Je ni wapi naweza kupata vyombo vya mtumba kwa bei nafuu?

Oct 7, 2022
5
3
Hello habari wana jamvi, mimi ni mkazi wa dar-es-salaam.

Nahitaji msaada wa kupata location za vyombo vya ndani vya mtumba kwa bei nafuu.

natanguliza shukrani zangu kwenu. Asante!
 
Back
Top Bottom