Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Mwenzenu yamenikuta na kusema za ukweli nashindwa kabisa kuelewa namna ya kutoka hapa na kusonga mbele.

Ni mume nilompenda sana sana sana. Mungu katujaalia two beautifull kids na mengine ambayo am greatfull for. Tuliishi kwa upendo,furaha na amani hadi miezi 8 ilopita nilipogundua kuwa nilivyomdhania mume wangu sivyo alivyo.

Kwakuwa nampenda na kumfahamu sana mume wangu, kuna kitu nilikuwa tu nakihisi hakiko sawa kwa muda. Baadae nikagundua he was cheating. Yaani sitaki kuelezea mstuko niloupata na jinsi ninaumia jamani. Japo aliomba sana msamaha and all that ila moyo wangu umekufa ganzi wapendwa.

Mume nilompenda sana kwasasa namuona kama jirani yangu tu, hata hamu nae sina kabisa na hata tendo la ndoa ni kama ananibaka tu. Tushaongea sana, tushakwenda hadi vacation sie wawili tu ila sioni kinachobadilika. Akisafiri kikazi au mimi nikisafiri najisikia amani zaidi and i dont miss him kabisa.

Kuna wakati nilimuomba some alone time nifikirie kuhusu mustakabali wa hii ndoa, alinipa huo muda na kwa kipindi hicho cha wiki moja kichwani mwangu nilishangaa kunazunguka watoto wetu tu na sio mume wangu. Sijamueleza mtu yeyote kuhusu hili hata mama yangu wala mshenga wetu ila linanitafuna hatari.

Wenzangu mnawezaje kusamehe wanaume wanaowacheat na kurudi katika hali zenu za kawaida? Maana mie kwasasa mume wangu namuonaje sijui, nae naona hali hii inamtesa ila ndio hivyo tena[emoji134]
Sijisikii kumpenda wala kumheshimu tena, naona kama hadeserve kwa kutokuithamini na kuivuruga ndoa yetu.
Mwambie aoe mke mdogo akusaidie atakuwa bize na mke mdogo hivo wewe utakuwa na amani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo nimeielewa, kiukweli nina uelewa wa mambo mengi yanayohusiana na mapenzi na ngono kutokana na asilimia kubwa ya marafiki nilionao.

Na ndiyo maana humu ninaandikaga vitu hadi watu wanadhani sijui nimeachika sijui single mother lakini kiuhalisia sijaexperience hata kimoja bali ni michango ya watu walionizunguka tu.
Unakosa mema ya dunia, inabidi tuombe sana ili walau ukafaidi mema ya mbingu.
 
Umeielewa lakini hujaiexperience.
Lakini naelewa it goes with age.
Ukishajua utamu hautobania [emoji28]

Naweza kusema huo utamu siujui ila nauhisi. Na cha ajabu sijawahi kuutamani eti. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Wangu atavumilia tu hamna namna Yani nivumilie kutokupata raha kisa mwanaume, ka ilivo kula maharage daily inachosha sana
Atavumilia ila ukitolewa jicho au kuvunjwa kiuno usije humu kulalamika,mana inaonyesha nyumba yenu itakua na baba wawili hakuna mama
 
Aziniye, sio alalaye[emoji39]. Nikikufanya wewe kama sio wife hapo ninaitwa mpumbavu. Ilà mke halali wa ndoa nakutafuna na malaika wanashangilia.

Sasa ndiyo ubaki na wifi yangu tu eti
 
Mkuu watu wanavumiliana kwenye uncertainties kama umasikini na magonjwa siyo tabia za makusudi. Ingekuwa hivyo basi kila mwanandoa si angeamua tu kumkosea mwenzie kwa kisingizio cha kwamba walikubaliana watavumiliana.
kwakweli mwanaume kucheat sio jambo la makusudi mwanaume kutamani wanawake tofautitofauti ni asili mzungu tu ndo kaja kutuvuruga
alafu kwenye kuapa shida na raha ni kwa ujumla wake hawajasema kwenye magonjwa na umaskini tu
sema wanandoa hiyo phrase ya shida na raha naona wanaichukuliaga poapoa
alafu wanawake wa saivi sijui vipi mbona zamani wazee waliishi ndoa za wake wengi na mambo yakawa fresh tu
 
Unakosa mema ya dunia, inabidi tuombe sana ili walau ukafaidi mema ya mbingu.

Mema yangu ni kusafiri tu jamani kaka yaani sijui nielezeeje ila nikiwa nasafiri tena huku nasikiliza miziki huwa najihisi raha ya ajabu mno

Halafu mbinguni hakuna ngono kule ni kusifu na kuabudu tu jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nani alikuambia hakuna ngono?
 
kwakweli mwanaume kucheat sio jambo la makusudi mwanaume kutamani wanawake tofautitofauti ni asili mzungu tu ndo kaja kutuvuruga
alafu kwenye kuapa shida na raha ni kwa ujumla wake hawajasema kwenye magonjwa na umaskini tu
sema wanandoa hiyo phrase ya shida na raha naona wanaichukuliaga poapoa
alafu wanawake wa saivi sijui vipi mbona zamani wazee waliishi ndoa za wake wengi na mambo yakawa fresh tu

Siyo makusudi wakati wanaume wenzio humu kila siku wanasema mwanaume kuchepuka ni lazima hata mwanamke amfanyie nini na halafu ni wapi Mungu alisema amewaumba wanaume mshindwe kuwa na mwanamke mmoja?

Na kwahiyo mwanamke naye akichepuka utamvumilia tu maana ni shida na raha si ndiyo?
 
ndio maana yake sasa utafanyaje inabidi uvumilie au kam vipi unafile divorce tu hamna namna utamlazimisha mtu mzima na kashaamua kufanya yake
alafu mungu pia hajasema mwanamme aishi na mke mmoja hata kwenye bible hamna iyo kitu
 
Abrahamu Baba wa Imani alichepuka na Mfanyakazi wakee...!!

Mtume alioa wanawake karibu 100...

Sulemani na hekima zake alikuwa na wanawake 1000...!!

Sasa nitajie mwanamke ambae aliwahi kuwa na wanaume japo wawili akabaki salamaaa...
 
Ndugu pole sana, nikuambie tu ukweli mumeo amekukosea amekuomba msamaha hivo katambua kosa lake, msamehe. Usipofanya hivo shetani unaemkaribisha ni mkubwa zaidi ya kucheat, utaumiza watoto wasio na hatia bure.
Kingine, usidanganyike et mwanaume haridhiki na mke mmoja, nimeoa nina mke mmoja na ninatosheka sana, hizo ni tamaa za shetani tu. Mungu awasaidie sana
 
ndio maana yake sasa utafanyaje inabidi uvumilie au kam vipi unafile divorce tu hamna namna utamlazimisha mtu mzima na kashaamua kufanya yake
alafu mungu pia hajasema mwanamme aishi na mke mmoja hata kwenye bible hamna iyo kitu

Kwani ni wapi Mungu aliposema mwanaume aishi na wake wengi?
 
Back
Top Bottom