Wanawake wenzangu kujeni tutete kidogo!

Habari za jumapili wapendwa!

Kuna tukio lilinitokea na through that nikapata funzo kubwa tu.

Nina rafiki yangu(class mate) tulikuwa marafiki tangu shule, ila baada ya kuhitimu tukapotezana na hatukuwa na mawasiliano. Tukaja kuonana tena baada ya kama miaka 9 akiwa katika mchakato wa kuoa, urafiki ukarudi na tukawa na mawasilianao ya karibu tu. Baada ya kufunga ndoa nilianza kuweka kadistance maana mazoea sana na waume za watu sio mazuri.

Kuna kipindi alikuwa na wazo fulani kuhusu biashara na alinishirikisha tukashauriana vizuri na biashara ikafunguliwa na ikawa ikienda vyema.
Alipenda kunipa updates za hiyo biashara, na baadae akamuachia mkewe(wifi) aiendeshe then akawa na wazo lingine la project nyingine kubwa zaidi ambayo ingekwenda vizuri alikuwa na plan ya kuacha kazi ya kuajiriwa na kuiendesha mwenyewe.

Kutokana na kunishirikisha kwa karibu sana mambo yake, nikagundua mazoea yanakolea zaidi, nikaanza kumpotezea nikitambua yeye mtu mzima ataelewa tu. Alianza kulalamika sana maana mara nyingi nilikuwa sipokei call zake wala kujibu text zake, ikabidi nimwambie tu ukweli kuwa nisingependa hayo mawasiliano ya karibu namna hiyo. Japo kwa uchungu alinielewa ila aliomba sana nisipoteze mawasiliano nae kabisa.

Baada ya kama mwezi hivi nilipokea simu kutoka kwa mkewe akilalamika sana na kunilaumu akihisi nina mahusiano na mumewe, ilibidi nimtulize munkari then tulonge taratibu kiutu uzima.
Alilalamika kuwa kuna mambo mengi ambayo emekuta ktk mawasiliano baina yangu na mumewe ambayo yeye binafsi hayajui na hajawahi kushirikishwa. Hapo sasa ndio ikabidi niongee nae na kumuuliza vizuri kuhusu mawasiliano baina yake na mumewe, nikagundua sio supportive kwa mumewe na huwa hayaamini mawazo ya mumewe.

Sasa nilichojifunza ni kwamba mwanaume anapenda sana kusikilizwa,kuheshimiwa na kuaminiwa. Anaweza akaja na wazo lake ambalo ukiliangalia harakaharaka unaona kabisa hapa hakuna kitu, sasa sisi wanawake huwa tuna tabia ya kuwakatisha tamaa, unaweza kuguna mguno classic au kucheka kabisa kwa dharau kumuonyesha kuwa wazo lake ni la hovyo kabisa, ilihali hata wazo mbadala pia hauna.

Mpe nafasi ya kumsikiliza, then kama atakuomba ushauri mpe kama hauna bora umshauri atafute ushauri pahali sahihi, mtie moyo na umuamini kuwa anaweza, hata kama alikuwa na hofu na wazo lake kwa kumtia moyo na kumuamini itampa ari ya kulifanyia kazi vizuri zaidi.

Wakati mwingine tunaweza kuwa tunazima ndoto za akina Mengi wengi tu bila kujua kuwa kwa support yetu wangefika mbali sana. Hata akishindwa kwa mara ya kwanza mtie moyo na mwambie ajaribu tena na tena na atafanikiwa. Sio ndio unaanza na maneno kama "nilijua tu usingefika kokote"!!

Kama ulimuamini na kumchagua yeye kati ya wengi,basi hauna budi kuyaamini mawazo yake pia. Kuwa msaidizi ambae kila wakati atajivunia kuwa nae, hata akikengeuka akikumbuka mazuri yako mengi hakika atajirudi tu.
Unafaa kuwa mke kabisa Dada,ni wanawake wachache wanaweza kutoa ushaur kwa waume zao,wengi wamekalia wivu na umbea tuu.
 
Yaaani wewe kama usichana umeuvuka mana umeonyesha Umwanamke jasiri katika kusimamia mambo ya msingi. Hivyo ndivyo tunavyopenda sio kulalamika kama upo msibani.
 
Umeshauri mpaka raaaaha
 
Fact, lkn kuna baadhi ya wanaume hawashirikishi kabisa wake zao kwenye mambo yao anahiyari ndg zake au rafiki. Anaona kumshirikisha mwanamke kwenye shughuli zake ni kujishusha coz atakua anajua nn kimeingia kwa siku na hapo atakua hana njia ya kumnyima hela akiwa anahitaji.
 
Niko tofauti sana kwakweli, kwanza nikijua kuwa kuna mwanamke anaukaribu na mtu wangu nitachunguza uhusiano wao bila taharuki lakini huwa nijipongeza kuwa chaguo langu halikuwa baya kuna wanaopenda pia kumfanya rafiki.
Mmmh I agree with you on this. Unapofunga ndoa na mtu, jua huyo mtu ni mume, ni baba, kaka, shemeji, mjomba, rafiki kwako na kwa watu wengine etc, at one point kuna watu watamuhitaji na yeye kuna muda atahitaji watu wengine.

I know unaweza ukawa good, but sometimes you can't be good in everything. Kama kuna vitu ambavyo najua me siwezi kumsaidia as much as anavyohitaji, I don't mind akitafuta msaada kwa mtu mwingine trustworthy. Sema ndo iwe ananishirikisha na ananipa updates inaendaje and if I can help in my own lil way, basi inakuwa pouwah zaidi. Honestly hakuna mtu atakayependa kugundua mumewe anamshirikisha mtu mwingine mambo yake, afu yeye mke haambiwi unless huyo mke ndo awe wa kukatisha tamaa. Unampa tu taarifa unamuacha zake
 
Back
Top Bottom