Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Usisamehe kabisaaa dada, kama amechit ni bora udai talaka yako tu, achana naye huyo
 
It's very simple kuhusu michepuko, mwanaume mmoja anaweza akawa nao hata 7..

unaweza ukute kundi la wanaume 15 linamiliki wanawake 100 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ... sio weak justification.. ni vile tu umeamua ruka hiki kipengele
Utakuwa bado uko zile zama zetu wanawake wa sasa ni tofauti sana mimi na uzee wangu wamenifunza mengi ambayo zamani hatukuwa tunayaamini. Halafu hawa wa sasa kuwa satisfy ni ngumu sana so ukiwa nao 7 jua lazima huwaridhishi na wao wanatafuta kwingine.
 
Mama la mama kusepa lazima iume, wanaume tunapata sana tabu kuchagua mke, ukimchagua alafu akasepa tena ni mtihani mwingine huo , ndio maana wengine hua wanazungusha sana kutia sain, wanafanya kila linalowezekana swala lirudi kwenye level ya familia , kama kuna fain au kitu cha kufanya jambo likae sawa mtu anakua tayari kuliko kuruhu mama la mama asepe
Na wanawake tukiamua au kuchoka haturudi nyuma kabisa liwalo na liwe, hapo Sasa nyie tukiondoka unaanza kumu miss na kuona gap, sisi before doing any movement huwa tunaanza kujiandaa kiakili na kukutoa kichwani, na maumivu yakiisha ndo tuna move on kabisa
 
Ukiwa mwenyewe unakuwa na boundaries zake na mipango yako na hivi sisi ngono sio kiupaumbele unaweza ku survive mda mrefu na Tena ukishapata watoto wako kwanini ujipe stress?
Hafu ujue wanawake wengi hufanya vtu kwa kufata pressure za kijamii baada ya kujiwekeza hata kiuchumi, lakini majority hufanya vitu kuwafuraisha wanaume, na wanaambiwa vumilia eti ndio wanaume wako hivi huku mtu anagugumia maumivu.
Ni Bora niwewenyewe ka papuchi yangu kuliko kuishi na mtu anayekuumiza hisia zako daily. Kwani before yeye nilikuwa naishije na wengi hujificha kichaka Cha watoto

Umeona eenh! Watu wengi wanakubali kubeba stress kwa kuangalia jamii itasema vibaya sijui nini na nini kwahiyo anaona bora avumilie na atetee ujinga tu ila mioyoni wanaumia sana mimi huo upendo wa mshumaa sina kwa kweli!
 
Mama la mama kusepa lazima iume, wanaume tunapata sana tabu kuchagua mke, ukimchagua alafu akasepa tena ni mtihani mwingine huo , ndio maana wengine hua wanazungusha sana kutia sain, wanafanya kila linalowezekana swala lirudi kwenye level ya familia , kama kuna fain au kitu cha kufanya jambo likae sawa mtu anakua tayari kuliko kuruhu mama la mama asepe

True halafu kwa ambao Mimi niliowaona mahakama ni kama inamsikiliza sana mwanamke especially akiwa na ushahidi kuna moja iliniumiza sana yule mwanaume alilia sana mahakamani akisema bado anampenda mkewe lakini mke akasema yeye basi imetosha ni talaka tu anataka baba wa watu alipiga mpk magoti mke aligoma akasema basi imetosha nimevumilia mengi sana roho imekataa ukinilazimisha kwa kuwa ushanitoka rohoni naweza kukuwekea sumu bure heri tuachane kwa amani tu.
 
Utakuwa bado uko zile zama zetu wanawake wa sasa ni tofauti sana mimi na uzee wangu wamenifunza mengi ambayo zamani hatukuwa tunayaamini. Halafu hawa wa sasa kuwa satisfy ni ngumu sana so ukiwa nao 7 jua lazima huwaridhishi na wao wanatafuta kwingine.
Hapana, ndio mambo nayo yaona mtaani huku, wala sina mda mrefu mtaan tokea nitoke kwa wazee.. ila mwanaume mmoja kua na lundo la wanawake n kawaida tu
 
Umeona eenh! Watu wengi wanakubali kubeba stress kwa kuangalia jamii itasema vibaya sijui nini na nini kwahiyo anaona bora avumilie na atetee ujinga tu ila mioyoni wanaumia sana mimi huo upendo wa mshumaa sina kwa kweli!
Na unakuta wanawake wengine wanadaganywa sijui juu huku kwa mganga umtulize mumewe, wanazurula kwa manabii eti ndoa isife na kusahau hata kujitaftia kipato. Ifike mahali watu muchokana hamheshimu ndoa ambianeni ukweli bwana nimekuchoka sikutaki kila mtu a mind business zake
 
Hapana, ndio mambo nayo yaona mtaani huku, wala sina mda mrefu mtaan tokea nitoke kwa wazee.. ila mwanaume mmoja kua na lundo la wanawake n kawaida tu
Kuwa nao wengi na kuwaridhisha ni vitu viwili tofauti. Halafu hawa wa kisasa wengi wao wame master tabia za baba zao wanajua kuwapanga vizuri tu.
 
Na wanawake tukiamua au kuchoka haturudi nyuma kabisa liwalo na liwe, hapo Sasa nyie tukiondoka unaanza kumu miss na kuona gap, sisi before doing any movement huwa tunaanza kujiandaa kiakili na kukutoa kichwani, na maumivu yakiisha ndo tuna move on kabisa
Yanaongeleka, Tunayamaliza maisha yanaendelea
 
Tunatoka vizuri Kama nyie mnavofanya
Sisem Mwanaume achepuke, ila kuchepuka kwa Mwanaume ni tofaut kabisa na kuchepuka kwenu, you don't do sex for fun, au uongo???
 
Hahaaa mkuu unanipangia maisha, kila mtu na wakufanana naye, Tena Mimi na baby lazima tuzeeke na hubby Hadi titumie mikongojo kifo tu kitutenganishe
Nakuombea hilo...

Ila litawezekana tu lama mtazamo utaubadili...
 
Hamna heshima kwa mtu asiyetulia aisee na Kama anakuheshimu hawezi fanya hivo tena mlianzia chini kabisa then wengine wale kiulani, mhhhh hapo Bora tukose wote nafanya maamuzi magumu kuliko ya shetani.
Na hao wanaojifanya kuvumilia na Pete huku wanaumia na kuja kuletewa maradhi na ili kufuraisha watu waendelee na huo ujinga, Mimi binafsi siwezi kabisa

Hahahaha my dear hapo kwenye maamuzi magumu kuliko ya shetani umenikumbusha kuna msemo unasema “mwanamke akiamua kulipa kisasi hata shetani anakaa pembeni kuchukua mafunzo”. These men better not mess with us wallah.
 
Wanajidanganya sana! Na hapo ndipo naiona faida ya kuzaliwa mwanamke kwa sababu sisi wanawake kwetu ngono siyo kama chakula tofauti na hii jinsia nyingine iliyomsaliti Yesu wao kila wakati wanatamani wawe wananiliu hasa waafrika!

Mimi ndiyo maana mwanamke akiniambia eti she’s a sex addict huwa hainiingii akilini! Maana sisi hisia zetu ziko mbali na ni hadi ziwe stimulated!

So to my side I think i’m happier and better without sex and I can handle being single for the rest of my entire life. Come sun come rain.

Dogs are the best creatures ever. Very loving and selfless kwanza nashangaa kwanini wanasema wanaume wote ni mbwa yaani wanafananisha mbwa na vitu vya ajabu wanawaonea sana mbwa jamani that is so unfair.
Kwa hili tuko tofauti Zoe hapa Nina miezi kadhaa sijakuliwa hali niliyonayo naijua Mimi tu kiasi kwamba nikicheka tu nasikia nyee zinashuka

Kwahiyo tuko wanawake tunaohitaji sawa na wanaume ila Bado sio sababu ya kuruka ruka Kama vyura
 
Wanaume wote Hawa? acha utani
 
Back
Top Bottom