Wapo wakweli lakini ni wachache

Wapo wakweli lakini ni wachache

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi wakubwa tunataka kuwa na future ila malezi ya jamii zetu tangu utotoni hatukuandaliwa mtazamo wa ukiwa mkubwa uwe na future.

Waafrika wengi wamekulia katika familia zenye migogoro ya ndoa mfano mtoto tangu mdogo alikuwa anamuona baba yake ana nyumba ndogo kama 3 huyu kuja kuwa na mtizamo wa kuwa na mtu mmoja kwake ni ndoto.
 
Ndiyo hasa pale unapohisi unaitumia sehemu ambayo siyo sahihi inakuwa ni misuse of resources.. !! Lazima ufanye proper allocation[emoji23][emoji23]

The law of "use and disuse" ya Darwin inasema kiungo fulani cha mwili kisipotumika kwa matumizi yake kuna uwezekano wa kiungo hicho kuisha, kuharibika au kushindwa kufanya kwa capacity yake siku za mbeleni.

Kwa hiyo ukikitunza sana tegemea hayo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
The law of "use and disuse" ya Darwin inasema kiungo fulani cha mwili kisipotumika kwa matumizi yake kuna uwezekano wa kiungo hicho kuisha, kuharibika au kushindwa kufanya kwa capacity yake siku za mbeleni.

Kwa hiyo ukikitunza sana tegemea hayo.
Haaa kitashika kutu sio??
Kutoa nitatoa mkuu ila kwa budget
 
Back
Top Bottom