Ndio vinini....Tawile
Ila we jamaa unajua ku guess mkuu🤣🤣Itapolipukia ndio huko huko kitaeleweka
Si ajabu huyu akichomoa atapigwa sound mwingine kwamba hawa wengine wote haikuwa serious
Kwamba ukiimba wimbo wa westlife ama🤣🤣 🤣 🤣 🤣 aisee kwamba ulikua gani kabisa?? 😂 🙌Aiseee nikikumbuka mwaka 2012 nilimtongoza mwanamama Fulani humu JF kule PM tena nikamwandikia na nyimbo Fulani hivi ya mahaba akanilima Block Hadi Leo nimekosa hamu ya kumpenda mwanamama wa humu😀😀
Aliyekwambia kachuja nani? 😹Kikaragosi anataka nirushe ndoano na kasha chuja tayari.
😹😹😹 Mitaa ya Moro hiyo..!!"Ma Mony" hiyo mitaa ipo Dom na Moro ila kwa Moro ina wababe kwelikweli..
Ntakukaribisha Kwa Chambo ngoja kiota kizibwe Elnino na la Utosi tuu.
Kwani ilikuwaje mpaka mkapelekeana moto? 😹😹Hawezi kuja tena ameshazila huyo, nilimpelekea moto mbaya sana jana. Naona kashaniweka ignore list