Wanene kuongezewa marupurupu

Wanene kuongezewa marupurupu

Madilu-Nilimuomba Bi senti 50 aongee na mheshimiwa mwenzake Zitto nipate ruksa ili nitaje wajihi wa mama zito, lakini hadi sasa BI 50 amekwepa kunipa jibu la ombi langu.ningepata ruksa hiyo ningeweka wajihi wake,ungepata picha kwanini baba yake alikimbia ujauzito wa Zito. angekuwa anamjua baba yake asingetumia jina la BI Kabwe kama surname yake.


Mswahili, yaani hili ndilo jibu lako kwangu? ama kweli weye mswahili! Sasa wanomba miye ruhusa ya kusema unachotaka kusema wakati uliyoyasema mwanzoni hukuniomba ruhusa? wanifanya miye hamnazo eh? Ukitaka kuandika historia andika lakini ukifanya hivyo ujibu maswali mawili.

Ulisema mama Zitto "hakanyagi" Dar na nikakuambia anakanyaga na hata wiki ijayo itakuwa tena Dar mchana kweupe, hajitandi buibui wala kujificha kwa kanga, je uliongopea?

Uliposema kuwa jina la Kabwe ni jina la upande wa mama yake Zitto wakati ukiujua "wasifu" wa mama yake ulikuwa unataka kusema uongo au zilikuwa girini zako tu?

Najua weye ni mswahili na unaweza kutunga kila aina ya hadithi so nipige fix.
 
Kaka Nungwi na Mzumbe yako? Angalia bwana si unaona jinsi huo unazi wa mlimani na mzumbe unavyokula Umoja wa Vijana wa Mkuu wenu wa wanafunzi wa zamani? Basi kaka chuki zile sasa zinakaribia kubaleghe na kuingia Halmashauri Kuu.....

Tanzaninjema
 
Nungwi; "kukimbilia Midahalo Udsm"


Ndugu yangu hapa nilikuwa ninamaananisha kile wazungu wanaita "intellectual debates" na kusema kweli wakati ule Zanzibar University bado ilikuwa inakumbwa na ukiritimba wa wale jamaa wa Kisudan ambao walikuwa wanataka kucontrol kila kitu ikiwemo masuala ya migongano ya kifikira...

Mlimani hata kama kuna mapungufu mengi hilo bado wapo wanaojitahidi kukomaa nalo ingawa wakati mwengine at a very high price...


Tanzanianjema
 
nungwi...

kaka maneno ulosema ni kweli kabisa hata na mie nakuunga mkono,data za ZITTO zinatosha tena ama vipi mkuu?mswahili ana data nyingi kali sana mie amenimaliza sana pale aliposema kuhusu issue ya znz univ na wale best students alowataja duh pale nimemvulia kofia muungwana mswahili.


mswahili a.k.a AR-BAB...
mie kuanzia leo naomba nikuite jina hilo la AR-BAB,kama nimekupachika jina hilo basi kaka nakuomba yaishe ya ZITTO tumsubiri mwenyewe aje atoe ufafanuzi wa yote hayo,naona akina JJ etc wameshindwa kumtetea yy amebakia kuwa ohh mahmoud kombo hawajui wachezaji wa JK BOYS etc,aje ajibu hoja nzito tu hapa ndio kinachotakiwa.


Mzee Es .......

kaka mbona umekuwa kimya sana siku 2-3 hizi,au ndio unaangalia upepo unavyovuma hapa JF makini
 
Ama kweli we have created a hero hapa.....haya wakuu kwa pongezi zenu kwa mswahili mzee wa "data" Inshaalah zitatusaidia kujenga Tanzania ya haki kwa wote....

Tanzanianjema
 
Mzee Mswahili,

Mukulu weka vitu mwanangu, lete vitu vya goba na Pugu ninakuamini mjomba, lete vitu mwanangu!

Mzee Masatu,

"Ukweli, Uwazi, na Amani" duh! I like it, sounds good na very clear, tatizo ni lile lile la CCM, na sisi Waa-Afrika wote kwa ujumla nalo ni matendo!


chadema wao wanasema ukweli uwazi na amni = (uua) mauaji hayo
CCM wao wanasema ARI NGUVU na KASI mpya = (anguka) mwaka huu shughuli huku ua huku anguka kule CUF mapanga shwaaaaaaaaa shwaaaaaaaaa

tanzania kulikoni??????????
 
chadema wao wanasema ukweli uwazi na amni = (uua) mauaji hayo
CCM wao wanasema ARI NGUVU na KASI mpya = (anguka) mwaka huu shughuli huku ua huku anguka kule CUF mapanga shwaaaaaaaaa shwaaaaaaaaa

tanzania kulikoni??????????

Duh Kali hii
 
TanzaniaNjema,

Nyumbani si tunasema kutesa kwa zamu? Sasa ni zamu ya mswahili, mpe kilicho chake.

Watu wamerusha madongo weeee!! mswahili yumo tu. Kumbe mswahili alikuwa amejiandaa kwa dakika 120.
 
TanzaniaNjema,

Nyumbani si tunasema kutesa kwa zamu? Sasa ni zamu ya mswahili, mpe kilicho chake.

Watu wamerusha madongo weeee!! mswahili yumo tu. Kumbe mswahili alikuwa amejiandaa kwa dakika 120.

What will happen if it goes to Penalty shoot out?
 
Mzee Mswahili,

Weka vitu mwanangu, huuu mkuki usiishie kwa nguruwe tu (CCM), na bin-adamu (Chadema), nao uwakute, mpaka walilijue jiji hao, wamezoea vya kuchinja hao vya kunyonga hawaviwezi kumbe?

Watalijua jiji etiii!
 
Mzee Es,
Vya kunyonga tena? nilidhani mswahili hula vya kuchinja na sisi tumezoea vya kunyonga!... aaaah kumbe ndio maana.
 
Mzeee Mswahili,

Uko wapi mkuu lete vitu mwanangu, mzee Bob ndio kwanza kumekucha bro, hao wamezoea vya kunyonga, lakini sasa watalijua jiji, forum mbele wanachama nyuma!
 
Wakuu.
Nilitoka kidogo wenye ushauri kwangu nimesikia. niliaombwa na Dua mwanzoni niache nikakubali, wakaja vidudu mtu wakasema sina data ndio nikaamua kuendelea si nia yangu kuwakwaza watu. all in all file bado ninalo la mheshimiwa.

siku chache nilieleza kuwa hali ya Amina sio nzuri hamjui nani anaingia na nani anatoka nikaomba waheshimiwa wakamsalimie mgonjwa lakini naona wako busy na kutizama protocal jinsi ilivyokosewa wakati timu ya Taifa inaenda bungeni. wenye nia ya kumpa pole mgonjwa waniPM niwape mobile yake mumtumie salamu za kuimfariji. sisi tuwe rafiki wa shida kwenye uhondo tuwaachie wenzetu.

http://www.freemedia.co.tz/daima/2007/6/21/habari3.php
 
Mikael phillimon.
ujinga wako weka hapa. kwenye msiba wa Amina usilete ujinga wako.wewe ulipofiwa na chief Marealle hakuna aliyekufanyia dhihaka kwenye msiba wako.
 
hawa vigogo hata uwape marupurupu kiasi gani hawataridhika....kama jinsi pmoja na gavana kulipwa jimshahara na marupurupu still yeye na ma don wenzake wanatulamba...
 
kaka mswahiliwait... wewe utaandika kitabu au matusi..kwanza kitasomwa na nani tukijua hata vijana na watoto wanaweza kusoma...you think wrting is cheap for cheap minds...unless kama utakuwa serious aanza kuonyesha hapa...i may be among those to support you....
 
Phillimon Mikael.

Mheshimiwa Zitto Kabwe ataandika nini? Kitabu, matusi au Ugoni?
Nategemea ataandika Ugoni jee watoto watasoma?
 
Zitto: Ngoja kwanza; kwanza sahihisho kidogo, hivi Mauritania sio ndiyo kwa kiingereza ni Mauritius au? Kama hivi ndivyo, basi sahihisho ni kwamba hii nchi ni ya pili kwa utajiri baada ya Seychelles.

Hapa Kitila unatuaibisha, tena sana. Nasikia ati ulisoma hadi chuo kikuu? Inaelekea hata ramani ya Afrika hujawahi kuiona! Aibu sana hii, hata mtoto wa shule ya msingi wa darasa la tano akiona ulichoandika hapo atakudharau sana. Hebu tafuta ramani ya Africa uangalie Mauritania (West Africa) na Mauritius (visiwa katika bahari ya Hindi), halafu ujiulize tena kama ni kweli umefika chuo kikuu, na kama maelezo uliyotoa baada ya "sahihisho" lako (la kijinga sana), je maelezo hayo bado yana mantiki yoyote? AIBU!
 
Hapa Kitila unatuaibisha, tena sana. Nasikia ati ulisoma hadi chuo kikuu? Inaelekea hata ramani ya Afrika hujawahi kuiona! Aibu sana hii, hata mtoto wa shule ya msingi wa darasa la tano akiona ulichoandika hapo atakudharau sana. Hebu tafuta ramani ya Africa uangalie Mauritania (West Africa) na Mauritius (visiwa katika bahari ya Hindi), halafu ujiulize tena kama ni kweli umefika chuo kikuu, na kama maelezo uliyotoa baada ya "sahihisho" lako (la kijinga sana), je maelezo hayo bado yana mantiki yoyote? AIBU!

Kithuku, nadhani bado Kitila kaacha nafasi hiyo kwamba kama ndivyo....? kwa maana hiyo hakuwa na uhakika!

Lakini pia usisahau kwamba kufika chuo kikuu hata pale ukakutana na kibao kilicho andikwa NO CLASS AHEAD, haimaaninishi kwamba unajua kila kitu! kumbuka jinsi unavyo kwenda juu ndivyo unavyo zidi 'kuspecialise' katika eneo dogo sana la mambo!

Usishangae ndugu yangu leo hii ukiingia fanya mtihani wa darasa la saba waweza tolewa nishai vibaya sana na hao hao watoto! (maoni yangu tu)
 
Back
Top Bottom