Pole sana
nyakoo .Hiyo ni misukosuko ya kwenye ndoa,sababu ndoa huwa ni safari isiyokosa misukosuko.kama lisinge tokea hili lingekuwepo lingine ,pengine baya zaidi.Sasa namna ya kuitatua inahitajika kuachia hata baadhi ya haki zako za msingi kwa manufaa yako mwemyewe na familia yako.kitu kingine unatakiwa kuelewa ni kuwa amecheat siyo kwa kupenda,hata yeye trust me anajuta sana kwa alichokifanya .Pia nikuhakikishie kwamba huyo jamaa bado anakupenda sana na anaijali ndoa yake.sababu ingekuwa hakupendi angekujibu kunya kunya na kuendeleea kukwambia usimpande kichwani shika time yako.Sababu wewe mwenyewe unajua,hakuna kinachomtisha kwako.Huyo bado ni muelewa na mume sahihi.kilichotokea ni kama ajali tuu.Cha msingi kwa sasa msaidie ili hiyo dhambi asiirudie tena.Kama ni watu wa ibada endeleeni kumsihi Mungu aendelee kuilinda ndoa yenu.Yamkini naye amekuweka kwenye matazamio usipobadilika ,huenda akaacha kuvumilia ,kiasi hali ikaharika zaidi,shetani atampa mbuni mpya ya kuivurugha ndoa yenu mazima.
kitu usichohitaji kujaribu kufanya ni kutafuta faraja kutoka kwa mwanadamu mwingine kama namna ya kulipa kisasi.
Hivi ninavyoandika uzi huu yule mwanamke aliyecheat naye anajiuliza mbona mchepuko wake amebadilika ghafla,amekuwa kimya sana,hapokei sinu zake tena,anaendelea kumfuatilia kujua kulikoni.So sababu umeamua kutokuwa na ukaribu wa faraja na mumeo basi unamfanya huyo mke mwenzio apate unafuu zaidi.
Kuna wakati wanaume wanakuwa kama watoto wanataka atention kubwa kutoka kwa wake zao.
Lastly,fanya r