Wapo wakweli lakini ni wachache

Wapo wakweli lakini ni wachache

Ujue kuna mambo ni yakishamba sana maana papuchi unayokutana nayo ni over used halafu manzi alikubania ile mbaya almost a year
Hapo kinachofata ni kuachana tu
😂😂😂😂😂 mkuu ile kitu ni kama elastic, ispotumika over a year inajirudisha kuwa kama mpya kabisa
 
Spea ya tairi wewe..
Kuna 1 ameniambia several times "tafuta bint ana marry her" "find someone and be happy". "Mi siko tayari na unajua hilo".

"Just go and leave me". "You'll be with me when am settled and if u'll still be available".

Nikamwambia basi poa mi nawe basi.

Nikimuacha labda week 2 simtafuti, anakuja ooh I miss u. Kuna siku akanitumia kaposter kuwa mi naye tulikua bora sana lakini ndio basi tena. Nikamuuliza how many times umeniambia nimove on? Many....ooh basi yaishe.

Nikamuulilza will it change the fact that hunitak? Akajibu "ooh honey u just dont know how i feel". Nikamwambia basi usinitafute tena si ndo unavyotaka.....oh mi sitaki hivyo wewe (mimi) ndo unavyotaka.

Kiufupi hawezi kukaa mbali nami. Hii ni zaidi ya mara 4 anajirudi but huwa haombi msamaha kama anataka kuwa nami ila tu nnachoona anataka just connection nami ili sijui apate way in kama huko anakopenda kukiharibika. Am just curious.
 
Me nishawahi ambiwa "yo just a boyfriend" moyo ulilia paaaah
 
Sasa short term utaweza kumsoma mrembo kama anafaa kuwa wa kufa na kuzikana rafiki? Na akibana miguu pia itakula kwake maana lazima kuujua uzuri wa mrembo kwenye 6 kwa sita vinginevyo unaweza kuuziwa mbuzi kwenye gunia njemba ikabaki na majuto na kusababisha ndoa kuishia njiani.



Wanaosema short term ni wachzche sana. Ukitaka kumjua bana miguu.
 
Back
Top Bottom