Wangapi wanamkumbuka Umsolopagaas?

Wangapi wanamkumbuka Umsolopagaas?

Mkuu hizi ni hadithi za kubuni zilizonivutia sana nikiwa mtoto.
Nilikuja jua baadaye kuwa zilikuwa na msingi kwenye matukio ya kweli katika maisha.
Kwa mfano, mwandishi H Rider Haggard alimtumia mwindaji maarufu mwiingereza, Frederick Selous Courtney kumuumba mhusika mkuu wa Mashimo ya Mfalme Sulemani na Hadithi ya Alan Quarterman, Alan Quaterman(Makumazhan).
Shukrani kwa kumbukumbu nzuri sana.
 
Ukianza kusoma hutamani kufanya chochote kingine..na unabebwa na maudhui kwenye ulimwengu wa uhalisia
 
Back
Top Bottom