Uchaguzi 2020 Wapinzani mnatambua kabisa Rais Magufuli ni mtendaji, mchapa kazi na mtekelezaji mzuri. Bado hamuoni aibu kuchukua fomu za urais!

Nilikuambia huyo jamaa hajawahi kushinda kwa njia ya box la kura, hata hichi kilio chako ni hofu yako atakapotakiwa kushindana kwa hoja. Yeye anajisi box la kura ili uje hapa tukupe ukweli wenu.
Wananchi wanaangalia uchapakazi wake na utekelezaji wake wa masuala muhimu ya taifa. Atanajisi vipi sanduku la kura?
 
Kuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama Magufuli?

Chama Cha Mapinduzi kina misingi imara na thabiti ambayo kimekuwa kikiisimamia tokea kuanzishwa kwake. Na moja ya misingi ni usawa na haki kwa wote. Kwa ujumla kwa CCM binadamu wote ni sawa.

Mwaka 2015 alipopewa ridhaa ya kuwa mgombea wa CCM ni dhahiri kuwa CCM ilimpa kazi ya kutekeleza mambo muhimu kwa watanzania.
JPM ametekeleza mambo makubwa kwa muda mfupi na hii ni kwa sababu anaongoza kwa kufuata misingi ya CCM.

Aliahidi atajenga SGR kipande cha kwanza Dar to Moro kitakamilika hivi karibuni. Aliahidi kujenga JNHPP na ametekeleza na mradi huu ukikamilika utakuwa na manufaa kwa watanzania wote. Aliaahidi kuimarisha sekta ya afya na elimu na yote watanzania wameshuhudia nini kimefanyika.

Kwa ujumla Tanzania ina rais mchapa kazi ambae akiahidi kitu kwa manufaa ya watanzania lazima atekeleze.

Sasa vyama vya upinzani kama Chadema ambavyo hata kuongoza majimbo na kata ni tatizo inakuwaje wanathubutu kuchukua fomu na kutaka kuweka mgombea wa kupambana na rais kama Magufuli?

Chama kama Chadema ambacho hakiwezi kusimamia ruzuku ya ya mil 360, kitaweza vipi kuwa na rais ambae atawatekelezea maendekeo watanzania?
Halafu watawala wanatambua kuwa wanancgi nao wanatambua hayo, wala hawaoni aibu kutowapa wapinzani uhuru wa kujieleza ili waaibishwe na wananchi
 
Kujieleza kwa namna gani ambapo wapinzani hawajapewa? Mbona viongozi wenu tunawaona wakihojiwa Bbc au Aljazeera na kusema watu 40000 wanakufa kwa Covid -19.
 
Mnafahamu kuwa JPM ni jembe na linatekeleza maendeleo kwa ajili ya watanzania na hao wagombea wenu hawana sifa za kupambana na JPM. Hamuoni aibu kufanya huo mchakato?
Maendeleo yapi? Nchi ina zaidi ya miaka 50 haina maendeleo licha ya kuwa rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, huto tunaendelea kidogo ni pesa za walipa kodi ambao ni wananchi wengi ambao siyo wapenzi wa CCM, kampuni zao binafsi wenyewe ndizo zimepewa Tenda humo kwenye miradi mikubwa pesa inazunguka inawarudia wenyewe, wewe ni mnufaika wa mfumo huu wa kukandamiza demokrasia huku ukila 10% kwenye ununuzi wa Ndege, chato Airport, na miradi yote mikubwa.
 
Habari za kuiga wazungu ndio maana mlisema mtaunga mkono ushoga. Sio kila kitu muige wazungu.
Ushoga Tanzania hauathiri chochote kwani jamii yenyewe automatic haipendi ushoga na hakiwezi kuwa kisingizio kwani hakina mashiko.
 
Kuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama Magufuli?

Chama Cha Mapinduzi kina misingi imara na thabiti ambayo kimekuwa kikiisimamia tokea kuanzishwa kwake. Na moja ya misingi ni usawa na haki kwa wote. Kwa ujumla kwa CCM binadamu wote ni sawa.

Mwaka 2015 alipopewa ridhaa ya kuwa mgombea wa CCM ni dhahiri kuwa CCM ilimpa kazi ya kutekeleza mambo muhimu kwa watanzania.
JPM ametekeleza mambo makubwa kwa muda mfupi na hii ni kwa sababu anaongoza kwa kufuata misingi ya CCM.

Aliahidi atajenga SGR kipande cha kwanza Dar to Moro kitakamilika hivi karibuni. Aliahidi kujenga JNHPP na ametekeleza na mradi huu ukikamilika utakuwa na manufaa kwa watanzania wote. Aliaahidi kuimarisha sekta ya afya na elimu na yote watanzania wameshuhudia nini kimefanyika.

Kwa ujumla Tanzania ina rais mchapa kazi ambae akiahidi kitu kwa manufaa ya watanzania lazima atekeleze.

Sasa vyama vya upinzani kama Chadema ambavyo hata kuongoza majimbo na kata ni tatizo inakuwaje wanathubutu kuchukua fomu na kutaka kuweka mgombea wa kupambana na rais kama Magufuli?

Chama kama Chadema ambacho hakiwezi kusimamia ruzuku ya ya mil 360, kitaweza vipi kuwa na rais ambae atawatekelezea maendekeo watanzania?
Mfumo wa uchaguzi unavyoenda ni wa kupiga kura na kwenye kupiga kura kuna watakaopiga kura za ndiyo na hapana na inawezekana kura nyingine zikaharibika. Tanzania ni nchi inayofuata siasa ya mfumo wa vyama vingi na kila chama kina mgombea wake anayeshindana na mgombewa wa chama tawala. Hivyo, ni haki na halali kabisa kugombea kiti cha Urais wagombea kutoka vyama vingine na ushindi ukipatikana anayepata kura nyingi ndiye anayepata ridhaa ya kuongoza nchi. Wapiga kura (na wewe ukiwemo kama utapiga kura) ndio wanaoamua nani wampe kura nyingi na nani asipate. Kwa upande wangu, sioni shida kabisa wagombea mbalimbali kushiriki kwani ndivyo ulivyo mfumo wetu wa uchaguzi.
 
We bwege nini? Ruzuku ya Chadema mlilipa kijanja Mbowe bil 8. Takukuru lazima wapeleke mahakamani. Ccm haina matumizi mabaya ya ruzuku kama unavyosema ndio maana inatumia vyema hata pesa za walipa kodi kuleta maendeleo kwa kuwabana mafisadi.
We mbwa maendeleo yapi unayoyasema? ya vitu ambayo hata wakoloni walifanya hayo yote lkn hakuna mkoloni hata mmoja aliwahi kujisifia kifala km mnavofanya nyie mbwa.......

Mwl Nyerere alisema yanatakiwa maendeleo ta watu sio per capita income mafala nyie
 
Una maanisha huyu rais wa jamhuri ya watu wa chato ama?
Mkuu CCM walijua wataumbuka mapema Asubuhi ndiyo maana walipiga marufuku mikutano ya siasa kinyume cha Sheria na katiba kwani huko yangekuwa yakianikwa madhaifu yao yote bila chenga.
 
Kuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama Magufuli?

Chama Cha Mapinduzi kina misingi imara na thabiti ambayo kimekuwa kikiisimamia tokea kuanzishwa kwake. Na moja ya misingi ni usawa na haki kwa wote. Kwa ujumla kwa CCM binadamu wote ni sawa.

Mwaka 2015 alipopewa ridhaa ya kuwa mgombea wa CCM ni dhahiri kuwa CCM ilimpa kazi ya kutekeleza mambo muhimu kwa watanzania.
JPM ametekeleza mambo makubwa kwa muda mfupi na hii ni kwa sababu anaongoza kwa kufuata misingi ya CCM.

Aliahidi atajenga SGR kipande cha kwanza Dar to Moro kitakamilika hivi karibuni. Aliahidi kujenga JNHPP na ametekeleza na mradi huu ukikamilika utakuwa na manufaa kwa watanzania wote. Aliaahidi kuimarisha sekta ya afya na elimu na yote watanzania wameshuhudia nini kimefanyika.

Kwa ujumla Tanzania ina rais mchapa kazi ambae akiahidi kitu kwa manufaa ya watanzania lazima atekeleze.

Sasa vyama vya upinzani kama Chadema ambavyo hata kuongoza majimbo na kata ni tatizo inakuwaje wanathubutu kuchukua fomu na kutaka kuweka mgombea wa kupambana na rais kama Magufuli?

Chama kama Chadema ambacho hakiwezi kusimamia ruzuku ya ya mil 360, kitaweza vipi kuwa na rais ambae atawatekelezea maendekeo watanzania?
CCM mnashindwa kuelewa kuwa propaganda ndio zinazofanywa ccm na hakuna chochote cha ajabu. In fact awamu zilizopita zilifanya makubwa kuliko hii ila propaganda na unyanyasaji wa kidikteta ndio unaenezwa kuonesha umma kunwa kuna maajabu. Hakuna kitu yanafichwa mambo mengi mno mtakuja kuyajua mwishoni.
 
Yeye ndie angeliona aibu kabisa! Si ndie aliewatuma waliomshambulia mbunge kwa risasi 38!! Bila haya anataka nafasi tena! Mikonoye imetapakaa damu!
 
Mfumo wa uchaguzi unavyoenda ni wa kupiga kura na kwenye kupiga kura kuna watakaopiga kura za ndiyo na hapana na inawezekana kura nyingine zikaharibika. Tanzania ni nchi inayofuata siasa ya mfumo wa vyama vingi na kila chama kina mgombea wake anayeshindana na mgombewa wa chama tawala. Hivyo, ni haki na halali kabisa kugombea kiti cha Urais wagombea kutoka vyama vingine na ushindi ukipatikana anayepata kura nyingi ndiye anayepata ridhaa ya kuongoza nchi. Wapiga kura (na wewe ukiwemo kama utapiga kura) ndio wanaoamua nani wampe kura nyingi na nani asipate. Kwa upande wangu, sioni shida kabisa wagombea mbalimbali kushiriki kwani ndivyo ulivyo mfumo wetu wa uchaguzi.
Kwa nini ushiriki uchaguzi wakati hata yule unaepambana nae unamkubali kuwa anauwezo wa kufanya kazi kiutendaji kuliko wewe? Angalia mtu kama Nyalandu body language inaonyesha anamkubali JPM 100%.
 
Mkuu CCM walijua wataumbuka mapema Asubuhi ndiyo maana walipiga marufuku mikutano ya siasa kinyume cha Sheria na katiba kwani huko yangekuwa yakianikwa madhaifu yao yote bila chenga.
Na Kuna mauchafu hayajawahi kuwepo kwenye awamu nyingine yoyote yanafichwa kwa nguvu kubwa ya dola na ubabe wa kuvunja katiba na sheria za nchi Una fanywa na mtushamba na limbukeni
 
CCM mnashindwa kuelewa kuwa propaganda ndio zinazofanywa ccm na hakuna chochote cha ajabu. In fact awamu zilizopita zilifanya makubwa kuliko hii ila propaganda na unyanyasaji wa kidikteta ndio unaenezwa kuonesha umma kunwa kuna maajabu. Hakuna kitu yanafichwa mambo mengi mno mtakuja kuyajua mwishoni.
Watanzania wana akili na macho. Wanaona kwa macho Sgr itayokamilika hivi karibuni(Dar to Moro) .Wanaona kwa macho yao kuwa ndege 8 zimenunuliwa kwa cash.
 
Mfumo wa uchaguzi unavyoenda ni wa kupiga kura na kwenye kupiga kura kuna watakaopiga kura za ndiyo na hapana na inawezekana kura nyingine zikaharibika. Tanzania ni nchi inayofuata siasa ya mfumo wa vyama vingi na kila chama kina mgombea wake anayeshindana na mgombewa wa chama tawala. Hivyo, ni haki na halali kabisa kugombea kiti cha Urais wagombea kutoka vyama vingine na ushindi ukipatikana anayepata kura nyingi ndiye anayepata ridhaa ya kuongoza nchi. Wapiga kura (na wewe ukiwemo kama utapiga kura) ndio wanaoamua nani wampe kura nyingi na nani asipate. Kwa upande wangu, sioni shida kabisa wagombea mbalimbali kushiriki kwani ndivyo ulivyo mfumo wetu wa uchaguzi.
Tanganyika ni tofauti na Zanzibar, kwa upande wa Tanganyika CCM imewazuia wengine kuchukua form ya Urais akachukua mmoja tu, lakini Zanzibar kwenye demokrasia kidogo wameruhusu wengi wakachukua form na sasa wapo Dodoma wakifanya kampeni za siri kwa wajumbe wa Kamati kuu na halimashauri kuu ya CCM ili Zanzibar itoe mmoja.
 
Back
Top Bottom