Wanawake wenzangu kujeni tutete kidogo!

Wanawake wenzangu kujeni tutete kidogo!

Kweli bana, mara nyingine inakuwa denial tu. Eti Usijali kwa sababu unakula, kwani kwenu ulitoka kuja kwa mume kwa sababu hamlagi? Mungu na asimame
And maybe unakuta mtu ndio anamtegemea mume A-Z, yaani basi yumo anaishi tu kwa matumaini.

Ndo hapo sasa, ni hivyo tu mtu anakuwa hana la kufanya kama hajajiandaa kuwa mwenyewe.
 
Kusema haujali hapana jamani, kujali lazima ila unakuta ndio mtu kishajikatia tamaa yupo tu ilimradi nae kaolewa atafanyaje sasa!! Mapenzi yalishakwisha yamebaki mazoea tu ilimradi siku ziende.
Kuna wanawake wengi leo wameamua tu "kudumu" katika ndoa kwa sababu tu anawaza nikiondoka hapa, ntaanzaje anzaje, ni apeche alolo. Financial independence ya muhimu sana tu, not necessarily kwa sababu ya kuogopa manyanyaso.

Uwii!, haha, hii ya mazoea mpaka inasisimua mwili. That's like dying emotionally. Yaani upo upo tu mradi siku zinaenda. Kama sio kujitafutia magonjwa sugu ni nini? kisa mtu anakufa kisabuni. Mungu Asaidie kwa kweli.
 
Ianzishwe na thread kuwakumbusha wanaume wa support wakes zao pia, Kuna majipu!

Nimesikiliza njia panda ya Clouds juzi, huyo mdada mchakarikaji mwenyewe ila kila mume akiona mambo yanaenda vizuri anaanza figisu mambo yanaharibika. Yani anaona bora waishi kwa shida kuliko bishara za bidada ziende. Mwishowe dada kawa kipofu hata pa kuishi Hana na mwanae mlemavu. Very sad.
 
Mimi huwa najiamini sana na mawazo na fikra zangu.

Huwa nipo vizuri sana katika kuweka mipango na kufanya maamuzi.

Sijawahi kabisa kuhitaji msaada wa kimawazo toka kwa mwanamke.
Mkuu unafanya nini huku? amesema wanawake wakutane hapa wewe tiyari umeshaanza na kucomment teh teh teh
 
Niliskia eti ukiona mwanamke kaanza kukuita kaka au ndugu jua hakupendi ameshindwa tu kukuchamba
Ila wewe ndio ulianza kaka yangu.
Kwahiyo tuiendeleze tu.
 
Uwii!, haha, hii ya mazoea mpaka inasisimua mwili. That's like dying emotionally. Yaani upo upo tu mradi siku zinaenda. Kama sio kujitafutia magonjwa sugu ni nini? kisa mtu anakufa kisabuni. Mungu Asaidie kwa kweli.
Kama nakuona!![emoji85] [emoji85] [emoji85]
Haya mambo wanaweza akina Heaven Sent wenye mioyo ya uuguzi.
 
Ianzishwe na thread kuwakumbusha wanaume wa support wakes zao pia, Kuna majipu!

Nimesikiliza njia panda ya Clouds juzi, huyo mdada mchakarikaji mwenyewe ila kila mume akiona mambo yanaenda vizuri anaanza figisu mambo yanaharibika. Yani anaona bora waishi kwa shida kuliko bishara za bidada ziende. Mwishowe dada kawa kipofu hata pa kuishi Hana na mwanae mlemavu. Very sad.
Duuuh!! Soo sad.

Ikawaje akawa kipofu?
 
Haya ntafanyaje tena sis...na ulishaniteka usinifanyie ya roma tu.
Mamdogo shunie yuko wapi? Sijamtia machoni muda.
Huu undugu ulotupachika baadae usije jilaumu tu!!
 
Mamdogo shunie yuko wapi? Sijamtia machoni muda.
Huu undugu ulotupachika baadae usije jilaumu tu!!
Sina matumizi na nyie sitajuta... labda kama una mpango wa kunitumia baadae.

Shunie yupo jukwaa la wakubwa naona kapewa umod huko
 
Sina matumizi na nyie sitajuta... labda kama una mpango wa kunitumia baadae.

Shunie yupo jukwaa la wakubwa naona kapewa umod huko
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eti kapewa umod!
We huko si ulishakimbia? Umejuaje yupo huko?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eti kapewa umod!
We huko si ulishakimbia? Umejuaje yupo huko?
Post za shunie nazionaga niliweka censor.

Kanishinda kwa kweli
 
Back
Top Bottom