Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

Status
Not open for further replies.
Nyerere ndie aliempa Jina Ngombale Mwilu,Na kumwita Kingunge ,kingunge wakulia wanaweza kutwambia maana yake.
 
Huwa napenda mara nyingi nipatapo wasaa na ukizingatia channel ten wanaonekana kwenye satelite ..kuangalia kipindi cha mwandishi wa habari mkongwe Makwaia Wa Kuhenga,anaendesha kipindi vema pamoja na kuwa mara nyingine hampi mtu anayemuhoji fursa ya kujieleza kwa kuingilia bila sababu pale anapenda wageni wake waelekee kule anakotaka,zaidi ya kuwapa uhuru kama wafanyavyo Hamza kasongo au JENERALI ....,bila shaka hawa wote watatu wanaendesha talk show nzuri kabisa pale CHANNEL TEN!!!

Wiki iliyopita na wiki hii mzee makwaia amekuwa akiendesha vipindi vyenye mwelekeo wa kujadili waraka wa wakatoliki....kipindi kilichopita alikifanyia zanziba ...akiwakutanisha sheikh mmoja na muumini wa aglikana,....leo amewahoji ..Sheikh mattaka na mwenzake ..,pamoja na Mchungaji LUSEKELO na mwenzake...kipindi kilikuwa kizuri hasa uelewa uliooneshwa na kijana aliyeambatana na sheikh mattaka...

Lakini kwa upande wa lusekelo ....ameonesha uwezo mdogo wa matumizi ya falsafa...ambayo hautegemewi kwa kiongozi wa dini kama yeye kukosa uelewa kama huo...amejikuta akiiingia kwenye mashambulizi ya wazi kwa kanisa katoliki kufikia kuita kuwa waraka wao unatia kichefu chefu ...nadhani kwa kiongozi wa dini angeweza kutumia lugha stahiki..kama alivyokuwa Sheikh Mattaka na kijana aliyeambatana naye...,zaidi ya hayo ameonesha uwezo mdogo wa ufahamu usiotarajiwa,...mfano amesema viongozi wa dini wa kenya hawaongelei siasa ..wakati hali ni tofauti..kabisa kenya kule mombasa nani asiyemkumbuka SHEIKH balala...au nani asiyejuwa namna maaskofu waklioko nairobi wanavyoongelea siasa kila siku!!! Kwa afrka mashariki ..viongozi wa dini wa tanzania ni kati ya viongozi wanaoonesha uvumilivu mkubwa sana kwa dola...na wana mahusiano mema sana!! hatujafika huko .....!!tumeshuhudia hata ishu ya misamaha ya kodi ilivyofanywa kwa maelewano kati ya serikali na viongozi wa dola!!.....nadhani viongozi kama lusekelo wanatakiwa kujuwa kuwa wanategemewa na waumini na jamii wao kutumia lugha za busara!!

Kwa upande wa muendesha kipindi mzee makwaia ...nashauri kipindi kijacho awaalike wawakilishi wa kanisa katoliki ..ili nao waweze kujibu mashambulizi ambayo wamekuwa wakitupiwa tangu wiki iliyopita kupitia kipindi chake!!...kama leo ingekuwa sooo balanced kama nao wangekuwapo....,la sivyo itakuwa kama wakati ule ....alipoondesha kipindi cha kujadili siasa za vyama na wawakilishi wa CCM peke yake ..huku wapinzani wakikosekana!!!..nakumbuka aliwahoji ADAM MALIMA na Mudhihir mudhihir..huku wawakilishi wa CHADEMA na CUF wakikosekana !!
 
achana nae mnyakyu huyo!ANATAFUTA INFLUENCE
 
Huyo Pengo kwanza awakataze wanawake kwenda makanisani kisha awaeleze wanapokuwa wawe wamevaa mitandio kufunika vichwa vyao ,ee ndio maana yake awaandalie mwongozo huko kwanza na kuwafundisha neno la Mungu.Awakataze wanawake kuvaa nguo za kiume,
Deuteronomy 22:5:The woman shall not wear that which pertains to a man, neither shall a man put on a woman's garment, for all that do so are an abomination to the Lord your God.

Apinge Mawaziri wanawake na hata kuwaruhusu kuhubiri kwenye makanisa.Azuie wanawake walioolewa kuhudhuria makanisani ,maana yeye kama mwanamme atakuwa anawakodolea macho.

Matthew 6:5-6:And when thou prayest, thou shalt not be as the hypocrites are: for they love to pray standing in the synagogues and in the corners of the streets, that they may be seen of men. Verily I say unto you, They have their reward.

Kama haitoshi azuie watoto kutumia jina la baba pia awazuie wale wa Tanzania wanaotumia jina la Baba kumwita Nyerere hayo ndio mafundisho ya Bibilia ,

Matthew 23:9:

And call no man your father upon the earth: for one is your Father, which is in heaven

wacheni mipango yenu ,msiwe na pupa kuingilia mambo ya wengine wakati kumbe hata dini yenu hamjui inawafundisha kitu gani.

Hakuna sababu ya kuwaambia wavae mitandio maana makanisani hatuna watu wanaopatwa na mifadhaikoooo......!
 
Makwaia ana mawazo ya kiislam ni Muhahidina wa nguvu hana hata heshima mbele za Umma .Huyo wa Upako ndiyo kanisa lake linachunguza sadaka ? Tunaendelea .
 
huyo wa Kuhenga..huwa anakuwa na topic nzuri sana na hata anajua kuziibua wakati muafaka.Kinachonipa shida wakati wote ni kumwelewa style yake katika kuendesha kipindi.Ingewezekana waandishi wenzake wangemsaidia kwa kumshauri kuwa more focused.He needs some serious capacity building IN THIS REGARD!
 
sasa WoS,talking of the content of the thread itself,unaionaje kauli yake dhidi ya wakatoliki?
 
Niliwahi kusema jambo hili katika moja ya posts zangu kuhusu huyu bwana Lusekelo kwamba shida yake ni elimu tu.
We msikilize muda wote anapozungumza. Utagundua shida yake ni elimu.
Angelikuwa na elimu angelikuwa more constructive kwenye mambo anasema. Lakini sasa anajisemea tu kumbe maskini..........
Siwezi kusema mengi kwa ajili yake zaidi ya hili.
 
Makwaia ana mawazo ya kiislam ni Muhahidina wa nguvu hana hata heshima mbele za Umma .Huyo wa Upako ndiyo kanisa lake linachunguza sadaka ? Tunaendelea .

MKUU
umekuwa mdini tangu lini maana umegeuka abruptly na kasi yako sasa si haba tena.
teh teh teh teh teh
 
unajua inanipa shida sana kuelewa hili jambo....???..LIPI HASA TATIZO LA WARAKA WA WANATAALUMA WA KIKATOLIKI....?????...tatizo ni kuwa waraka huo umetolewa na wakatoliki au kuna jingine....?????..maana sijaona watu wakipinga waraka huo kwa kutumia hoja..na wasiwasi na watu wengi...nahisi hawajausoma na hawauelewi...wanaupinga tu sababu umetolewa na wakatoliki...!!!!!!!!
nikirudi kwa Bw. Makwaia na kipindi chake...alikuwa biased katika kipindi chake cha leo..panel yake yote wanaupinga waraka..mi nadhani ingekuwa bora angetafuta na mtu mwingine wasikie na upande wa pili kuliko kuwa na wagen wenye matazamo na mwelekeo mmoja....kwanini asimkaribishe hata mtu mmoja aliyehusika katika kuuandaa huo waraka akasikia walikuwa na malengo gani wakati walipokuwa wanautayarisha...kuliko kutuletea watu ambao wanamawazo ya aina moja..
 
Makwaia yupo safi, tatizo anapoleta mada badala ya kuacha washiriki kuchangia, ana-side kwenye upande anaotaka yeye na kulazimisha wote wamfuatishe...abadilike hapo...ila ndugu zangu Waislam wananishangaza kidogo, mwanzo walikua wanamlaumu sana Hayati Baba wa Taifa kwamba ndiye aliyewa-marginalize sana wakati wa utawala wake, now wanamuona mwema!! Naomba BAKWATA pia watoe waraka, uongozi mbovu hauhitaji kutumbukiza ishu za udini, wananchi wamechoka kuumia jamani...
 
Huyo Pengo kwanza awakataze wanawake kwenda makanisani kisha awaeleze wanapokuwa wawe wamevaa mitandio kufunika vichwa vyao ,ee ndio maana yake awaandalie mwongozo huko kwanza na kuwafundisha neno la Mungu.Awakataze wanawake kuvaa nguo za kiume,
Deuteronomy 22:5:The woman shall not wear that which pertains to a man, neither shall a man put on a woman's garment, for all that do so are an abomination to the Lord your God.

Apinge Mawaziri wanawake na hata kuwaruhusu kuhubiri kwenye makanisa.Azuie wanawake walioolewa kuhudhuria makanisani ,maana yeye kama mwanamme atakuwa anawakodolea macho.

Matthew 6:5-6:And when thou prayest, thou shalt not be as the hypocrites are: for they love to pray standing in the synagogues and in the corners of the streets, that they may be seen of men. Verily I say unto you, They have their reward.

Kama haitoshi azuie watoto kutumia jina la baba pia awazuie wale wa Tanzania wanaotumia jina la Baba kumwita Nyerere hayo ndio mafundisho ya Bibilia ,

Matthew 23:9:

And call no man your father upon the earth: for one is your Father, which is in heaven

wacheni mipango yenu ,msiwe na pupa kuingilia mambo ya wengine wakati kumbe hata dini yenu hamjui inawafundisha kitu gani.
Mwiba,
If OUR God offends you, then I suggest you consider another part of the world as your new home, because God is part of our culture.'
 
huyo wa Kuhenga..huwa anakuwa na topic nzuri sana na hata anajua kuziibua wakati muafaka.Kinachonipa shida wakati wote ni kumwelewa style yake katika kuendesha kipindi.Ingewezekana waandishi wenzake wangemsaidia kwa kumshauri kuwa more focused.He needs some serious capacity building IN THIS REGARD!

i think we share the same insight kuhusu huyu makwaia...namimi huwa napata tabu kwakuwa hayupo focused ...na zaidi hungangania kumpeleka wageni wake kule anakoamini yeye.......sipendagi anavyokatisha mtu akiwa kati kati ya hoja ....badala ya kumuacha akamaliza ...mwisho wa siku conclussion ya vipindi vyake huwa ile aliyoipanga yeye...

nahisi ningepata wakati mgumu sana kama nirakaribishwa na mtu kama makwaia ...naweza kuishia kubishana naye live.....nadhani anajaribu sana kumuiga LARY KING ....Maana lary pia naye mahojiano yake huwa maongezi...lakini huwapa wageni wake nafasi wajieleze,na kama kuna la kuongezea huelezea badaye ...lary ana uelewa kwenye kila nyanja ..na si uelewa wake pekee kwani Lary huwa ana waandhishi na washauri wengi nyuma ya pazia ...wenye kazi ya kumuandalia profile na details za kuongea na kila mgeni anayemtembelea...ana watafiti ambao humpa inside informations .....na kumuwekea mezani....uKiangalia tim sebastia Ambaye siku hizi anaendesha kipindi kigumu cha DOHA DEBATES.....yeye huwa na masuali ya kushtukiza na yasiyotarajiwa LAKINI YASIYOENDA NJE YA TOPIC.....kwa waendesha mijadala wetu they need to be themselves...

Kwa aliyesema elimu ya mchungaji lusekelo inaweza kuwa ndogo naweza kukubali...wale kina sheikh mataka aliokuwa nao wameonesha ulelewa mkubwa wa mambo hata ya nje ya imani zao ..tofauti na lusekelo ba mwenzake.....waliopwaya sana....na mwisho wa siku mantiki ya mjadala haikuwapo ...kwani walionesha hawajuwi wanaloliongelea na mwisho kwa makusudi au kwa kuzidiwa hoja wakaungana na hoja ya mataka na mwenzake...hungeweza kujuwa wao walikuwaja kwenye kipindi kwa kupandikizwa au walikuwa hawajajiandaa ....nijuavyo viongozi wa dini walisoma falsafa ...wapo makini sana kwenye kauli zao na mara zote huchagua kukaa kimya kuliko kutoa kauli za kiutatanishi.....kauli kama aliyotoa leo itamuweka kwenye spotlight kwa muda mrefu.....nafikiri ni wakati sasa viongozi wa dini wanaosema wanategemea vipaji...pia kuangalia umuhimu wa kujiendeleza kielimu...au kuwa na jopo la washauri miongoni mwa waumini wao...kwani mwisho wa siku ni wanadamu ,,...na hawawezi kujuwa yote...

kama nilivyosema awali ni bora siku nyingine akiandaa vipindi vyake awe ana balance ....kwani si mara ya kwanza ....si vema kufanya watu waamini kuwa baadhi ya vipindi vyake vinakuwa na malengo maalum ...ya kudhalilisha makundi fulani ya wananchi!!..especially kama hawapo kujibu hata kupiga simu!!!
 
Wengi ndani ya forum hii wanaangalia kitu kimoja, waraka ni mzuri hivyo hakuna shida kama wakatoliki ndio wameutoa. Pamoja na hayo wengi hao wanasema hakuna shida kuchanganya dini na siasa, ukiwauliza kwanini kuchanganya dini na siasa ni kitu kizuri, hutapata jibu la moja kwa moja.

Hutapata jibu la moja kwa moja kwa sababu dini ni imani, na imani haihitaji ushahidi ili ikubalike. Ukishakuwa na imani basi hakuna haja ya sababu. Ukishaamini biblia au korani ina majibu yote hata yale ya kisiasa, huna haja ya kuhoji kuhusu hili kwani imani yako inakuambia hili ni neno la Mungu. Nani anabishana na neno la Mungu?

Matatizo ya mitazamo kama hii yanaepukika ikiwa kuna mipaka kati ya dini na siasa. Ukweli kuhusu yale yaliyomo kwenye Biblia au Korani hauwezi kuzungumziwa katika Siasa. Na serikali haiwezi kusema ni vipi Biblia au Korani itafsiriwe kwenye mada mbalimbali. Serikali inaweza kutafsiri "policy" mbali mbali lakini haiwezi kutafsiri maana za Biblia au Korani. Kwanini dini ijiingize kutafsiri "policy" za serikali wakati serikali haiwezi kufanya hivyo hivyo kwa dini?

Serikali inatakiwa kuwa kali katika kutenganisha dini na siasa. Ujinga wa kuzipa asasi za kidini fedha ili zisaidie huduma za jamii ni kuzifanya kuwa mikono mingine ya serikali.

When religious people begin to believe that they are the kingdom, this is the beginning of the end.
 
Imani...
Hapa watu wananukuu vipande vya biblia ili kujenga hoja.
Tutumie vifungu hivyo kwenye siasa?
 
Kuna kifungu kimoja kwenye bible kinasema, 'Give to Caesar what is Caesar's and to God what is God's'

Kanisa hapa linataka vya Kaisari na vya Mungu.
 
Mimi sio Mkatoliki lakini baada ya kusoma huu waraka kwa kina nakubaliana na kila kitu kilichosemwa katika huo waraka. Waraka huu umezungumzia yale ambayo tumekuwa tukizungumzia hapa kila siku kama elimu ya uraia, kupambana na rushwa na kupambana na ubadhirifu wa mali ya umma.
 
Huwa napenda mara nyingi nipatapo wasaa na ukizingatia channel ten wanaonekana kwenye satelite ..kuangalia kipindi cha mwandishi wa habari mkongwe Makwaia Wa Kuhenga,anaendesha kipindi vema pamoja na kuwa mara nyingine hampi mtu anayemuhoji fursa ya kujieleza kwa kuingilia bila sababu pale anapenda wageni wake waelekee kule anakotaka,zaidi ya kuwapa uhuru kama wafanyavyo Hamza kasongo au JENERALI ....,bila shaka hawa wote watatu wanaendesha talk show nzuri kabisa pale CHANNEL TEN!!!

Wiki iliyopita na wiki hii mzee makwaia amekuwa akiendesha vipindi vyenye mwelekeo wa kujadili waraka wa wakatoliki....kipindi kilichopita alikifanyia zanziba ...akiwakutanisha sheikh mmoja na muumini wa aglikana,....leo amewahoji ..Sheikh mattaka na mwenzake ..,pamoja na Mchungaji LUSEKELO na mwenzake...kipindi kilikuwa kizuri hasa uelewa uliooneshwa na kijana aliyeambatana na sheikh mattaka...

Lakini kwa upande wa lusekelo ....ameonesha uwezo mdogo wa matumizi ya falsafa...ambayo hautegemewi kwa kiongozi wa dini kama yeye kukosa uelewa kama huo...amejikuta akiiingia kwenye mashambulizi ya wazi kwa kanisa katoliki kufikia kuita kuwa waraka wao unatia kichefu chefu ...nadhani kwa kiongozi wa dini angeweza kutumia lugha stahiki..kama alivyokuwa Sheikh Mattaka na kijana aliyeambatana naye...,zaidi ya hayo ameonesha uwezo mdogo wa ufahamu usiotarajiwa,...mfano amesema viongozi wa dini wa kenya hawaongelei siasa ..wakati hali ni tofauti..kabisa kenya kule mombasa nani asiyemkumbuka SHEIKH balala...au nani asiyejuwa namna maaskofu waklioko nairobi wanavyoongelea siasa kila siku!!! Kwa afrka mashariki ..viongozi wa dini wa tanzania ni kati ya viongozi wanaoonesha uvumilivu mkubwa sana kwa dola...na wana mahusiano mema sana!! hatujafika huko .....!!tumeshuhudia hata ishu ya misamaha ya kodi ilivyofanywa kwa maelewano kati ya serikali na viongozi wa dola!!.....nadhani viongozi kama lusekelo wanatakiwa kujuwa kuwa wanategemewa na waumini na jamii wao kutumia lugha za busara!!

Kwa upande wa muendesha kipindi mzee makwaia ...nashauri kipindi kijacho awaalike wawakilishi wa kanisa katoliki ..ili nao waweze kujibu mashambulizi ambayo wamekuwa wakitupiwa tangu wiki iliyopita kupitia kipindi chake!!...kama leo ingekuwa sooo balanced kama nao wangekuwapo....,la sivyo itakuwa kama wakati ule ....alipoondesha kipindi cha kujadili siasa za vyama na wawakilishi wa CCM peke yake ..huku wapinzani wakikosekana!!!..nakumbuka aliwahoji ADAM MALIMA na Mudhihir mudhihir..huku wawakilishi wa CHADEMA na CUF wakikosekana !!

Mimi napenda kumfagilia huyu Bwana aliyepost hii post. Pamoja na kuwa mijadala yetu mingi hapa imetekwa sana na hisia za kidini na pamoja na kuwa kipindi na mada iliyokuwa ikijadiliwa kwenye TV na hatimaye kuletwa hapa ni moja ya mada sensitive ya kidini. Lakini mleta hoja hii amekwepa kabisa kuingiza ushabiki wowote wa kidini.

Ukisoma kwenye mistari ya hii post huwezi kusema huyu bwana yupo upande wa waislam, wala wakatoliki, wala waprotestant au wapentekoste. Mkuu Heshima mbele, Kama wote tutajifunza kwako basi mijadala hapa itarudisha heshima yake na wengi tutapata kile tunachokitafuta. Jamaani hata kumpa asante mnabana ha ha ha

Amani iwe nawe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom