cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,696
Sasa mbona mume wa mleta mada alifanya Ina maana hakupma, jamani furaha yangu muhimu, lazima na Mimi nitafte kitu kizuri kuliko wewe kinipatie Toto moja matata sana, hapo nakusamehe hata ukichepuka daily sijali maana na Mimi nimefanya Jambo nililolifanya kutimiza matakwa yangu.Ni muhimu kupima na uzito wa jambo sio kwa sababu tu linakufurahisha moyo wako ndio ulifanye, kuna side effects baada ya kukufurahisha ndio maana inakuwa ni kwa siri sana na siri ikifichuka unaomba samahani. Ila bado nakazia ushauri uliompa mleta mada haufai kutumika.
Kibomba kipo kwa niaba ya mume
Tatzo lenu baadhi ya wanawake mkichepuka mnazama jumla mnasahau mpaka njia kuu.
NB usifanye Hili Jambo Kama una roho nyepesi na dhaifu na hujajiandaa kukabiliana na Hali hyo. Uwe tayari ku move on oooh