Wapo wakweli lakini ni wachache

Wapo wakweli lakini ni wachache

Inachoma kama pasi
Yaaa ilo ndo tatizo lao kubwaaa
Nasisi pia tunapendwa kudanganywa ila tukishaumia tunajifunza haturudii makosa
Ni vyema kujua mapema kuliko penzi limekolea halafu ghafla unaambiwa ambayo hukutegemea kabisaaa
 
Ukioa mkuu umeshajifunga. Umeoa halafu unaangaza angaza tena??
Okey jokes aside.
Ni ngumu mwanamke ambaye hamna imani sawa kuvumilia huku akijua mwanaume wake usiku huu yupo anajigi jigi na mwanamke mwingine halafu kesho anakuja kwako tena.
Ndiyo shida inapotokea mkuu. Kila mtu anataka ajilie chake mwenyewe hata kama kinachakachuliwa asijue mkuu.
Or let's assume wewe umempenda mke wa mtu utajisikiaje usiku anajigiwa jigiwa na Mume wake huku wewe umekumbatia MTO?? Unashindwa hata kumpigia simu?
Hivi unajua mwanaume anaweza kukwichikwkchi na mtu with no feelings attached? Hakuna kiumbe ana wivu kama mwanaume, mwanamke unaweza kuwa unampenda mtu unajua kabisa sasa hivi yupo amekumbatia mwanamke mwingine na ukavumilia lakini sio mwanaume. Ukiona mwanaume anatoka na mke wa mtu na anajua kabisa hamna mapenzi hapo kuna kitu kingine tu kinatafutwa.
 
Kuna ukweli dear ila nasisi tuna wivu jamani sio wao tuu.
Labda kama nadanga kwa Mume wa mtu ndiyo sitakuwa na wivu ..ila kutafuta mapenzi tuu jamani???
 
Haha sasa kwa mwanaume wa mtu utakuwa unatafuta nini zaidi ya kudanga? Huwa tunaanzia kwenye kudanga tunajikuta tumependa kweli hahaa
Kuna ukweli dear ila nasisi tuna wivu jamani sio wao tuu.
Labda kama nadanga kwa Mume wa mtu ndiyo sitakuwa na wivu ..ila kutafuta mapenzi tuu jamani???
 
Ukioa mkuu umeshajifunga. Umeoa halafu unaangaza angaza tena??
Okey jokes aside.
Ni ngumu mwanamke ambaye hamna imani sawa kuvumilia huku akijua mwanaume wake usiku huu yupo anajigi jigi na mwanamke mwingine halafu kesho anakuja kwako tena.
Ndiyo shida inapotokea mkuu. Kila mtu anataka ajilie chake mwenyewe hata kama kinachakachuliwa asijue mkuu.
Or let's assume wewe umempenda mke wa mtu utajisikiaje usiku anajigiwa jigiwa na Mume wake huku wewe umekumbatia MTO?? Unashindwa hata kumpigia simu?
Bado inategemea mtu na mtu, huu mjadala haujawahigi kumalizika. Mara nyingi mwisho wake ni mtu kupotezea anachokipenda zaidi ya kukipigania. Halafu hayo mambo pia yapo so natural. Ila imani inahusika sana hapa
 
Back
Top Bottom