Wapo wakweli lakini ni wachache

Wapo wakweli lakini ni wachache

Mazingira magumu ndiyo yapi mkuu??
Fafanua
Unakuta mtu let's say ameoa, halafu anatokea kumpenda mtu mwengine, a real and precious love. Na anampenda kweli haswa basi kisa tu kaoa mwanamke atamkazia mwanzo mwisho. Some other ladies wanaweza sema ili uwe na Mimi achana na yule na kwa kweli kwa huyo mwanamme hayo yanakuwa ni maamuzi mazito mno. Au sometimes dini zinaingilia kati na kusababisha mazingira magumu
 
Yes hili jibu ni zuri maana mtu unajikalia tu standby mguu ndani mguu nje. Tatizo la wanaume ni kwamba huwa wanataka kummiliki mtu jumla jumla, anakutengenezea mazingira ujione umefika ili akutumie effectively, yaani ukikaa nao nusu nusu hawajisikii kabisa
Yaaa ilo ndo tatizo lao kubwaaa
Nasisi pia tunapendwa kudanganywa ila tukishaumia tunajifunza haturudii makosa
Ni vyema kujua mapema kuliko penzi limekolea halafu ghafla unaambiwa ambayo hukutegemea kabisaaa
 
Unakuta mtu let's say ameoa, halafu anatokea kumpenda mtu mwengine, a real and precious love. Na anampenda kweli haswa basi kisa tu kaoa mwanamke atamkazia mwanzo mwisho. Some other ladies wanaweza sema ili uwe na Mimi achana na yule na kwa kweli kwa huyo mwanamme hayo yanakuwa ni maamuzi mazito mno. Au sometimes dini zinaingilia kati na kusababisha mazingira magumu
Ukioa mkuu umeshajifunga. Umeoa halafu unaangaza angaza tena??
Okey jokes aside.
Ni ngumu mwanamke ambaye hamna imani sawa kuvumilia huku akijua mwanaume wake usiku huu yupo anajigi jigi na mwanamke mwingine halafu kesho anakuja kwako tena.
Ndiyo shida inapotokea mkuu. Kila mtu anataka ajilie chake mwenyewe hata kama kinachakachuliwa asijue mkuu.
Or let's assume wewe umempenda mke wa mtu utajisikiaje usiku anajigiwa jigiwa na Mume wake huku wewe umekumbatia MTO?? Unashindwa hata kumpigia simu?
 
Back
Top Bottom