Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Sema hivi wewe ni mchawi kwa maana ya kwamba hata kama nikitoa child support bado utanisema vibaya kwa watoto.

Na wengi wapo hivi wanawaaminisha watoto mambo ambayo kimsingi ni uongo mtupu tena bado watoto wakiwa wadogo kabisa.
 
We huna nia nzuri kabisa na hii ndoa mkuu, eti talaka!! Are you serious kweli? Atafute tu kipoozeo atulie, ila kama amekolea akataka na mtoto sasa hayo yatakuwa maamuzi yake. Sitomuingilia.
Eti atafte talaka ili iweje heeh mnabanana hapo hapo, hamna Cha talaka Wala Nini.
 
Ukitoa hela Sina shida kabisa na Mambo yetu hawatajua, Sasa jifanye kichwa ngumu, utajuta kabisa hutaki kutoa matunzo natafta lawyer kabisa u sign, na nibahifadhi kumbukumbu nije kuwaambia jinsi baba alivogoma kuhudumia na ushahidi huu, usije sema niliwalisha sumu. Tumegombana Mimi na wewe kwanini utese watoto kwa kukataa kuwahudumia wao Wana kosa gani?
Usinielewe vibaya mama, sijakataa kutunza watoto bali sitaki kutunza watoto na wewe ukiwemo. Wewe pambana kivyako sio natoa hela ya kula watoto wangu kumbe ndo nalisha nyumba yote, na bata unalia hiyo hiyo na saloon humo humo
 
We huna nia nzuri kabisa na hii ndoa mkuu, eti talaka!! Are you serious kweli? Atafute tu kipoozeo atulie, ila kama amekolea akataka na mtoto sasa hayo yatakuwa maamuzi yake. Sitomuingilia.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
 
Na wengi wapo hivi wanawaaminisha watoto mambo ambayo kimsingi ni uongo mtupu tena bado watoto wakiwa wadogo kabisa.
Nina ndugu yangu aliachana na mwanamke wake, alimpa nyumba yule dada pamoja na gari na alikuwa anatuma hela kila mwisho wa mwezi pamoja na ada kulipa ila huwezi amini sumu alizolishwa yule mtoto
 
Ndiyo maana naenjoy kuwa single, hakuna kitu sipendi kama kupewa stress na binadamu mwenzangu tena ambaye najua anafanya makusudi kabisa bora stress za upweke kuliko za mapenzi.
Unamjambawazia nani hapa?
 
Hivi nikimwacha mtu ndio nakuwa nimeachika? Unajua maana ya kuachika?
Hebu jigonge gonge kifuani ujiambie "ifike mahali na mimi nitumie akili kuwaza".
Hakuna Mwanamke anaecha mtu , mwanamke anaachwa, hakuna Mwanamke anae toa talaka, mwanamke anapewa talaka

Get back to the topic, ukakuta Mwanamke ameachwa utamuoa??
 
Wanaojifanya kusamehe wengi huwa wanaishia kuumwa vibaya ama kifo kabisa,,wanaolipiza ama kuachana kidogo huwa wanakuwa na ahueni

Ama wengine wanasamehe wanavumilia adhabu wanakuja kuzitoa uzeeni

Bora kuchepuka tu ukatuliza nafsi mkakazia zia ndoa idumu
Ni unafiki mtupu ooh samehe mbona wao hawasamehi, na kwanini ujitese ulipize uzeeni kwa kumtelekeza una mfanyia mapema.
Huu unafiki umewapa watu wengi maradhi na Mimi siwezi mweka mtu moyoni niumie nikufanya eti naumia, ukishindwa samehe lipiza na moyo unatulia
 
Nina ndugu yangu aliachana na mwanamke wake, alimpa nyumba yule dada pamoja na gari na alikuwa anatuma hela kila mwisho wa mwezi pamoja na ada kulipa ila huwezi amini sumu alizolishwa yule mtoto

Binadam wengne hata uwafanyie mazuri kiasi gan bado watakutenda ubaya tu, mtoto akikua atajua ukweli labda nayeye akuwe kipumbavu
 
Back
Top Bottom