Hivi sis wewe una waume wangapi?[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Lakini sio kama wewe ulivyotushinda!
Mahari yenyewe deni hadi leo hajamalizia [emoji1][emoji1]Ulipokea mahari ya wangapi?
Aaàh wapi hana amekuchukua deni tu... kwa hiyo wewe kaa huko ukijua wewe umechukuliwa kwa deniNilimwambia asimalize.
AMENUwii!, haha, hii ya mazoea mpaka inasisimua mwili. That's like dying emotionally. Yaani upo upo tu mradi siku zinaenda. Kama sio kujitafutia magonjwa sugu ni nini? kisa mtu anakufa kisabuni. Mungu Asaidie kwa kweli.
Yani mwanaume mbinafsi ptuuuuIanzishwe na thread kuwakumbusha wanaume wa support wakes zao pia, Kuna majipu!
Nimesikiliza njia panda ya Clouds juzi, huyo mdada mchakarikaji mwenyewe ila kila mume akiona mambo yanaenda vizuri anaanza figisu mambo yanaharibika. Yani anaona bora waishi kwa shida kuliko bishara za bidada ziende. Mwishowe dada kawa kipofu hata pa kuishi Hana na mwanae mlemavu. Very sad.
Hehehe umenimiss eeh. Uuguzi wa design hiyo ushindwe na ulegeeKama nakuona!![emoji85] [emoji85] [emoji85]
Haya mambo wanaweza akina Heaven Sent wenye mioyo ya uuguzi.
Jambo DabySina matumizi na nyie sitajuta... labda kama una mpango wa kunitumia baadae.
Shunie yupo jukwaa la wakubwa naona kapewa umod huko
Jambo mimi.. sijui veveJambo Daby
Mimi jambo iko sana...Jambo mimi.. sijui veve
Huyo mke sio mwehu, ukute ke kaandika nipo free tunaweza kutana na me kujibu I'm gud baby nakupigia hapo mke afanye nini hata kama mimi wote lazima ni deal naoHao wanawake wa dizain hiyo mimi huwa nahis wa sociological problem ni tofauti na mwanamke ambaye yupo sawa kifikra na kiakili, katika hali ya kawaida huwezi kuta namba ya Mwanamke kwenye cm ya mumeo ukaanza ku react sidhani lazima uwe na tatizo,
Hapo ni mme utaacha wangapi? Halafu siku hizi hata wanawake wanatongoza ukishituka hivyo hivyo ruka nao na huku nako komaa ili ajue kama umeshituka ajirekebishe unaweza bahatisha naye ana mme naye aipate hiyo hivyo ngoma droo naye unampa msala huko kwa mmewe kukaa kimya hapanaGal kama ntakuta vitu vibaya , kumind hata mimi ntamind, na huyo bwana mkubwa ntamkaanga tu bila mafuta. But can't call another lady eti leave my man alone, God forbid. He personally has to draw a line dhidi ya wanawake wengine, otherwise kama sio mtulivu leo nakupigia wewe "leave my man", kesho nakuta ni espy namcall pia "leave my man", Abeg is he my man or our man? Kama kaamua kuwa public pizza utawazuia watu kumu-order? Na hao wanawake wenyewe utakaowapigia Omba wawe wapole, otherwise utakula vichambo upate na kichaa akhuuu
Ndiyo maana unafunga ndoa wote mnapewa mahusia ukioa na kuolewa kuna vitu unapunguza au sii kuacha kabisa kabla hujao mabinti walikuwa wanakuja kwako muda wowote lakin ukioa tu wanaacha sio eti public property hakuna kitu kama hicho ndiyo mwanzo wa mke kuzoeana na marafiki zako vitu vingine vinazaliwaMwenye commitment alinde hiyo commitment, atambue mipaka yake.
Kuanza kusumbuana na watu usio na commitment nao ni kujitafutia kichaa cha bureee!! Kuna dada mmoja kajikuta kagombana na kila ane mzunguka maana mumewe ni public property, sio wadogo zake, marafiki,majirani nk.
Mpaka akili ilipomjia kuwa anadeal na wrong enemy ilimchukua muda ndio akaanza kudeal na tatizo sasa. Angalau kuna unafuu.
Mtu anatoka kwao mrembo anakula na kuvaa unamfuata mtu ana anakuzingua na michepuko ukute hata mambo yetu yale hakuna cha maana halafu anaenda kudeal kwa mchepuko hapo hata kuku ataita beeeeKweli bana, mara nyingine inakuwa denial tu. Eti Usijali kwa sababu unakula, kwani kwenu ulitoka kuja kwa mume kwa sababu hamlagi? Mungu na asimame
Ukiona anapotezea tambua naye anachepuka si vinginevyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukiona mtu kampotezea mtu ujue kuna sababu, why asipotezee wengine?
Ni kweli na wewe unamganyia hvo wa kwako??? Maana wengi wenu niwazuri sana wa kutoa ushauri wa hekima kwa wenhine ilihali ushauri huohuo wewe huwezi kuutekeleza hata 1/2 yake!.Habari za jumapili wapendwa!
Kuna tukio lilinitokea na through that nikapata funzo kubwa tu.
Nina rafiki yangu(class mate) tulikuwa marafiki tangu shule, ila baada ya kuhitimu tukapotezana na hatukuwa na mawasiliano. Tukaja kuonana tena baada ya kama miaka 9 akiwa katika mchakato wa kuoa, urafiki ukarudi na tukawa na mawasilianao ya karibu tu. Baada ya kufunga ndoa nilianza kuweka kadistance maana mazoea sana na waume za watu sio mazuri.
Kuna kipindi alikuwa na wazo fulani kuhusu biashara na alinishirikisha tukashauriana vizuri na biashara ikafunguliwa na ikawa ikienda vyema.
Alipenda kunipa updates za hiyo biashara, na baadae akamuachia mkewe(wifi) aiendeshe then akawa na wazo lingine la project nyingine kubwa zaidi ambayo ingekwenda vizuri alikuwa na plan ya kuacha kazi ya kuajiriwa na kuiendesha mwenyewe.
Kutokana na kunishirikisha kwa karibu sana mambo yake, nikagundua mazoea yanakolea zaidi, nikaanza kumpotezea nikitambua yeye mtu mzima ataelewa tu. Alianza kulalamika sana maana mara nyingi nilikuwa sipokei call zake wala kujibu text zake, ikabidi nimwambie tu ukweli kuwa nisingependa hayo mawasiliano ya karibu namna hiyo. Japo kwa uchungu alinielewa ila aliomba sana nisipoteze mawasiliano nae kabisa.
Baada ya kama mwezi hivi nilipokea simu kutoka kwa mkewe akilalamika sana na kunilaumu akihisi nina mahusiano na mumewe, ilibidi nimtulize munkari then tulonge taratibu kiutu uzima.
Alilalamika kuwa kuna mambo mengi ambayo emekuta ktk mawasiliano baina yangu na mumewe ambayo yeye binafsi hayajui na hajawahi kushirikishwa. Hapo sasa ndio ikabidi niongee nae na kumuuliza vizuri kuhusu mawasiliano baina yake na mumewe, nikagundua sio supportive kwa mumewe na huwa hayaamini mawazo ya mumewe.
Sasa nilichojifunza ni kwamba mwanaume anapenda sana kusikilizwa,kuheshimiwa na kuaminiwa. Anaweza akaja na wazo lake ambalo ukiliangalia harakaharaka unaona kabisa hapa hakuna kitu, sasa sisi wanawake huwa tuna tabia ya kuwakatisha tamaa, unaweza kuguna mguno classic au kucheka kabisa kwa dharau kumuonyesha kuwa wazo lake ni la hovyo kabisa, ilihali hata wazo mbadala pia hauna.
Mpe nafasi ya kumsikiliza, then kama atakuomba ushauri mpe kama hauna bora umshauri atafute ushauri pahali sahihi, mtie moyo na umuamini kuwa anaweza, hata kama alikuwa na hofu na wazo lake kwa kumtia moyo na kumuamini itampa ari ya kulifanyia kazi vizuri zaidi.
Wakati mwingine tunaweza kuwa tunazima ndoto za akina Mengi wengi tu bila kujua kuwa kwa support yetu wangefika mbali sana. Hata akishindwa kwa mara ya kwanza mtie moyo na mwambie ajaribu tena na tena na atafanikiwa. Sio ndio unaanza na maneno kama "nilijua tu usingefika kokote"!!
Kama ulimuamini na kumchagua yeye kati ya wengi,basi hauna budi kuyaamini mawazo yake pia. Kuwa msaidizi ambae kila wakati atajivunia kuwa nae, hata akikengeuka akikumbuka mazuri yako mengi hakika atajirudi tu.
Wanaume wanaomuheshimu Mungu, na wanajiheshimu wenyewe wapo wengi tu, so far hakunaga uhaba wa wanaume kabisa. So kumng'ang'ania mtu asiyeniheshimu; sina hicho kipaji kabisa, plus ukiona yanakushinda sana hakuna aliyekufa kabla ya wakati kwa sababu ya kuwa single. My pride, my ego, my dignity, my peace of mind + my health ni vya muhimu sana, sasa siwezi kumruhusu mtu aniharibie tu kirahisi rahisi. Hayo mambo ya utaacha wangapi, ndo yanafanya wanawake waendelee kunyanyasika kwenye ndoa zao wengine hadi kufa kisa eti "Wanaume wote wapo hivyo hivyo". Vidole tu vinapishana sembuse binadamu.Hapo ni mme utaacha wangapi? Halafu siku hizi hata wanawake wanatongoza ukishituka hivyo hivyo ruka nao na huku nako komaa ili ajue kama umeshituka ajirekebishe unaweza bahatisha naye ana mme naye aipate hiyo hivyo ngoma droo naye unampa msala huko kwa mmewe kukaa kimya hapana