Waraka wa mwisho kwa Binti kiziwi

Waraka wa mwisho kwa Binti kiziwi

lakini kakukatalia ungemuelewa au ungetafuta njia nyingine ya kumueleza kwamba upo serious na sio lazima ufungue uzi brooo, haya mambo yashapitwa na wakati ujue
Sioni nilipokosea
 
Uchati na nani wewe?

Yaani nichati na mtu niliyem mzidi kila kitu?
kwa mujibu wa ephen una tako kubwa,hilo umenizidi na kutokana na maoni ya wachangaiji humu wewe ni kiande,mentally disturbed maybe..hivyo viwili umenizidi,.kingine kipi mkali..
 
kwa mujibu wa ephen una tako kubwa,hilo umenizidi na kutokana na maoni ya wachangaiji humu wewe ni kiande,mentally disturbed maybe..hivyo viwili umenizidi,.kingine kipi mkali..
Kwa umakini alio kuwa anadhani unao binti kiziwi sasa aje ajionee kiande ni mimi au wewe unaye toa shombo na maneno machafu hadharani
 
ulipokosea ni wew kumuanzishia uzi wakati amekuzuia usimuanzishie uzi, na alikusisitiza kabisa
Kwa nini anizuie na hisia ni zangu? Mbona unaongea kitu kisicho kuwepo?
 
Screenshot_20260221-161550.jpg
 
Huwezi kuzuia hisia za mtu. Na huo ndio ukweli Mchungu. Mimi ninampenda na yeye analitambua hilo
sawa gunner kila lenye kheri ila sio kila mtu atapendezwa na hisia zako, we unataka kuwafanya hata wale walokua karibu yako mbali na kusemwa wakukimbie,, sio vizuri wala nini
 
sawa gunner kila lenye kheri ila sio kila mtu atapendezwa na hisia zako, we unataka kuwafanya hata wale walokua karibu yako mbali na kusemwa wakukimbie,, sio vizuri wala nini
Kama alikuwa wangu na ana mapenzi ya dhati binti kiziwi Kamwe hawezi kuiacha. We've been together kwenye mada mbali mbali since day one
 
Back
Top Bottom