Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Abrahamu Baba wa Imani alichepuka na Mfanyakazi wakee...!!

Mtume alioa wanawake karibu 100...

Sulemani na hekima zake alikuwa na wanawake 1000...!!

Sasa nitajie mwanamke ambae aliwahi kuwa na wanaume japo wawili akabaki salamaaa...
Mtume gwajima?
 
Toka hukoooooh hatusemi aikimbie ndoa. Soln ni yeye kutafuta furaha na amani nje, huku maisha ya ndoa na familia yakiendelea az normal az easy. Kwishneyyyyyyyyy
Ataamua yeye either kufuata ushauri wako huu mbovu au atafuata ushari wa wenye akili Kama huo wangu,lakini kaa ukijua hiyo furaha atakayoenda kuitafuta hatokaa aipate, otherwise kama ana asili ya UMALAYA lakini kama hana asili ya UMALAYA kama unavyoonekana wewe,basi furaha yake hataitafuta kwa kulipiza kutoka nje ya ndoa yake
 
Pole sana mkuu nyakoo ..mimi sina ndoa sijui mnayopitia ila nakushauri mkae wewe na mwenzio mdiscuss mustakabali wa maisha ya watoto wenu mliopata baasi,kila mtu aachane na mwenzie abaki na amani, wengi wameshauri ukae,NO!! ndoa yenu is literally dead, hizo anger feelings hazitaisha kamwe hio ni scar kila saa ukimuona zinarudi upya ndio maana akiondoka unakua happy na amani, sababu hakuna kinacho ku remind uchungu ulioupata ulipogundua ana cheat.......again ndoa yenu imekufa ..hata watu waliokua brain dead/in comma/ama oxygen ventillation..sometimes ndugu wana make hard decision ya kuswitch off...switch off angalia future za wanao...
 
[emoji28][emoji28][emoji28]Yaani wewe ndo umekuja kuwaachanisha kabisa.
 
Abrahamu Baba wa Imani alichepuka na Mfanyakazi wakee...!!

Mtume alioa wanawake karibu 100...

Sulemani na hekima zake alikuwa na wanawake 1000...!!

Sasa nitajie mwanamke ambae aliwahi kuwa na wanaume japo wawili akabaki salamaaa...

Mkuu kwani haujui yaliyowapata hao as a result of wao kuwa na wake wengi?

Halafu unafikiri kwa sababu wao walifanya basi Mungu ndiyo alikuwa anasupport?

Yawezekana pia haujui kuwa kilichowabeba ni imani na hekima zao na si kuoa wake wengi!

Msiwe mnapenda kutolea mifano ya hao watu wakati story zao mmezisoma juu juu tu!
 
Mwenzenu yamenikuta na kusema za ukweli nashindwa kabisa kuelewa namna ya kutoka hapa na kusonga mbele.

Ni mume nilompenda sana sana sana. Mungu katujaalia two beautifull kids na mengine ambayo am greatfull for. Tuliishi kwa upendo,furaha na amani hadi miezi 8 ilopita nilipogundua kuwa nilivyomdhania mume wangu sivyo alivyo.

Kwakuwa nampenda na kumfahamu sana mume wangu, kuna kitu nilikuwa tu nakihisi hakiko sawa kwa muda. Baadae nikagundua he was cheating. Yaani sitaki kuelezea mstuko niloupata na jinsi ninaumia jamani. Japo aliomba sana msamaha and all that ila moyo wangu umekufa ganzi wapendwa.

Mume nilompenda sana kwasasa namuona kama jirani yangu tu, hata hamu nae sina kabisa na hata tendo la ndoa ni kama ananibaka tu. Tushaongea sana, tushakwenda hadi vacation sie wawili tu ila sioni kinachobadilika. Akisafiri kikazi au mimi nikisafiri najisikia amani zaidi and i dont miss him kabisa.

Kuna wakati nilimuomba some alone time nifikirie kuhusu mustakabali wa hii ndoa, alinipa huo muda na kwa kipindi hicho cha wiki moja kichwani mwangu nilishangaa kunazunguka watoto wetu tu na sio mume wangu. Sijamueleza mtu yeyote kuhusu hili hata mama yangu wala mshenga wetu ila linanitafuna hatari.

Wenzangu mnawezaje kusamehe wanaume wanaowacheat na kurudi katika hali zenu za kawaida? Maana mie kwasasa mume wangu namuonaje sijui, nae naona hali hii inamtesa ila ndio hivyo tena[emoji134]
Sijisikii kumpenda wala kumheshimu tena, naona kama hadeserve kwa kutokuithamini na kuivuruga ndoa yetu.
Mwanatheolojia mmoja aliwahi kusema hivi,nanukuu "Kukosea ni ubinadamu lakini kusamehe wanaotukosea ni Umungu". Kwa ufupi mtaalamu huyu wa TaaliMungu alimaanisha kuwa ni binadamu hukosea daima na ndio asili yake,lkn Kuhusu Msamaha hiyo ni Sifa ya Mungu,hivyo anayesamehe waliomkosea anakuwa anaiga tabia njema ya Kimungu.Jitahidi samehe ili uige tabia ya Mungu ya kusamehe waliokukosea.
 
Mkuu kwani haujui yaliyowapata hao as a result of wao kuwa na wake wengi?

Halafu unafikiri kwa sababu wao walifanya basi Mungu ndiyo alikuwa anasupport?

Yawezekana pia haujui kuwa kilichowabeba ni imani na hekima zao na si kuoa wake wengi!

Msiwe mnapenda kutolea mifano ya hao watu wakati story zao mmezisoma juu juu tu!
Muulize huyo Selemani ni mtoto wa nani hata hajui, amekariri hapohapo kwenye wake wengi ndio atajua kilichompata baada ya hayo yote? Unajisumbua bure madame
 
Atavumilia ila ukitolewa jicho au kuvunjwa kiuno usije humu kulalamika,mana inaonyesha nyumba yenu itakua na baba wawili hakuna mama
[emoji23][emoji23][emoji23]jamani hajazaliwa wa kunivunja kiuno au mguu, Yani akishaanza kunisumbua lazima nimu fix mapema sipendi kero Mimi za mtu mzima mwenzangu tuliyekutans wote tumeota nywele za kila mahali wakati I can live on my own kwa kweli
 
Utakuja kustuka ngumi za fasta kama shilole,kwenye nyumba baba huwa ni mmoja hamuwezi wote kua na ndevu
 
Utakuja kustuka ngumi za fasta kama shilole,kwenye nyumba baba huwa ni mmoja hamuwezi wote kua na ndevu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti nitashtukia ngumi eeeh labda sio Mimi na ukinigusa lazima ulale mahabusu ili ukome
 
Najua Sana nasema ninacho kiishi mimi
Unahisi ndoa ni uboyfriend na u girlfriend, my sister, hutofanikiwa katika ndoa yako kwa maneno yako, nakuomba uache kusema hivo maana hujaolewa na Mungu fundi anaweza kukupa mwanaume wa ajabu ile iwe n jaribu kwako. Omba Mungu na usirudie kushauri watu watengane, ni dhambi kubwa na malipo ni hapa hapa duniani. Mark my post..
 
Hivi Mwanzilishi wa Kanuni ya VIPANDE VIPANDE alivyokuwa akiielezea ulikuwa wapi? Tutolee ujinga wako hapa

Nb, Hakuna na hajawahi kuumbwa Mwanaume wa Mke mmoja, hata kama hasimamishi.
 
Back
Top Bottom