1995 mbali sana, tupo 2000[emoji1] ata mkitusahau kuna wa 1995’s wako busy kutuweka sawa
1995 mbali sana, tupo 2000[emoji1] ata mkitusahau kuna wa 1995’s wako busy kutuweka sawa
Wakijifungia vibandani kwao hawajui yanayoendelea huku dunianiTena wapo wanaotamani tuachike ili watuoe. Hawa washamba wanadhani mtu ukishaolewa ndio umeshashuka thamani.
Sio wa 95 wa 2010 hata nyie kengele zenu zimerojeka tuna tafta wenye pumzi kuliko nyie wenye pressure na visukari
Yes,binti amejiapiza. Kibaya zaidi wote ni waajiriwa na wapo idara moja.Kaa
Kaa kwa kutulia uje uone kamasi atazotolewa na huyo mkewe pindi mtoto akikua,, acheni kucheza na mwanamke nyie watu
Wanaojifanya kusamehe wengi huwa wanaishia kuumwa vibaya ama kifo kabisa,,wanaolipiza ama kuachana kidogo huwa wanakuwa na ahueniHii ya kujifanya kusamehe ni unafiki jamani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi zile nyimbo sijui pambio zinaimbwa bila mpangilio kumbe zina maana kubwa eee [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ngoja nimshtue jirani yangu
kwan hujui kuna kugawana hizo mali? Ndo maan tunasema suluhisho kwa wanawake nao n kucheat tyuuuh, ili iwe balanced.Siku mwanamke atakapoamua kujutegemea na kuacha kumfanya mwanaume kama kitega uchumi..yaan yupo kwenye ndoa kwa mahitaj ya ndoa..ndipo atakua huru kufanya maamuz
Weng wanashindwa fanya maamuz sbaab anajua.dah ..niache nyumba hii.niache magar haya.niache ubwabwa wa bure huu..haiwezekan.ntakomaa nae hapa hapa
Hapo ndipo mnatupa jeur ya sis kucheat na kutoogopa kufanya hvyo sbaab tunajua huwez fanya chochote zaid ya kunilaum.kununa.kutukana..etc
Sasa kumbe ulikuwa unalalamika nini[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1] ata mkitusahau kuna wa 1995’s wako busy kutuweka sawa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi nikimwacha mtu ndio nakuwa nimeachika? Unajua maana ya kuachika?
Hebu jigonge gonge kifuani ujiambie "ifike mahali na mimi nitumie akili kuwaza".
Huwezi fanya starehe ukaridhika bila kua na hisia hasa Kwa mwanamkeSasa Mimi nimenda kwa ajili ya starehe, no feelings attached, hayo mengine hata ctaki kuyafikiria kabisa, Yani ni kustarehe without conditions attached Tena hapo mnakuwa wote kuridhishana basi, na sio kumilikiana
Sasa anamzalisha huyo mkewe kwanini ili hali hataki watoto? Khaaaah mambo mengine mbna yanashtusha ulimwengu kabisaa.Kuna ndoa ya dogo inayumba kwa mfumo huu huu, mke kajifungua dogo hataki kubaki nyumbani akitoka kazini kisa mtoto analia sana, ukimpigia simu anapokea yupo bar tena kwenye kelele za muziki. Simu imejaa sms za wasichana, hashauriki, anasema yeye ni mwanaume hawezi kuvumilia miezi miwili hadi apone mke wake. Sijui wanaume tuna tatizo gani!!
Mdogo wangu unataka uwe kama Anna makindaNdiyo maana naenjoy kuwa single, hakuna kitu sipendi kama kupewa stress na binadamu mwenzangu tena ambaye najua anafanya makusudi kabisa bora stress za upweke kuliko za mapenzi.
We huna nia nzuri kabisa na hii ndoa mkuu, eti talaka!! Are you serious kweli? Atafute tu kipoozeo atulie, ila kama amekolea akataka na mtoto sasa hayo yatakuwa maamuzi yake. Sitomuingilia.Yani wewe unayemshauri achepuke na possibly atiwe mimba ndo una nia nzuri? Ila mimi nnayeshauri kama kashindwa aombe talaka ndo nina nia mbaya? Are you serious?
Sema hivi wewe ni mchawi kwa maana ya kwamba hata kama nikitoa child support bado utanisema vibaya kwa watoto.Wewe utalea kwa lazima Tena ikiwezekana kwa Sheria hutaki na watoto unapotezwa haki zote za watoto kuanzia ubini na kila kitu ukafie mbele ya safari Tena nawaambia watoto a to z hutaki kulea means umekana wanao natafta lawyer u sign ulivokataa kuhudumia watoto wako ili wakikua ni waonyeshe kabisa
Kweli kabisa, 50 anniversary mnasheherekea vizuuuuuri kabisa bila mtimanyongo.Kipoozeo kina upa uhai ndoa isife hamchokani mapema
Sasa anamzalisha huyo mkewe kwanini ili hali hataki watoto? Khaaaah mambo mengine mbna yanashtusha ulimwengu kabisaa.Kuna ndoa ya dogo inayumba kwa mfumo huu huu, mke kajifungua dogo hataki kubaki nyumbani akitoka kazini kisa mtoto analia sana, ukimpigia simu anapokea yupo bar tena kwenye kelele za muziki. Simu imejaa sms za wasichana, hashauriki, anasema yeye ni mwanaume hawezi kuvumilia miezi miwili hadi apone mke wake. Sijui wanaume tuna tatizo gani!!
Nipigie pande hilo nimle no strings attached mimi mwenyewe naunga mkono hoja aliwe tuWe huna nia nzuri kabisa na hii ndoa mkuu, eti talaka!! Are you serious kweli? Atafute tu kipoozeo atulie, ila kama amekolea akataka na mtoto sasa hayo yatakuwa maamuzi yake. Sitomuingilia.
Sasa mbona mume wa mleta mada alifanya Ina maana hakupma, jamani furaha yangu muhimu, lazima na Mimi nitafte kitu kizuri kuliko wewe kinipatie Toto moja matata sana, hapo nakusamehe hata ukichepuka daily sijali maana na Mimi nimefanya Jambo nililolifanya kutimiza matakwa yangu.
NB usifanye Hili Jambo Kama una roho nyepesi na dhaifu na hujajiandaa kukabiliana na Hali hyo. Uwe tayari ku move on oooh
Mimi pia zile kelele hapana 😀 .Sasa anamzalisha huyo mkewe kwanini ili hali hataki watoto? Khaaaah mambo mengine mbna yanashtusha ulimwengu kabisaa.