linatosha zaidi kumfanya
RO kuondolewa na TISS kufumuliwa
ni matukio ya utekaji nyara,
mashambulizi dhidi ya watu
mbalimbali na mauaji ya kisiasa.
Tumeshuhudia vurugu za ajabu
kwenye chaguzi zetu huku
wanasiasa wakipanda majukwaani
na bastola lakini bado wakaendelea
kuwa wanasiasa; tumeshuhudia
watu wakiuawa katika chaguzi
ndogo lakini usalama wa taifa
unashindwa kufanya kazi vizuri.
Lakini hakuna kushindwa kubaya
kama matukio ya mashambulizi
dhidi ya viongozi wa kidini huko
Zanzibar na hata usambazaji wa
“vipeperushi” vya uchochezi.
Inashangaza sana kuwa Zanzibar
kuna vipeperushi vya kichochezi
kwa miaka sasa na TISS
wameshindwa kujua vinachapwa
wapi, na ni nani na vinasafirishwa
vipi. Inashangaza (na kuudhi kwa
wakati mmoja) kuwa idara ambayo
Othman anaiongoza imeshindwa
kuwapatia polisi taarifa za wahusika
hawa.
Kwenye eneo dogo kama Zanzibar
inawezekana vipi watu wakafanya
mambo, kuyapanga na
kuyafanikisha bila kuweza
kugundulika? Marekani taifa kubwa
sana duniani liliweza kumpata
Osama Bin Laden miaka kama kumi
hivi tangu ianze kumsaka; lakini
haikufanya hivyo kwa kuombea na
kusubiria bali kwa kuwekeza katika
kutafuta taarifa.
Kweli idara hii ambayo inajitegemea
mno (haiku chini ya Katibu Mkuu
Kiongozi) inashindwa kukusanya
taarifa namna hii?
Sasa hadi nani auawe ndipo
watawataka hawa watu
wawajibishwe? Hofu yangu ni kuwa
kwa kadiri hali ya mgongano wa
kisiasa inavyoendelea na kwa kadiri
tunavyoelekea kwenye Uchaguzi
Mkuu wa 2015 uwezekano wa
mauaji zaidi ya kisiasa na kidini
unaongezeka.
Hofu yangu ni kuwa tusipoangalia
mwaka huu huu tutashuhudia siyo
mauaji ya mapadre tu na
wachungaji bali tunaweza
kushuhudia mauaji ya wanasiasa
maarufu. Siwezi kushangaa wala
sitoshtuka.
Idara inahitaji mabadiliko na
inahitaji mabadiliko ya kiuongozi,
kifikra, kimtazamo na mwelekeo.
Na mabadiliko hayo yataanza baada
ya kuondolewa kwa Rashid Othman
na uongozi wake na pamoja na hilo
kufanyia mabadiliko makubwa
Sheria ya Usalama wa Taifa ya
1996. Lakini kama analindwa
ataondoka vipi?
 
Huku zanzbr aliuliwa rais wa kwanza na mbona hawajatafutwa fbi?au kwakua mr x ndie alieua ndio maana mpaka leo kimya,acheni chuki na wazbr.
 
Back
Top Bottom