Engineer Mohammed
Member
- Apr 2, 2007
- 33
- 3
mzee Es
ama kweli mwaka huu KUMKOMALIA NYANI,respects to you mkuu and others member.
ama kweli mwaka huu KUMKOMALIA NYANI,respects to you mkuu and others member.
nataja wafutao ABDALLAH anafanya phd Birmingham university U.K na ni lecturer IFM, Fatma Khalfan ni Lecturer wa sheria baada ya kushinda scholarship ya jumuia ya madola na hizo nafasi zilikuwa 2 kwa nchi nzima amefanya masters yake Warwick university U.K kati ya vyuo mahiri duniani kwenye fani ya sheria, Mariam Karama huyu ameshinda zawadi kwa kufanya vizuri master yake U,K na amepata CPA. hao ilikuwa umalize nao Znz kama ni mapungufu uliyosema wenzako wamepita na kufanya vizuri, wapo wengi ila nakuonesha kuwa Zitto ni muongo.ama kweli mchagua jembe si mkulima.
mswahili......
duh mkuuu unatisha kwa data,mie mkuu naomba nikwambie yafuatayo....uliyosema yanatosha mkuu,mie naamini ww ni muislamu,na huyu mheshimiwa ZITTO na yy nimewahi kusikia kuwa ni muislam,mswahili turejee ktk maundisho yetu ya dini"ukimstiri muislam mwenzako na ww mungu atakustiri........mswahili,hapa sina nia ya kumtetea zitto,mie simjui huyu jamaa b4 lkn kaka uloyasema yanatosha,hata kama yy alimkashifu sana AC yes alifanya kosa,yaishe mshikaji nakuomba hilo,issue za kuongelea masuala ya mama ni vitu sensitive sana,unajua mama anauma sana nakuomba MUUNGWANA MSWAHILI.........MSALIE MTUME MUHAMMAD (S.A.W).
Tanzania njema kumuunganisha Dau kwenye jina langu ni katika mfulilizo huo huo nilioutaja hapo juu.sikushangai kisa mswahili hasitahili kwanini usimuulize Mkapa ndio aliyekuwepo wakati hiyo issue?.
Jamani mmekaribishwa mjini bado mnaona wenye mji hawastahiki na kuwapiga vijembe kiasi hiki? mnataka wahame mji? wake zao ndio hivi mnawachukulia (mpakanjia) bado hamkinai?.
Mambo haya yanazidi kututanabaisha kuwa kadri utakavyowaweka karibu hawa watu na kuwafanyia ihsani wao hawana shukrani wala kheri.
Admin,
Hii thread imefungwa? maana baadhi ya posting zinapotea!
au ndio matatizo ya kiufund kama wiki iliyopita?
Mzee Mswahili,
Mukulu weka vitu mwanangu, lete vitu vya goba na Pugu ninakuamini mjomba, lete vitu mwanangu!
Mzee Masatu,
"Ukweli, Uwazi, na Amani" duh! I like it, sounds good na very clear, tatizo ni lile lile la CCM, na sisi Waa-Afrika wote kwa ujumla nalo ni matendo!