Dah mkuu
mshana jr umenikumbusha masimulizi ya hivi vitabu vya Sir Haggard,Naweza sema huyu mzulu Msolopagazi ni moja kati ya binadamu wa Riwayani wenye mikwala ya hatari .....moja kati ya majigambo yake alipokutana na wajivuni "
Mimi msolopogaas,mwana wa inkosikazi,mjukuu wa makumazan,nyanya wa khumabakoz, wa damu ya Chaka, wa kabila la Wazulu, mkuu wa jeshi la Nkomabakosi, kama wengi wengine walivyofanya; nawe utajiinamisha mbele ya Inkosikazi kama walivyofanya wengi wengine. Ndiyo, cheka, cheka! Usiku wa kesho
fisi watakuwa wanacheka na huku wanavunja na kuzitafuna mbavu zako."...Huyu mtu hataree sana mkuu,asante kwa hizi kumbukumbu kiongozi.