Samuel Sitta kitendo cha kuwa mcha MUNGU mzuri kinamsaidia sana yeye kuwa na ujasiri katika mambo anayoyazungumzia na kuyajadili. Kimsingi Sitta anamtegemea sana MUNGU kwenye kazi zake na ndio maana anapata huu ujasiri wa kuunga mkono mwongozo huu tofauti na viongozi wengine wa chama na serikali ambao hazina zao ziko kwa waganga wa kienyeji kwa kupigiwa ramli uko Tanga, Sumbawanga, Kigoma, Bagamoyo n.k
MUNGU AENDELEE KUKUPA UJASIRI BWANA SAMUEL SITTA
Are You sure Mchamungu au Hisia zako?
Samuel Sitta kitendo cha kuwa mcha MUNGU mzuri kinamsaidia sana yeye kuwa na ujasiri katika mambo anayoyazungumzia na kuyajadili. Kimsingi Sitta anamtegemea sana MUNGU kwenye kazi zake na ndio maana anapata huu ujasiri wa kuunga mkono mwongozo huu tofauti na viongozi wengine wa chama na serikali ambao hazina zao ziko kwa waganga wa kienyeji kwa kupigiwa ramli uko Tanga, Sumbawanga, Kigoma, Bagamoyo n.k
MUNGU AENDELEE KUKUPA UJASIRI BWANA SAMUEL SITTA
kwa hiyo anything anti ccm kwake niupinzani lakini huyu mtu si mzee sana kanini asipumuzike afaidi matunda ya ccm toka enzi cha chama kushika utamu hadi leo ccm na ufisadi - kakusanye mapato pale ubungu terminal. that is his only best opportunity at his old age.Aliwahi kusema yeye dini yake ni CCM
Huyo Pengo kwanza awakataze wanawake kwenda makanisani kisha awaeleze wanapokuwa wawe wamevaa mitandio kufunika vichwa vyao ,ee ndio maana yake awaandalie mwongozo huko kwanza na kuwafundisha neno la Mungu.Awakataze wanawake kuvaa nguo za kiume,
Deuteronomy 22:5:The woman shall not wear that which pertains to a man, neither shall a man put on a woman's garment, for all that do so are an abomination to the Lord your God.
Apinge Mawaziri wanawake na hata kuwaruhusu kuhubiri kwenye makanisa.Azuie wanawake walioolewa kuhudhuria makanisani ,maana yeye kama mwanamme atakuwa anawakodolea macho.
Matthew 6:5-6:And when thou prayest, thou shalt not be as the hypocrites are: for they love to pray standing in the synagogues and in the corners of the streets, that they may be seen of men. Verily I say unto you, They have their reward.
Kama haitoshi azuie watoto kutumia jina la baba pia awazuie wale wa Tanzania wanaotumia jina la Baba kumwita Nyerere hayo ndio mafundisho ya Bibilia ,
Matthew 23:9:
And call no man your father upon the earth: for one is your Father, which is in heaven
wacheni mipango yenu ,msiwe na pupa kuingilia mambo ya wengine wakati kumbe hata dini yenu hamjui inawafundisha kitu gani.
__________________
MKUU MWIBA YAKALE YAMEPITA TAZAMA YAMEKUWA MAPYA....HAYO UNAYOONGELEA NI MAMBO YA AGANO LA KALE ...UNAKUMBUKA NGURUWE HARAMU AGANO LA KALE...LAKINI UNAJUA AGANO JIPYA LINASEMAJE....KITOKACHO NJE NI NANJISI NA SI KIINGIACHO....MEANS RUKSA HOTSEAT........
NINI MAANA YAKE...UKO SAWA YOTE NI MAANDIKO LAKINI LAZIMA UJUE TUMEZALIWA UPYA TUNATAKIWA KUISHI NA AGANO JIPYA UKICHUKUA KIPENGELE KIMOJA KIMOJA AGANO JIPYA UTAKUWA MUUMINI WA DINI YOYOTE......MUNGU AKUTIE NGUVU ENDELEA KUTAFUTA NA KUJUA MAANDIKO ZAIDI UPATE UFAHAMU WA YESU KRISTO HAKUNA KITU CHEMA KMA HEKIMA NA UFAHAMU WA MUNGU
Jamaa anaclaim hana dini, lakini originally ni mkatoliki kwani familia yake walikuwa wakihudhuria misa pale St Anthony Cathedral, Mbeya, alipokuwa mkuu wa mkoa. Pia kaka yake ni mkatoliki.Just CURIOSITY ...... Hivi Huyu Kingunge yeye anaabudu/swali kwenye DINI GANI?
Is he Mkristo, Muislam, Buda, etc etc?
Just want to know!
wakuu mbona huo waraka unaongelewa lakini unapo omba kopi hamna anayeweza kutoa
sasa watu wanachangia from which ground/source????
Ni mpagani anayeabudu kila kitu na hasa pesa za watanzania kwanza kisha miti, mawe mchanga, wanyama, siasa, mademu, etc etc etcJust CURIOSITY ...... Hivi Huyu Kingunge yeye anaabudu/swali kwenye DINI GANI?
Is he Mkristo, Muislam, Buda, etc etc?
Just want to know!
Waraka huo mbona kwa waislamu ni kitu cha kawaida? sema kosa la kanisa ni kwamba wameutoa nje ya majengo yao wakati waislamu wanautoa ndani ya majengo yao tu.MIMI NAJIULIZA HIVI WARAKA HUO HUO WA WAKATOLIKI UNGETOLEWA NA WAISLAMU NCHI AU HATA TAIFA NA WANAICHI WANGEOPOKEA VIPI?
Mimi naungana na Kingunge 100% kua utaigawa nchi. kama maaskofu wanataka kuingia kwenye siasa basi waanzishe Chama na huo ndio uwe dira yao. waanze kugombea ubunge
Sijauona ndugu yangu Mitomimgi. Kuuliza si ujinga je uko wapi? Maelekezo ya Soares nimeyafuatilia lakini sijabahatika kuuona.
Wakuu Spika wa bunge ameunga mkono waraka wa Kanisa Katoliki uliopingwa hivi karibuni na Kingunge na kusema kuwa unalenga kuwatenga majizi, mafisadi na wapiga ramli na kusema kuwa unarejesha nchi katika misingi ya Mwalimu Nyerere.
Hivi ni kweli anaunga mkono au ni changa la macho tu wakuu?
Mbona hoja nyingi za kupinga mafisadi amekuwa mstari wa mbele kuzikwamisha bungeni?
Kweli hii itakuwa kalagabaho!!
Ni wakati wa kutubu huu wewe Kayetani. NB Kwa wasiojua hili ndilo jina lake kabla hajaenda kupumbazwa na ideology za ajabu ajabu huko Urusi.