Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Hebu tuweke wazi maana umetupia picha tu haina maelezo tafsiri yake ngumu kuliko katuniUhondo wa post naona umetupia vifungu kadha View attachment 406696mambo ya visiwani hayo
Hebu tuweke wazi maana umetupia picha tu haina maelezo tafsiri yake ngumu kuliko katuniUhondo wa post naona umetupia vifungu kadha View attachment 406696mambo ya visiwani hayo
Hapo ni mahali panaitwa Saninga ni kisiwani ni mwendo wa kama saa nzima kwa boat toka Nyamisati sehemu ambapo kulikuwa na meli kubwa ya kijerumani lakini kwasasa imetitia kabisa baharini, tulikuwa pwani yake kwenye hifadhi ya mikoko tukakiona hicho kitu kama taa nikawahi picha ! Mwanga wa flash ndio ulikipotezaHebu tuweke wazi maana umetupia picha tu haina maelezo tafsiri yake ngumu kuliko katuni
Hivyo vitabu ni vizuri kwa akili ya kukariri, yaani bila kutafakari. Viliandikwa kutukuza wazungu, mitazamo yao, ukatili wao na dharau zao kwa Waafrika. Vinaonyesha Waafrika wasio na busara bali ubabe na ukatili. Kwa upande mwingine wazungu ni viongozi, wenye hekima, wanaostahili heshima, n.k. Viliandikwa kwa ajili ya nyakati zile za uvamizi wa Afrika na udhalilishaji wazungu kwa Waafrika.Kuhani Mkuu Agon alikuwa kwenye kitabu hiki, pamoja na yule jemedari Nasta aliyekuwa akimpenda Malkia Nyleptha lakini akaingiliwa na Sir Henry Curtis kwenye mapenzi hayo....kwenye kile kitabu kingine yaani Mashimo ya Mfalme Suleiman (king Solomon Mines) kulikuwa kile kizee Gagula halafu Umbopa ambaye baadaye alitawazwa kuwa mfalme...ni vitabu vizuri sana vyote viwili..
Duh! Au ilikuwa radar ya wajanja basi pana mengi zaidi ya hayo kama yanaweza kumwagwa hapa hebu tia nyama japo kiduchu swahiba wangu.Hapo ni mahali panaitwa Saninga ni kisiwani ni mwendo wa kama saa nzima kwa boat toka Nyamisati sehemu ambapo kulikuwa na meli kubwa ya kijerumani lakini kwasasa imetitia kabisa baharini, tulikuwa pwani yake kwenye hifadhi ya mikoko tukakiona hicho kitu kama taa nikawahi picha ! Mwanga wa flash ndio ulikipoteza
Tuliondoka haraka sana eneo hilo kuelekea kisiwa cha Simbaulanga na baadae Nyamisati
Hivyo vitabu ni vizuri kwa akili ya kukariri, yaani bila kutafakari. Viliandikwa kutukuza wazungu, mitazamo yao, ukatili wao na dharau zao kwa Waafrika. Vinaonyesha Waafrika wasio na busara bali ubabe na ukatili. Kwa upande mwingine wazungu ni viongozi, wenye hekima, wanaostahili heshima, n.k. Viliandikwa kwa ajili ya nyakati zile za uvamizi wa Afrika na udhalilishaji wazungu kwa Waafrika.
Wacha tuisubiri hukoNitaweka post kamili ya huko ngoja nisiharibu uhondo hapa
Ndiyo maana kitabu chenyewe kilipigwa marufuku. Ni propaganda za kizungu katika kumdogosha Mwafrika. Umslopagaas mwenyewe anatumika kupigania ufalme wa wazungu na anakufa baada ya kulipasua jiwe la utabiri ili kuhalalisha ujio wa utawala wa kizungu. Hopeless!Hivyo vitabu ni vizuri kwa akili ya kukariri, yaani bila kutafakari. Viliandikwa kutukuza wazungu, mitazamo yao, ukatili wao na dharau zao kwa Waafrika. Vinaonyesha Waafrika wasio na busara bali ubabe na ukatili. Kwa upande mwingine wazungu ni viongozi, wenye hekima, wanaostahili heshima, n.k. Viliandikwa kwa ajili ya nyakati zile za uvamizi wa Afrika na udhalilishaji wazungu kwa Waafrika.
Fasihi Andishi. Ukikidadavua kitabu kwa kuangalia uwepo wa Fasihi kama kioo cha Jamii hutalaumu moja kwa moja.Ndiyo maana kitabu chenyewe kilipigwa marufuku. Ni propaganda za kizungu katika kumdogosha Mwafrika. Umslopagaas mwenyewe anatumika kupigania ufalme wa wazungu na anakufa baada ya kulipasua jiwe la utabiri ili kuhalalisha ujio wa utawala wa kizungu. Hopeless!
Sina uhakika kama unaelewa maana ya neno "authentic". Kazi ya fasihi hasa iliyoshindiliwa sumu kama Hadithi za Umslopagaas kweli ikupe authentic pleasure (Raha Halisi, Raha Iliyokamilika, Raha anuai?). Unless kama hujielewi!Fasihi Andishi. Ukikidadavua kitabu kwa kuangalia uwepo wa Fasihi kama kioo cha Jamii hutalaumu moja kwa moja.
Kazi moja wapo ya fasihi ni kuburudisha (Authentic pleasure).
Tuliokisoma kipindi hicho tuliburudika na ndiyo maana hadi leo zaidi ya miaka 40 bado watu wanakumbuka characters.
Mzee Mohamed Said, Mzuvendi Mshana jr, Guasa Amboni nknk wanakumbuka MATUKIO ya Makumazan, INKUBU, Bwana Henry, Umsolopagaz na wengine.
ndugu shimba nakubaliana na wewe kwa 100% ni kweli maandishi na filamu za santuri mwonekano za kutoka kwa wazungu karibu zote zimebeba agenda na mafundisho uliyoyaita sumu zikiwa na lengo hasa ya kufikisha ujumbe mzuri au mbaya ishu za ushoga na usagaji ni moja ya dhima na maudhui mabovu kabisaSina uhakika kama unaelewa maana ya neno "authentic". Kazi ya fasihi hasa iliyoshindiliwa sumu kama Hadithi za Umslopagaas kweli ikupe authentic pleasure (Raha Halisi, Raha Iliyokamilika, Raha anuai?). Unless kama hujielewi!
Na wazungu hawa ni wajanja sana katika kueneza propaganda zao. Sasa wamelivalia njuga suala la kueneza ushoga na kila muvi au show lazima wapachike ajenda yao hii. Mpaka kwenye vikaragosi vya watoto wanapenyeza ishu za ushoga. Kama tunachomakinikia katika kazi ya sanaa ni "authentic pleasure" basi tumekwisha. Anyway Miafrika Ndivyo Tulivyo!
Anaeleza makumazahn "siku moja nililitwaa shoka lake nikawa nalitizama mpini wake ulikuwa na urefu kama wa futi tatu na inchi tatu na ilikuwa pembe ya kifaru na mwisho kulikuwa na kirungu kuzuia kumponyoka na kule mbele penye shoka kwenyewe kulifungwa waya za shaba nikistaajabia uundwaji wake nikamuuliza kwa nini aliliita inkosikazi(mke wa mfalme )akasema kwanza kwa uzuri wake wanamume wengi wameangamia na pia ni tabia ya wanawake kupepeleza kila jambo na hua akipatwa na shauri la ghafla huliuliza kwani anahisi lina akili nyingi baada ya kuchungulia bongo nyingi(watu alio waua )nae ni shida sana kuliacha labda anapokula napo huwa chini ya miguu yake.Inkosikazi mbona yupo humu aelezee tu umsolopagazi yupo wapi!
Yule anayevuka mto bila kulowa maji
Waafrika tulikuwa hatutembei bila nguo? Waafrika tulikuwa hatuli matunda mwitu? Waafrika hatukuwa tunakula nyama mbichi? Waafrika hatuna African magic? Waafrika tulikuwa hatukeketi wadada? Waafrika hatukuwa tunarithi wajane? Waafrika mzazi akifariki, ndugu wa mume wanakwenda kunyanganya mali za watoto? Waafrika hatukuwa tunazuia mama waja wazito wasile samaki nyama mayai maziwa?Sina uhakika kama unaelewa maana ya neno "authentic". Kazi ya fasihi hasa iliyoshindiliwa sumu kama Hadithi za Umslopagaas kweli ikupe authentic pleasure (Raha Halisi, Raha Iliyokamilika, Raha anuai?). Unless kama hujielewi!
Na wazungu hawa ni wajanja sana katika kueneza propaganda zao. Sasa wamelivalia njuga suala la kueneza ushoga na kila muvi au show lazima wapachike ajenda yao hii. Mpaka kwenye vikaragosi vya watoto wanapenyeza ishu za ushoga. Kama tunachomakinikia katika kazi ya sanaa ni "authentic pleasure" basi tumekwisha. Anyway Miafrika Ndivyo Tulivyo!