Hivi Agon alikuwa kwenye hiki kitabu au ni kile cha Mashimo ya Mfalme Suleiman?
Kuhani Mkuu Agon alikuwa kwenye kitabu hiki, pamoja na yule jemedari Nasta aliyekuwa akimpenda Malkia Nyleptha lakini akaingiliwa na Sir Henry Curtis kwenye mapenzi hayo....kwenye kile kitabu kingine yaani Mashimo ya Mfalme Suleiman (king Solomon Mines) kulikuwa kile kizee Gagula halafu Umbopa ambaye baadaye alitawazwa kuwa mfalme...ni vitabu vizuri sana vyote viwili..