Hivi kwa nini Kardilnali Pengo asipewe kiti Bungeni, tumalize ubishi wote!
wote wapewe viongozi wa dini wawe wanaingia bungeni kwa nyadhifa zao
teh teh teh teh
Hivi kwa nini Kardilnali Pengo asipewe kiti Bungeni, tumalize ubishi wote!
waraka upo ndani ya jamvi, jaribu kufanya homework utaupata humu humu
Mkandara said:Hivi kwa nini Kardilnali Pengo asipewe kiti Bungeni, tumalize ubishi wote!
Hivi kwa nini Kardilnali Pengo asipewe kiti Bungeni, tumalize ubishi wote!
Mbe!!!
kingunge bado ni kiongozi tu??? amezeeka yule nadhani mwakani atakuwa anatumia machela kuingia bungeni maana ni kwishney kila kitu amebakia kusema tu kwani hata kuwaza imekuwa ni adimu kwake.
Tumzomee ikibidi
Hivi kwa nini Kardilnali Pengo asipewe kiti Bungeni, tumalize ubishi wote!
Waraka huo pia utawaeleza Waislamu umuhimu wa wao kujitambua na kushiriki katika uchaguzi kama kundi maslahi.
"Utawaeleza Waislamu kuhusu ‘interests' yaani maslahi yao yaliyodhulumiwa kwa kuwabagua," alisema Sheikh Ponda.
Alisema, waraka huo utaeleza namna serikali ya Tanzania ilivyoipendelea na inavyoendelea kuipendelea dini moja na kusababisha uwepo wa matabaka katika jamii ya kitanzania.
"Upendeleo huo umezaa matabaka katika jamii, jambo ambalo linaendelea kuitafuna Tanzania, lakini cha ajabu Watanzania wenyewe na hasa serikali haijaona hatari hiyo," alisema Sheikh Ponda.
Mkuu,tumeambiwa chadema ni chama mbadala sasa kama chama mbadala kimekuwa bubu katika mambo mazito kama haya yanayoonekana kuligawa taifa chama hicho kitakuja badalisha nini na watoe tamko rasmi kama wenzao, CCM Mafisadi wenzao, wanatupiana chambi, hawajuwi waunge mkono au wakatae, wakati Kingunge anasema haufai Sitta anasema unafaa hata uwe katiba ya CCM au ya nchi, CUF wanasema haufawi, Chadema wanasemaje, tunatakak kauli za akina Mbowe, Zitto, Mnyika na Mzee wa "kulipuwa" Dr.Slaa.Junius
Halafu kuna watu wako interested sana kujua CHADEMA wana msimamo gani juu ya masuala ya Kadhi, Waraka wa Kanis etc...sijui kwanini? Ndo nyie mko hapo kutafuta vyama vya kuhama na kuhamia nini?
Kwanini usiwaache watu huru wajadili, hadi usubiri kauli za vyama, na hasa CHADEMA? kwanini sio UPDP?, acha agenda zako za uchokonozi junius!
Je vyama unategemea vitoe kauli gani za mambo ya dini?...unataka upate la kusema, maana wengine ndo zenu.
Mkuu,tumeambiwa chadema ni chama mbadala sasa kama chama mbadala kimekuwa bubu katika mambo mazito kama haya yanayoonekana kuligawa taifa chama hicho kitakuja badalisha nini na watoe tamko rasmi kama wenzao, CCM Mafisadi wenzao, wanatupiana chambi, hawajuwi waunge mkono au wakatae, wakati Kingunge anasema haufai Sitta anasema unafaa hata uwe katiba ya CCM au ya nchi, CUF wanasema haufawi, Chadema wanasemaje, tunatakak kauli za akina Mbowe, Zitto, Mnyika na Mzee wa "kulipuwa" Dr.Slaa.

Sio chama mbadala ambacho kinavunja katiba; ni mbadala kutawala na kuwapa asali na maziwa WATZ; sio ajenda yao; CCM iliiba kadhi kwa CUF; so ndio maana wao wanashindania hoja hiyo; waache wafu wawazike wafu wenzao; chadema kaa hivyo hivyo now wasipate mahala pa kukimbilia; time will tell soonMkuu,tumeambiwa chadema ni chama mbadala sasa kama chama mbadala kimekuwa bubu katika mambo mazito kama haya yanayoonekana kuligawa taifa chama hicho kitakuja badalisha nini na watoe tamko rasmi kama wenzao, CCM Mafisadi wenzao, wanatupiana chambi, hawajuwi waunge mkono au wakatae, wakati Kingunge anasema haufai Sitta anasema unafaa hata uwe katiba ya CCM au ya nchi, CUF wanasema haufawi, Chadema wanasemaje, tunatakak kauli za akina Mbowe, Zitto, Mnyika na Mzee wa "kulipuwa" Dr.Slaa.