Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,312
- 65,169
Mkuu, kwani utaratibu huujui wa kuposa?
Mimi na Wazee wenzangu tuna miezi 8 sasa hatujapata kazi ya kupeleka posa mahali
Tafadhali tutume tukaione familia ya binti kiziwi tukupekekee posa kwa niaba 🤗