amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,298
Kwani yeye hajui kashikashi za ndoa.Hili hajaliongelea, sijui alipewa nini
Fumanizi kidogo sms kidogo.
Anataka ndoa ya kutuliza ili iweje?
Kwani yeye hajui kashikashi za ndoa.Hili hajaliongelea, sijui alipewa nini
Sasa huyo mume wala hajajiongeza kumzawadia mkewe BMW kumpooza machungu, inaonekana kavu sana huyo mumewe.Vacation si material thing aunt.
Kwa staili hiyo machungu haya wezi kuisha.Sasa huyo mume wala hajajiongeza kumzawadia mkewe BMW kumpooza machungu, inaonekana kavu sana huyo mumewe.
Sisi tuliozaliwa mara tutaficha wapi sura zetuKabisaaah na mie naafiki hili, hayuko sawa kichwani kwake
Unayoo majiii sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ina maana hujui maana ya hii picha?
You have special place in heaven my dia. View attachment 1522767
Kwenye mahusiano huombi ushauri unatakiwa ufanye maamuzi yatayokufurahisha wewe. Kila mtu atakupa ushauri kulingana na safari yake mapenzi na siyo yako.Mwenzenu yamenikuta na kusema za ukweli nashindwa kabisa kuelewa namna ya kutoka hapa na kusonga mbele.
Ni mume nilompenda sana sana sana. Mungu katujaalia two beautifull kids na mengine ambayo am greatfull for. Tuliishi kwa upendo,furaha na amani hadi miezi 8 ilopita nilipogundua kuwa nilivyomdhania mume wangu sivyo alivyo.
Kwakuwa nampenda na kumfahamu sana mume wangu, kuna kitu nilikuwa tu nakihisi hakiko sawa kwa muda. Baadae nikagundua he was cheating. Yaani sitaki kuelezea mstuko niloupata na jinsi ninaumia jamani. Japo aliomba sana msamaha and all that ila moyo wangu umekufa ganzi wapendwa.
Mume nilompenda sana kwasasa namuona kama jirani yangu tu, hata hamu nae sina kabisa na hata tendo la ndoa ni kama ananibaka tu. Tushaongea sana, tushakwenda hadi vacation sie wawili tu ila sioni kinachobadilika. Akisafiri kikazi au mimi nikisafiri najisikia amani zaidi and i dont miss him kabisa.
Kuna wakati nilimuomba some alone time nifikirie kuhusu mustakabali wa hii ndoa, alinipa huo muda na kwa kipindi hicho cha wiki moja kichwani mwangu nilishangaa kunazunguka watoto wetu tu na sio mume wangu. Sijamueleza mtu yeyote kuhusu hili hata mama yangu wala mshenga wetu ila linanitafuna hatari.
Wenzangu mnawezaje kusamehe wanaume wanaowacheat na kurudi katika hali zenu za kawaida? Maana mie kwasasa mume wangu namuonaje sijui, nae naona hali hii inamtesa ila ndio hivyo tena[emoji134]
Sijisikii kumpenda wala kumheshimu tena, naona kama hadeserve kwa kutokuithamini na kuivuruga ndoa yetu.
Kabisaaah aunt acha tyuuuh aumie mdada wa watu mweeeeeeh.Kwa staili hiyo machungu haya wezi kuisha.
Mtakoma kuringaaah lol, poleeeen sanSisi tuliozaliwa mara tutaficha wapi sura zetu
Sina.Unayoo majiii sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usijalii yatatokaa tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sina.
Uzuri ninae wa Kunitoa.Usijalii yatatokaa tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weee huyo me sitaki kumjuaa...[emoji23][emoji23][emoji23] Baki naee tu hapa ni me na wewe karibu tuangalie 365 daysUzuri ninae wa Kunitoa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ina maana hujui maana ya hii picha?
You have special place in heaven my dia. View attachment 1522767
Kwenda zako.Weee huyo me sitaki kumjuaa...[emoji23][emoji23][emoji23] Baki naee tu hapa ni me na wewe karibu tuangalie 365 days
Umeielewa lakini hujaiexperience.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo nimeielewa, kiukweli nina uelewa wa mambo mengi yanayohusiana na mapenzi na ngono kutokana na asilimia kubwa ya marafiki nilionao.
Na ndiyo maana humu ninaandikaga vitu hadi watu wanadhani sijui nimeachika sijui single mother lakini kiuhalisia sijaexperience hata kimoja bali ni michango ya watu walionizunguka tu.
Kweli ukujeee...!![emoji23]Kwenda zako.