Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Haiwezekani, mchepuko huyohuyo zaidi ya mwaka, na mke anajua kabisa, na siyo muislam useme utaoa mke wa pili.. Ukishakaa na mtu mda mrefu hivyo lazima tu utampenda, na upendo kwa mke lazima utapungua au kuisha kabisa
Narudia tena, kuchepuka kwa Mwanaume hakuna uhusiano wowote na kumpenda au kutompenda mkewe, sisi hatuchepuki kwaajili ya the so called mapenzi , kwamba bila kumpenda mtu basi hufanyi , hatuko hivyo , mke anabaki kupendwa pale pale na heshima yake iko pale pale.. zipu kufunguliwa huko nje haina uhusiano wowote na kupenda au kutopenda mke
 
Usinielewe vibaya mama, sijakataa kutunza watoto bali sitaki kutunza watoto na wewe ukiwemo. Wewe pambana kivyako sio natoa hela ya kula watoto wangu kumbe ndo nalisha nyumba yote, na bata unalia hiyo hiyo na saloon humo humo
Wewe toa hela kwani kabla yako nilikuwa naishije kwahyo hvo vijicent vya mawazo ndio uone unalisha nyumba nzima.
Hao wanao utatunza tu utake usitake
 
Na wengi wapo hivi wanawaaminisha watoto mambo ambayo kimsingi ni uongo mtupu tena bado watoto wakiwa wadogo kabisa.
Mtu ataambuwa ukweli wa Jambo lililotokea a to z bila kuficha na kila process nahifadhi Kama kumbukumbu za kila Jambo, na Wala sio sumu
 
Ni unafiki mtupu ooh samehe mbona wao hawasamehi, na kwanini ujitese ulipize uzeeni kwa kumtelekeza una mfanyia mapema.
Huu unafiki umewapa watu wengi maradhi na Mimi siwezi mweka mtu moyoni niumie nikufanya eti naumia, ukishindwa samehe lipiza na moyo unatulia
Ndo msimamo wangu,,maisha mafupi kuanza kuishi kinafiki na kusubiri uzeeni akifa na ujana wake je?? Hizo hasira zitaishia wapi,, anakusaliti unajua unampiga matukio mpaka anainua mikono juu,
 
Hapana anko siko tayari acha tu niyakose hayo mema aise, hata hivo kwangu mema ya duniani si mapenzi.
Na ukiwa mwenyewe furaha tele ukikutana ha Hawa vidudu mtu sasa
 
Wewe toa hela kwani kabla yako nilikuwa naishije kwahyo hvo vijicent vya mawazo ndio uone unalisha nyumba nzima.
Hao wanao utatunza tu utake usitake
Sawa mama nakubali, nikutakie siku njema.
 
Hufai katika kutoa ushaur ,ipo Sik na wew litakukta jambo hta kama halifanan na hili na wat watalipuuza iv
Toa ushaur wa kujenga
Natoa mawazo yangu na wewe ungetoa ushauri wako constructive ungekuwa umefanya Jambo la maana Sana, by the way yeye mtu mzima na ni mwamuzi wa mwisho maoni yangu sio Sheria au katiba ifatwe, pia kwa jamii lazima tutofautiane mitazamo hatuwezi kuwa sawa
 
Nimegundua wanawake wengi wanaosupport huu ujinga wa eti “mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja” ndiyo wale wale ambao wanakubali kuwa michepuko na kusema “akiwa ndani ndiyo wako akiwa nje ni wetu”! Pathetic!
Pathetic indeed
 
Mtu ataambuwa ukweli wa Jambo lililotokea a to z bila kuficha na kila process nahifadhi Kama kumbukumbu za kila Jambo, na Wala sio sumu

Bora iwe ni kweli halisi wengi wanaongeza na uongo uliotukuka hadi mtoto anaonesha chuki za wazi kabisa kwa mzazi wake. I wish wazazi wakitengana wawe na mipaka ya mambo ya kuwashirikisha watoto kwa faida ya watoto hata kama wametengana kwa ubaya.
 
Back
Top Bottom