Wangapi wanamkumbuka Umsolopagaas?

Wangapi wanamkumbuka Umsolopagaas?

Kwanza nikushukuru mkuu for taking your time to respond on this. Pili kuhusu age worry not coz kama ni mmoja wa wapenzi wakubwa wa vitabu vya akina Umsolopagaas basi jua mvua kadhaa zimenipitia. Tatu nashukuru pia nimeshakipata hicho kitabu humu kuna member amekiweka hapa, asante.
Mkuu fanya kunimention kwenye hiyo link ya kitabu.. Tafadhali mkuu
 
Kitabu kinaitwa Mashimo ya mfalme Suleman ( King Solomon's mine's ) kilichotungwa na Rider Haggard. Pia yumo Makumazan, Bibi Gagula nk.
 
Tupe story kidogo basi kuhusu yeye wengine tupo mikoani hatujui tutakipata wapi
 
Back
Top Bottom