Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,708
- 5,711
Kuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama JPM?
Cham cha mapinduzi kina misingi imara na thabiti ambayo kimekuwa kikiisimamia tokea kuanzishwa kwake. Na moja ya misingi ni usawa na haki kwa wote. Kwa ujumla kwa CCM binadamu wote ni sawa.
Mwaka 2015 alipopewa ridhaa ya kuwa mgombea wa CCM ni dhahiri kuwa CCM ilimpa kazi ya kutekeleza mambo muhimu kwa watanzania.
JPM ametekeleza mambo makubwa kwa muda mfupi na hii ni kwa sababu anaongoza kwa kufuata misingi ya CCM.
Aliahidi atajenga Sgr kipande cha kwanza Dar to Moro kitakamilika hivi karibuni. Aliahidi kujenga JNHPP na ametekeleza na mradi huu ukikamilika utakuwa na manufaa kwa watanzania wote. Aliaahidi kuimarisha sekta ya afya na elimu na yote watanzania wameshuhudia nini kimefanyika.
Kwa ujumla Tanzania ina rais mchapa kazi ambae akiahidi kitu kwa manufaa ya watanzania lazima atekeleze.
Sasa vyama vya upinzani kama Chadema ambavyo hata kuongoza majimbo na kata ni tatizo inakuwaje wanathubutu kuchukua fomu na kutaka kuweka mgombea wa kupambana na rais kama JPM?
Chama kama Chadema ambacho hakiwezi kusimamia ruzuku ya ya mil 360, kitaweza vipi kuwa na rais ambae atawatekelezea maendekeo watanzania?
Wanaanchi waaamue kwa wagombea kama hawa wa Chadema kupambana na JPM? Bora wangekaa kando kuliko kupoteza mudaHivi kuna sheria yoyote inayomlazimisha kila mtu kusifia mtu anapofanya jambo zuri? Me nadhani wananchi wangeachwa waamue kwenye sanduku la kura kwa uhuru kabisa bila mizengwe ndio itafahamika
Jibu unalo.Wewe ni mzawa au mamluki ?
Hao waliochukua fomu Chadema hata ubunge hawawezi kupata. Sasa wanapoteza muda bure kwa nini?Acha mpambano uendelee we shida yako Nini?Kama undhani amefanyia Mambo mzuri nchi.wapiga kura wataamu.by the way si amepitishwa peke yake huko ccm?
Jibu unalo.
Hopeless? Mtu unajua hata kura 100 hupati kwa nini ushindane na jembe linalokubalika.Kwahiyo kwa akili yako hiyo ya ngamia kwamba upinzani hawapaswi kugombea nafasi ya Uraisi kwa kigezo hicho mfu? hopeless kabisa wewe
Hopeless? Mtu unajua hata kura 100 hupati kwa nini ushindane na jembe linalokubalika.
Demokrasia ni kutumia common sense pia. Kama aliyepo madarakani anakubalika 100% kwa utekelezaji bora umuunge mkono.Sanduku la kura ndilo litakalo amua na hiyo ndo demokrasia
Demokrasia ni kutumia common sense pia. Kama aliyepo madarakani anakubalika 100% kwa utekelezaji bora umuunge mkono.
Mbona hata yeye alijaribu tu bahati yake akapata? Acha wivu.Kuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama Magufuli?
Chama Cha Mapinduzi kina misingi imara na thabiti ambayo kimekuwa kikiisimamia tokea kuanzishwa kwake. Na moja ya misingi ni usawa na haki kwa wote. Kwa ujumla kwa CCM binadamu wote ni sawa.
Mwaka 2015 alipopewa ridhaa ya kuwa mgombea wa CCM ni dhahiri kuwa CCM ilimpa kazi ya kutekeleza mambo muhimu kwa watanzania.
JPM ametekeleza mambo makubwa kwa muda mfupi na hii ni kwa sababu anaongoza kwa kufuata misingi ya CCM.
Aliahidi atajenga SGR kipande cha kwanza Dar to Moro kitakamilika hivi karibuni. Aliahidi kujenga JNHPP na ametekeleza na mradi huu ukikamilika utakuwa na manufaa kwa watanzania wote. Aliaahidi kuimarisha sekta ya afya na elimu na yote watanzania wameshuhudia nini kimefanyika.
Kwa ujumla Tanzania ina rais mchapa kazi ambae akiahidi kitu kwa manufaa ya watanzania lazima atekeleze.
Sasa vyama vya upinzani kama Chadema ambavyo hata kuongoza majimbo na kata ni tatizo inakuwaje wanathubutu kuchukua fomu na kutaka kuweka mgombea wa kupambana na rais kama Magufuli?
Chama kama Chadema ambacho hakiwezi kusimamia ruzuku ya ya mil 360, kitaweza vipi kuwa na rais ambae atawatekelezea maendekeo watanzania?
Mahaba yametoka wapi? Tumia common sense kabla ya kufanya maamuzi.Common sense ni kwenye sanduku la kura tu,peleke likizo mahaba yako binafsi
Nani anakudanganya alijaribu?Mbona hata yeye alijaribu tu bahati yake akapata? Acha wivu.
Nimedanganywa au alisema yeye mwenyewe? Labda useme alidanganya.Nani anakudanganya alijaribu?