Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Fresh tu kwani sh ngapi?
Sijawahi kusikia mbwa kamsaliti boss wake lakini kutwa watoto wanasaliti wazazi wao!
We zaa tu mamy wacha wasaliti mbele ya safar ila jukum lako umetimiza siunaelewa dunia ndo mkufunzi wa mwisho!
 
Pole sana kwa kuwa na wivu, ila kumbuka mjini hamna Mwanaume wa peke ako labda uumbe wa kwako au wa ndotoni.

Mwanaume hatupendi mazima kwa mwanamke huwa tunapenda vipande vipande mfano, tako, shape, sura , mguu, mnato, shoo kali, mke wa kulea family

Na kwanini mpende vyote hivyo mkuu? Kwanini msichague vichache ambavyo ndiyo mnavipenda zaidi halafu mkahangaika navyo kwanini huwa mnataka ukamilifu ili hali ninyi siyo wakamilifu?
 
kwanza elewa tuu sisi wanaume hatujaumbiwa mwanamke 1.kumbuka pia hata akicheat nje mapenz kwako hayataisha wala hatapunguza matumiz na watoto watasoma.ndio udhaifu tulio nao km nyie pia mna udhaifu wenu ingawa hamjielewi.unachofanya au kukosea ni kukosa apetite na huyo mmeo hilo ni kosa cha msingi wee mbadilishie style zile ambazo hamjawai kufanya yaani kiufupi ubadilike na usimtuhumu kwa chochote au kuonyesha hisia mbaya.mpende hivyo hivyo mpikie chakula kizuri umkaribishe kwa unyenyekevu badili mazingira yote ya mazoea!mfanye aone nyumbani ulipo wewe ni vantage point yake akute vitu ambavyo tofauti na anapochepukia na sio kumfanya ajione dhaifu kwa tuhuma unazompa.yaani mfanyie vitu ambavyo ataona siku zote alikuwa wapi kukufahamu.sisi wanaume akili yetu ndogo kututeka ni rahisi mno km kumpiga teke chura.soma hata majarida au tafuta watalam wakueleweshe jinsi ya kumkamata mume ili miaka yote aone hakuna mke km wee na sio kuonyesha chuki wazi waz au kuzira
Kuna comment moja nilijibu juzi humu kuwa,kumkamata mwanaume hakuhitaji hata shule ni usanii flani hivi,jaribuni kujifunza huo usanii na wala sio masarakasi yale,ni kujua tu kwenda na rythim utamashangaa tu mwanaume anaambiwa kafanyiwa dawa na mkewe kumbe ni manjonjo tu...
 
Ndio ameshakuwa Mume wako wa ndoa, Tena agano limezid kuwakolea kwa maan ya kuwa na watoto, let it go usijiumize Sana, lakin muonyeshe kuwa hujapenda Hilo Jambo naamin ukifany hivyo hararudia
 
Na unakuta wanawake wengine wanadaganywa sijui juu huku kwa mganga umtulize mumewe, wanazurula kwa manabii eti ndoa isife na kusahau hata kujitaftia kipato. Ifike mahali watu muchokana hamheshimu ndoa ambianeni ukweli bwana nimekuchoka sikutaki kila mtu a mind business zake

Haswa. Kila mtu ashinde mechi zake.
Hata sijisumbui kumuendea mtoto wa mtu kwa mganga! Ili nigundue nini labda?
 
Fanya ufanyavyo pinduka lakini hakuna mwanaume asiyechepuka!
Mm miaka mitatu ya kwanza ya ndoa nilijitahidi na wallah sikuchepuka but baada ya hapo nilikerwa na jambo ikibidi nitafute pumziko!
Msitafute mchawi ni nani vyanzo ni ntie coz you are always very sturbon.
Tuacheni tu tuzinusuru roho zetu nje
 
Hahahaha my dear hapo kwenye maamuzi magumu kuliko ya shetani umenikumbusha kuna msemo unasema “mwanamke akiamua kulipa kisasi hata shetani anakaa pembeni kuchukua mafunzo”. These men better not mess with us wallah.
Jamani imagine umehangaika from zero mumepitia ups and down nyingi then mtu anataka kuharibu yeye anahangalia starehe zake na Mali zipotee na familia itetereke wee siwezi ruhusu hyo kitu lazima tu mtu aumie siwezi ona jasho langu linapotea hivi kizembe Tena hapo nimeshakuwa mtu mzima, kwa kweli nitafanya tu maamuzi magumu kuliko shetani hyo ya kusema samehe vumilia, sijui madudu gani wallah tukutane kuximu kutoa hesabu.
 
Kwa hili tuko tofauti Zoe hapa Nina miezi kadhaa sijakuliwa hali niliyonayo naijua Mimi tu kiasi kwamba nikicheka tu nasikia nyee zinashuka

Kwahiyo tuko wanawake tunaohitaji sawa na wanaume ila Bado sio sababu ya kuruka ruka Kama vyura
Uko sahihi kabisa my dear Ila kwanini ujitese hivo tafta kipoozeo
 
Kwa hili tuko tofauti Zoe hapa Nina miezi kadhaa sijakuliwa hali niliyonayo naijua Mimi tu kiasi kwamba nikicheka tu nasikia nyee zinashuka

Kwahiyo tuko wanawake tunaohitaji sawa na wanaume ila Bado sio sababu ya kuruka ruka Kama vyura

It’s okay! I meant no offence ila ni vile tu tumeaminishwa kuwa mwanamke nyege zake ziko mbali ndiyo maana!

After all wewe umejitahidi sana hata kukaa hiyo miezi kadhaa. Kuna wanawake wenzetu hawawezi kupitisha hata siku yaani wana libido kali.
 
Haswa. Kila mtu ashinde mechi zake.
Hata sijisumbui kumuendea mtoto wa mtu kwa mganga! Ili nigundue nini labda?
Hii tabia ya kutaka ku miliki watu wazima ukiwa na busy hata kufatilia ujinga wake huna
 
Na kwanini mpende vyote hivyo mkuu? Kwanini msichague vichache ambavyo ndiyo mnavipenda zaidi halafu mkahangaika navyo kwanini huwa mnataka ukamilifu ili hali ninyi siyo wakamilifu?

Ndo tumeumbwa hivyo na Mungu kuwa na tamaa na kupenda nusu nusu kwa mwanamke,

Mwanaume na mwanamke tumeumbwa tofaut mfumo wa uzazi na hisia pia weka akilini mwanaume alie zoea sex harafu ukajifungua hawezi vumilia miez 3 hadi 4 ndo umpe anaweza shindwa tembea misuli pumb* inauma labda atumie sabuni

Ila kuna kujizuia mtu anaweza na kubaki na mke wake tuu ila inahitaji moyo sana sio wote wanaweza maana sex na mtu mmoja kila siku na milele ni kipaji nacho
 
Utajijua bwana...

Muache uende huko duniani udhani wa huko ndio hawa-cheat ndio utaelewa vizuri...

Achika,wanawake wengine wamchukue na wewe uchukuliwe na hao wanaume ambao "hawacheat" wa kufikirika!

Hivi mwanaume ku-cheat ni ishu siku hizi?

Kwanza ulijuaje ana-cheat kwa kidhibiti kipi,tuanzie hapo maana utatuletea utoto wa nilikagua simu,ulitokana nayo wapi to begin with?
ushauri au michambo sasa
 
kwanza elewa tuu sisi wanaume hatujaumbiwa mwanamke 1.kumbuka pia hata akicheat nje mapenz kwako hayataisha wala hatapunguza matumiz na watoto watasoma.ndio udhaifu tulio nao km nyie pia mna udhaifu wenu ingawa hamjielewi.unachofanya au kukosea ni kukosa apetite na huyo mmeo hilo ni kosa cha msingi wee mbadilishie style zile ambazo hamjawai kufanya yaani kiufupi ubadilike na usimtuhumu kwa chochote au kuonyesha hisia mbaya.mpende hivyo hivyo mpikie chakula kizuri umkaribishe kwa unyenyekevu badili mazingira yote ya mazoea!mfanye aone nyumbani ulipo wewe ni vantage point yake akute vitu ambavyo tofauti na anapochepukia na sio kumfanya ajione dhaifu kwa tuhuma unazompa.yaani mfanyie vitu ambavyo ataona siku zote alikuwa wapi kukufahamu.sisi wanaume akili yetu ndogo kututeka ni rahisi mno km kumpiga teke chura.soma hata majarida au tafuta watalam wakueleweshe jinsi ya kumkamata mume ili miaka yote aone hakuna mke km wee na sio kuonyesha chuki wazi waz au kuzira
unastahili upewe heshima sana maana umeeleza fresh sana
 
Back
Top Bottom