Waraka wa mwisho kwa Binti kiziwi

Waraka wa mwisho kwa Binti kiziwi

Huyu anaweza hata kuniuliza kwanini sipo kazini kwakua kodi yake ndiyo inalipa mshahara wangu?
 
Aiseee nikikumbuka mwaka 2012 nilimtongoza mwanamama Fulani humu JF kule PM tena nikamwandikia na nyimbo Fulani hivi ya mahaba akanilima Block Hadi Leo nimekosa hamu ya kumpenda mwanamama wa humu😀😀
Inabidi uwe una chukua muda kwanza kama mimi nimekaa miaka 6 Natafuta kujua vyema crush wangu
 
Kutongoza humu kunahitaji Moyo haswa
Inabidi uwe una chukua muda kwanza kama mimi nimekaa miaka 6 Natafuta kujua vyema crush wangu
Ukaamini huyo crush Hana mtu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom