Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,747
- 9,036
Nje ya ndoa sawa, utaacha, ila kwenye ndoa hata ukionda wewe, mazingira ya utoaji talaka yanaonyesha ww ndio umeachwa japo wewe ndie ulie achaMnaachwa vizuri tu eti hamuachi kah
Nje ya ndoa sawa, utaacha, ila kwenye ndoa hata ukionda wewe, mazingira ya utoaji talaka yanaonyesha ww ndio umeachwa japo wewe ndie ulie achaMnaachwa vizuri tu eti hamuachi kah
Tatizo unamsikiliza sana kaka yako, rudi nyumbani tule maisha. Usingeondoka saa hivi tungekuwa wote hapa Kiwira tunapiga hela kwenye mnada wa ndizi [emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23] taratibu mkuuUsisahau mama yako ndiye mwenyekiti wa Hilo kundi,, pathetic
Wanaume hawaoi kwakuwa wameamua kuwa malaya. Okey.
Mtihani huoMbwai na iwe mbwai, piga nikupige. Hakuna kurembaaaah.
Mimi mahusiano kwangu ni minor issue na hamna kibachoweza kuniyumbisha au kunitoa focus kwenye Jambo ninalotaka kulifanyaKama ni hivi basi sawaa
It's very simple kuhusu michepuko, mwanaume mmoja anaweza akawa nao hata 7..Nani alisema wachache hyo si kweli Kama wachache iweje wanawake Wana michepuko mingi, hyo ni justification very week kabisa na kuchepuka ni tabia Wala haihusiki na uchache au wingi. Na sisi acha tujimwambafai tu na maisha yetu.
Wajue tu pain wanayopata wakisalitiwa ni same na kwa wake zao, usaliti ni mubaya Sana hasa kwa uliye muamini na sio mapenzi tu hata usaliti wa Mambo mengineKabisaaaaaah dea yaan wee acha tyuuuuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Talaka anatoa mumeo sio ww, wewe hutoi talaka , ukimchoka ukataka kusepa utaenda omba yeye aruhusu wewe uende zako salama kwa kukupa talaka, mwanamke haachi, anaachwa, kama vile kuoa tu, huoi unaolewa
Hujapigwa mistari vizuri , utaolewa tuTeh teh vile vile kama sitaki kuolewa hakuna mwanaume atakayenikamata na kunifunga kamba halafa akanioe
Wewe nimulee Mimi hafu babake alete kende zake eti ananipiga tukio sijui blah blah gani aisee atabaki tu Kama baba dangote chamoto atakiona wallah it's impossible kwangu labda nisiwepo duniani kipindi hicho.Hizi nyakati za utoto wewe una full control, hana shida, atakua mtu mzima , hapo ndio mtihani ulipo, ndio maana nasema hili sio jambo la kuliombea na kama likitoka basi changa karata vizuri, atapokuja kua mtu mzima asilete shida kwako
manake baba yake anaweza kua kakupiga tukio , mtoto anakua mtu mzima nae anakupiga tukio tena.. sio mambo ya kuombea yatokee haya
Heshima hiyo kwioooo. Eti heshima mtcheeeeeeeeeeeew
Mimi Kuna shoga angu hujiliza halafu ana mwamini mchumba badala nikasema jiandae na Kama hujapigwa tukio lolote jiandae, I'm always positive Ila better kujiandaa, na hii inayomkuta mleta mada ingetakiwa ai experience kabla ya ndoa awe amekubuhu hata asingeumiaMie mtu anayelia kusa mapenzi namuona km vile n mtoto hajielewi, sijawah kuwaelewa kabisaaah
Ndiko huko anakoenda omba...
Mwanaume akishindwana nawe anakupa talaka
ukishindwan nae unaenda mahakamni kuomba akupe talaka, either ways mume ndio anatoa
As long as siko under the same roof nimekuacha hyo ya mahakamani ni formality tu.Nje ya ndoa sawa, utaacha, ila kwenye ndoa hata ukionda wewe, mazingira ya utoaji talaka yanaonyesha ww ndio umeachwa japo wewe ndie ulie acha
Mbona unaingiza wazazi?Usisahau mama yako ndiye mwenyekiti wa Hilo kundi,, pathetic
Kikubwa mtu amechepuka basi bila kujali jinsia yake anepata alichokitaka basi.It's very simple kuhusu michepuko, mwanaume mmoja anaweza akawa nao hata 7..
unaweza ukute kundi la wanaume 15 linamiliki wanawake 100 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ... sio weak justification.. ni vile tu umeamua ruka hiki kipengele
Mama la mama kusepa lazima iume, wanaume tunapata sana tabu kuchagua mke, ukimchagua alafu akasepa tena ni mtihani mwingine huo , ndio maana wengine hua wanazungusha sana kutia sain, wanafanya kila linalowezekana swala lirudi kwenye level ya familia , kama kuna fain au kitu cha kufanya jambo likae sawa mtu anakua tayari kuliko kuruhu mama la mama asepeYes mwanaume ndio anatoa ila trust me inaumiza hata mwanaume mkeo aende kuomba talaka