Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,644
- 27,540
Sasa hivi tuchat kwa kingreza mkali..Kalilie chooni nikishaweka wazi na anajua potential yangu kama una nongwa Kalilie huko huko..
She deserves me not you, na wengine mnaopenda kuongea shit na msiwe na hoja yoyote
Toka Nile ban mfululizo sijawahi kuwa emotional tena. Nitaendana na watu wachonganishi kwa namna iliyo bora kabisa lanlbda mods wafanye kunionea tude Gunner ushauri wangu jaribu kucontrol hisia zako kwenye huu uzi wako mzito
Huyu unaye mtongoza ni very smart sasq usije ukaharibu mapema kabisa
Kila la kheri
Great home boyToka Nile ban mfululizo sijawahi kuwa emotional tena. Nitaendana na watu wachonganishi kwa namna iliyo bora kabisa lanlbda mods wafanye kunionea tu
This time najua namna bora ya kucheza huu mchezo vyema kabisa.
kwa kweli
Kutag mtu sio kosa. Kosa nikumtukana na kumwambia lugha chafu zingatia hikoMzee kwani si wamekukatalia kuwatag tag wahusika na hawapendi hio tabia ya kuanzishiwq uzi? Heshimu maamuzi ya mtu.
Usinifananishe na Takataka mkuu.Ila we jamaa una kipaji, ile nyimbo umeimba sana, na video ni kali sana... akikataa jua uchawi upo..
View attachment 3671902
we gunner lakini si umezuiliwa na binti kiziwi kwenye ule uzi wako mwingine usimuanzishie uzi? sasa kwanini umeamua kumkera mdada wa watu kwa makusudi kabisa, si uheshimu maamuzi ya mtuKutag mtu sio kosa. Kosa nikumtukana na kumwambia lugha chafu zingatia hilo
Anafujo huyowe gunner lakini si umezuiliwa na binti kiziwi kwenye ule uzi wako mwingine usimuanzishie uzi? sasa kwanini umeamua kumkera mdada wa watu kwa makusudi kabisa, si uheshimu maamuzi ya mtu
sio Fujo ni kiburi, dharau na misifa tuAnafujo huyo
Nilishawaambia apokee ombi langu toka tuko kwenye ule uzi na nilimwambia sifanyi mzaha wa aina yoyote. Huu sio mzaha kabisa. Na yeye analifahamu hilowe gunner lakini si umezuiliwa na binti kiziwi kwenye ule uzi wako mwingine usimuanzishie uzi? sasa kwanini umeamua kumkera mdada wa watu kwa makusudi kabisa, si uheshimu maamuzi ya mtu
lakini kakukatalia ungemuelewa au ungetafuta njia nyingine ya kumueleza kwamba upo serious na sio lazima ufungue uzi brooo, haya mambo yashapitwa na wakati ujueNilishawaambia apokee ombi langu toka tuko kwenye ule uzi na nilimwambia sifanyi mzaha wa aina yoyote. Huu sio mzaha kabisa. Na yeye analifahamu hilo