Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
Wala usijali hata kidogo.Njoo na kadi ya ATM mkuu maana hali yangu ngumu ni ya kifedha
Wala usijali hata kidogo.Njoo na kadi ya ATM mkuu maana hali yangu ngumu ni ya kifedha
Yanikute Mara ngapi mkuu? Hali si hali nduguAise usiombe yakukute naelewa masta
Utakaziwa mwanzo mwish hata ukitengeneza mazingira ya kuachana inakua ngumu
Hawa wanawake bila kutumia akili ya ziada umeekwisha
Hapana mrembo. Ni mapenzi haswa, tena sometimes yanaweza pelekea hata ndio inakufaMapenzi kwa Mume wa mtu mkuu?? Labda kudanga aisee
Ohhh me nshapeleka mpaka pasiwodi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au na wallet
Sis, nipo kwenye mkoa wenu.Unakuta mtu anaambiwa hamna future na yeye anaendelea kuachia uchi tuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ow asanteWala usijali hata kidogo.
Tangu lini? JamaniSis, nipo kwenye mkoa wenu.
Masaa mawili yaliyopita sis,Tangu lini? Jamani
Oh mpemba wangu. Ukipata nafasi niambie tuonane.Masaa mawili yaliyopita sis,
Sawa sis, nifungulie pm maana namba nimepoteza dada yangu. Mimi siyo mpemba ni mzamiaji tuu[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]Oh mpemba wangu. Ukipata nafasi niambie tuonane.
Ow!! Okay okay.Sawa sis, nifungulie pm maana namba nimepoteza dada yangu. Mimi siyo mpemba ni mzamiaji tuu[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]
sasa ukimwachia utamu wote si ndiyo atachonga mzinga au???Haaaah!! Walisahau kipengele muhimu sana.
Mwanaume ambaye hajakuoa hautakiwi kumwachia utamu wote[emoji23][emoji23][emoji23]
Boss aya zipo kwenye bible nyingi tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimegundua kwa hii dhambi mbinguni tutakua wachache sana.
Hii I'd ina mengi sana nyuma yake [emoji40]
Kiukweli mpaka leo nimesoma vitabu vya imani zote sijaona vilipoandika kitu kinaitwa "mume mwema" isipokuwa vinasisitiza wapi anapatikana "mke mwema".[emoji39]
Mwanamume akiingia kwenye mahusiano na ke determinant wa mahusiano anabaki kuwa ke .dada yangu ke akiwa smart me ni fala kweli!!!shida kuna katalanta hamuka utilize.shida umeshindwa cha kufanya na wakati ganiNeno ndoa nikilickia naogopa..
Atakaesema anataka kunioa uyu inabid aende nyumban akakamilishe mipango yote ndo tuwe wote
Nlie nae tupo tu,aliniambia hana mpango wakuoa
ni formula ila siyo constantMuoaji akibaniwa sana anaona hapa ndo penyewe
Ushaulizia wangapiSiku hivi huwa nauliza kwa mwanaume yeyote anaenihitaj anataka mahusiano ya aina gani kabla cjamkubal
Alafu nikakupenda.Siku hizi wanasema ukibana miguu sahau kuolewa, hakuna mtu ananunua mbuzi kwenye salfeti. Maisha haya bwana, mna raha mliokwishaolewaga kitambo na akina Asprin
Nakubaliana na wewe ila sababu yakubana iwe ya msingi na kweli akichunguza aione. MF. Hutaki kwa sababu ya kumheshimu Mungu na hujawahi kufanya maana yake seal iwepo.Muoaji ukimbania anapata motisha zaidi