Waraka wa mwisho kwa Binti kiziwi

Waraka wa mwisho kwa Binti kiziwi

Navomuheshimu.
Nimejisikia vibaya.
Hastahili haya please.🙏
I have written my intentions respectfully too
I know ni mtu mkubwa sana na ndio maana nimetumia miaka 6 kuweza kufikia hii level ya kuwa nae karibu hapa jamvini na sasa niliamua kuweka wazi nia yangu kwake
 
Mbona unapost picha ya dada angu bila idhini, na nani kakuruhusu kijan?
😅😅 nisameheee mkuu wangu,
Screenshot_20260916-200004.png




de Gunner
 
Kijana ana hoja asikilizwe jamani asije akatubakia watoto wetu mtaani, mpeni anachokitaka mtaa usije ukachafuka Huku...Very interesting, ni kufurahi tu wadau, maisha mafupi.
 
Kijana ana hoja asikilizwe jamani asije akatubakia watoto wetu mtaani, mpeni anachokitaka mtaa usije ukachafuka Huku...Very interesting, ni kufurahi tu wadau, maisha mafupi.
Furaha ndo dawa bora ya maisha ya hapa duniani
 
Stop this please.
Pm huijui dogo?
Acha kudhalilisha hawa wanawake.
STOP IT!!
Nime mdharirisha nani?

Mbona umeanza kunipa kazi kitu sijafanya?

PM haiko wazi na nilisha mweka wazi kuwa ninampenda na nitamwanzishia uzi..

Na unayosema mdharirisha wanawake unakosea my lovely sister
 
Back
Top Bottom