Mandingo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 5,862
- 7,661
Acha kuleta ngebe kapuku wewe
Acha kuleta ngebe kapuku wewe
Pm hawafunguiStop this please.
Pm huijui dogo?
Acha kudhalilisha hawa wanawake.
STOP IT!!
Binti Kiziwi mnamuonea tu na wala hastahili haya. I wish mngejua!binti kiziwi nipo nae busy ukuView attachment 3671995
Nimefukuza jibwa lipuuzi kabisa hilo.binti kiziwi mnamuonea tu na wala hastahili haya. I wish mngejua!
Nime mdharirisha nani?
Mbona umeanza kunipa kazi kitu sijafanya?
PM haiko wazi na nilisha mweka wazi kuwa ninampenda na nitamwanzishia uzi..
Na unayosema mdharirisha wanawake unakosea my lovely sister
Sawa na Asante kwa kunielewa dada yangu, kama hauto jali ningeimba msaada wako katika kumfikishia binti kiziwi nia yangu hii thabiti kwakeMapenzi hayaingiliwi so niseme tu kila la heri.
Unasema my lovely sister una uhakika huyu ni demu? Mkuu be care Kuna watu na ndevu zao humuNime mdharirisha nani?
Mbona umeanza kunipa kazi kitu sijafanya?
PM haiko wazi na nilisha mweka wazi kuwa ninampenda na nitamwanzishia uzi..
Na unayosema mdharirisha wanawake unakosea my lovely sister
Kijana mbona unapost picha yangu bila ruhusa
Mi nija shema kitu🏃Unataka ku maanisha nini?
Infact najua prida ni dada yangu
Nasikia wanawake wenye ndevu wana nyota ya pesaUnasema my lovely sister una uhakika huyu ni demu? Mkuu be care Kuna watu na ndevu zao humu
Inaweza kua sijawahi ona mwenye ndevu , mlala hoiNasikia wanawake wenye ndevu wana nyota ya pesa
😹😹😹😹 KumekuchaMbwa ananifata hadi msikitini nikimuendekeza atataka nimtie vidole vya matak. na mimi sio michezo yangu.
Japo sijatongoza nimeweka waraka tuu,
Donoa chochote kitu mkuu
"Ma Mony" hiyo mitaa ipo Dom na Moro ila kwa Moro ina wababe kwelikweli..😹😹😹 Kwahiyo she’s rise ulikuwa unamletea mzaha na kujimaliza kote kule??
Chiwawa mi sikuamini naona unataka kumshushia heshima mate wangu..!!
binti kiziwi mate harusi tunayo au tumuitie ngoma nzito kutoka chamwino aje na wenzie wa mji mpya watusaidie kumtoa wenge?? 😹