Wapo wakweli lakini ni wachache

Wapo wakweli lakini ni wachache

Hivi unajua mwanaume anaweza kukwichikwkchi na mtu with no feelings attached? Hakuna kiumbe ana wivu kama mwanaume, mwanamke unaweza kuwa unampenda mtu unajua kabisa sasa hivi yupo amekumbatia mwanamke mwingine na ukavumilia lakini sio mwanaume. Ukiona mwanaume anatoka na mke wa mtu na anajua kabisa hamna mapenzi hapo kuna kitu kingine tu kinatafutwa.
Unatumia kinywaji gani mkuu??
 
Wale wanaume au wanawake wenye guts za kukuambia “huko tuendako mimi na wewe hatuna future”, Mimi sina mpango wa kuoa/kuolewa sasa.

Ukisikia haya jua hujakidhi vigezo, jisogeze taratibu. Unaweza kuwa na hasira miezi miwili lakini kuweka grudges si jambo jema.

Kheri anaekwambia kuliko uje usikie au ujue ana mahusiano mengine.

Yalishakutokea?
Kuna 1 ameniambia several times "tafuta bint ana marry her" "find someone and be happy". "Mi siko tayari na unajua hilo".

"Just go and leave me". "You'll be with me when am settled and if u'll still be available".

Nikamwambia basi poa mi nawe basi.

Nikimuacha labda week 2 simtafuti, anakuja ooh I miss u. Kuna siku akanitumia kaposter kuwa mi naye tulikua bora sana lakini ndio basi tena. Nikamuuliza how many times umeniambia nimove on? Many....ooh basi yaishe.

Nikamuulilza will it change the fact that hunitak? Akajibu "ooh honey u just dont know how i feel". Nikamwambia basi usinitafute tena si ndo unavyotaka.....oh mi sitaki hivyo wewe (mimi) ndo unavyotaka.

Kiufupi hawezi kukaa mbali nami. Hii ni zaidi ya mara 4 anajirudi but huwa haombi msamaha kama anataka kuwa nami ila tu nnachoona anataka just connection nami ili sijui apate way in kama huko anakopenda kukiharibika. Am just curious.
 
Wengi wenye kujitambua huwa wana true love kabisa. Mazingira waliyonayo huwa yanawafanya wasionekane real. Muwe mnatuelewa jamani na utakuta wadada wengine mungu amewajaalia uelewa mkubwa. Wanaelewa kabisa huyu mshkaji mazingira yake magumu, ila anamkazia mwanzo mwisho. Mungu tusaidie
Aise usiombe yakukute naelewa masta
Utakaziwa mwanzo mwish hata ukitengeneza mazingira ya kuachana inakua ngumu
Hawa wanawake bila kutumia akili ya ziada umeekwisha
 
Kuna 1 ameniambia several times "tafuta bint ana marry her" "find someone and be happy". "Mi siko tayari na unajua hilo".

"Just go and leave me". "You'll be with me when am settled and if u'll still be available".

Nikamwambia basi poa mi nawe basi.

Nikimuacha labda week 2 simtafuti, anakuja ooh I miss u. Kuna siku akanitumia kaposter kuwa mi naye tulikua bora sana lakini ndio basi tena. Nikamuuliza how many times umeniambia nimove on? Many....ooh basi yaishe.

Nikamuulilza will it change the fact that hunitak? Akajibu "ooh honey u just dont know how i feel". Nikamwambia basi usinitafute tena si ndo unavyotaka.....oh mi sitaki hivyo wewe (mimi) ndo unavyotaka.

Kiufupi hawezi kukaa mbali nami. Hii ni zaidi ya mara 4 anajirudi but huwa haombi msamaha kama anataka kuwa nami ila tu nnachoona anataka just connection nami ili sijui apate way in kama huko anakopenda kukiharibika. Am just curious.
Uyo nae sitaki nataka, anataka ujiongeze
 
Anataka hataki au anakupima
 
Back
Top Bottom