allow cp
JF-Expert Member
- Aug 15, 2026
- 1,135
- 3,457
😅😅 Umpitiwa na wakati, singida nilitoa 4 million kupewa mwili ..Andaa pesa kiasi cha 500,000 Wazee twende tukapige hodi Singida
Kama wataridhia posa yetu, huyo mrembo utamwoa tu
Labda awe ameshawahiwa