kimo humu softHicho kitabu ni cha Sir Rider Haggard, 'King Solomon's Mines' Out of print.Kwa dar nina uhakika waweza kukibahatisha kwenye old bookstalls. Siijui vizuri dar, ningekuelekeza
Ninacho hiki kitabu.
Ngoja nikisome tena.
Agon alikua kwny kitabu hikiHivi Agon alikuwa kwenye hiki kitabu au ni kile cha Mashimo ya Mfalme Suleiman?
Tehtehtehteh...nimecheka sana, inaelekea vijana wa zamani mnakumbuka Enzi zenu....Hivi hebu niambie lile kabila la Wagagagigikoko lilikuwa linasimuliwa katika kitabu gani vile??
Mie hata sijawahi lisikia.....
Kuna baadhi ya vitu huwakutanisha watu kiroho hii post ni kimojawapo! najiona mimi wa wakati huo nikisoma hivi vitabu mstari kwa mstari

tuko woteMoja ya vitabu vizuri vilivyowahi kuburudisha na kuchangamsha akili wakati ule ni vile vya bwana Msa (Mohamed Said Abdullah). Kuna mtu anakumbuka SIRI YA SIFURI? Au niko mwenyewe?
Kiongozi,HRH ametoa hicho kitabu kinachoitwa She.
Hekaya za AbunuwasiRiwaya za Abunuwasi.