Mswahili Old Acc
JF-Expert Member
- Sep 27, 2006
- 488
- 24
Nungwi.
Nashukuru mkuu ni wachache sana ktk dunia hii wako tayari kueleza ukweli wa mambo ulivyo, nakushukuru nasema asante kwa kufafanuzi wako.
Nilikuwa sijui kama sitakiwi kumshambulia Zitto kwa kanuni mlizojiwekea huko bwana Nungwi.
kulikuwa kuna vitu sivielewi siku za nyuma, mfano mzuri KLH News International ni redio ya kimataifa, ilipotokea Papa ameghafirika na kutoa kauli iliyowaudhi watu wa imani nyingine, habari hii iliandikwa na kuzungumzwa na vyombo vyote vya habari isipokuwa Mwanakijiji tu. kule kwenye redio yake kulikuwa na mchangiaji wake maarufu kama yeye anavyochangia JF, huyu mtu alikuwa akijulikana kama Kingwendu, alihoji sana na kutoa comment kwa mwanakijiji atolee tamko kauli ya Papa. jibu alilokuwa akitoa kuwa muda muafaka wa kulizungumza lile jambo haujafika, na sasa ni zaidi ya muda mrefu umepita ndio imetoka. siku hizi simuoni tena Kingwendu nadhani amejua kuwa redio ile iko kwenye crusade. na hapa tunaambiwa muda wa Zitto kuja kutoa tamko bado.
Nungwi ufunuo wako ni sawa na kitabu cha Padri Sivalon aliyeweka wazi mbinu chafu za kuwahujumu raia huru wa Tanzania, sababu ni waislamu. jambo hilo linataka moyo wa dhati.
kwa nukta zako Nungwi jee ni sababu hizo hizo zinazopelekea Ridhwani Kikwete kusakamwa na hawa jamaa kisa ni Mswahili?
kumekuwa na kelele nyingi za yeye kuchukua fomu tena huko Bagamoyo, sijui ingekuwaje kama angechukua Lumumba.
kelele hizi hatukuzisikia kwa Mkapa kumpa udaktari shemeji yake kwa jina la DR.Maro, wakati kanuni za kidaktari zinakataza mtu kutibiwa na ndugu yake,
kuna kumuonea huruma ndugu yako. na imagine Rais Mkapa kapata jipu sehemu za siri, DR.Maro anapata mtihani mkubwa kwani anamtibia shemeji yake sehemu ambazo anatakiwa kuziona dada yake tu.Kinyume kabisa na utaratibu wa kazi.
Hatukuwahi kusikia Mwanakjj na kambi yake kuhoji hali hii, wao wako na Ridhwan tu.
kuna mpiga picha Freddy Maro ambaye naye ni shemeji yake Mkapa. kitendo cha kuwaweka mashemeji zake Ikulu kina athari nyingi moja wapo kukosekana uwajibikaji kazini
.
mfano Maura Mwingira ambaye ndiye bosi wa Freddy Maro hana ubavu wa kumuwajibisha Freddy Maro. anajua huyu tusimguze kwani mzee anapata utulivu toka kwa dada yake,
anaogopa kupata matatizo ananyamaza tu.
Mambo haya angefanya JK tungeambiwa ni uswahili na thread nyingi tu zingefunguliwa na Tanzania Njema kusema tizama hawa waswahili ni watu wa ovyo ovyo hawana mipango hata taratibu za kazi hawazijui, karundika mashemeji Ikulu.
lakini kwa vile kafanya BENJAMIN na ANNE wana majina ya kizungu, hatukuwahi kusikia Tanzania Njema na kundi lao kuhoji. leo wanalalamika na fomu ya Ccm tena kupitia bagamoyo.
Nungwi ushauri wako wa kubadili jina nimeuafiki sasa mtanibatiza jina gani? ina maana na FREEMAN alibadili jina baada ya kuona jina lake asilia la MTUHURU limekaa kiuswahili?
Kichuguu.
Nimesikia maneno yako juu ila kipengele E mimi sikukutaja hivyo kuwa una attack watu, tizama vizuri nadhani umejichanganya na Tanzania Njema ambaye nilimquote, Tanzania njema ana utaratibu wa kulitaja jina langu kama ifutavyo (Mswahili+Ditopile) ila huwa haweki alama ya =. kwa jibu lake la leo kumbe anakusudia Mswahili+ JK = watu wa ovyo ovyo.
Nungwi.
Usiwe unapotea sana tunakosa busara zako kwani the more we live, the more we learn.
Zitoo.
Kampe pole mwandani mwenzako mlikuwa mnalala shuka moja leo humjui bi AMINA sababu ana matatizo? umerudi kwenye koloni lako la zamani (bi sent 50).nimemini wewe ni rafiki wa raha tu.haki yako umekuwa kwa taabu sana kwanini urudi ulikotoka? waswahili tunasema shida ya nini kama raha zipo.
Bi senti 50.
huyu Zitto ni laghai amerudi kwako baada ya kumuona AC ana matatizo, ilitakiwa na wewe usome hapo ujue kuwa siku ukiwa na matatizo jamaa anachukua zake hamsini. alikosa msingi wa malezi utotoni usitegee atajifunza ukubwani. bora ujitafutie muuza mawese au MUHA yeyote kuliko kupoteza muda na mtu asiye na huruma kwani anakutosa tu.
kingine umpime isije kuwa tayari yuko kwenye black list tumemsikia kuwa hatagombea 2010 labda anataka kutumia muda huo kutizama afya yake na kupumzika sana.