Wanawake wenzangu kujeni tutete kidogo!

Wanawake wenzangu kujeni tutete kidogo!

Haha...
Najua hapo umenitukana kwa sauti nyororo na sauti kama hizo huwa maombi yao hayasikilizwi.

Kwa usalama wa viungo vyako gonga like kesho nikauze kandama kamoja nikujazie mpesa yako vale.
Daby em niache. Huna hela wewe zaidi ya kengele hizo
 
Angekuwa naye ana mme mimi ningemwelewa vizuri lakini kama single hapo hapana halafu hizo sms alizokuwa akichart na huyo bwana hakutaja ni zipi yawezekana zilikuwa tata ndiyo maana mke akawa na kiulizo huyo mke sio mjinga kiasi hicho akute biashara partner halafu yy atibue hapana isije dada anajitetea
Upo sahihi, we are on the same line. Hizo msg hizoooo zinaonekana zilikuwa na shidaah huyo mke hakuwa mwehu kuanza kufikiria negativity
 
Kwani akiwa na mume ndio inazuia nini? Cha msingi ni kutambua mipaka yako.
Hapana unakosea espy
Mwanamke akiwa na mume lazma anakuwa na high capacity of thinking tofauti na mwanamke ambaye ni single,
 
Hapana unakosea espy
Mwanamke akiwa na mume lazma anakuwa na high capacity of thinking tofauti na mwanamke ambaye ni single,
Mmmh so usipoolewa, thinking capacity yako ndo inakuwa low or dormant kabisa? Sometimes marriage has absolutely nothing to do with someone's thinking capacity
 
Upo sahihi, we are on the same line. Hizo msg hizoooo zinaonekana zilikuwa na shidaah huyo mke hakuwa mwehu kuanza kufikiria negativity
Sio kama namtetea, ila kuna wanawake akikuta tu namba yako kwenye simu ya mpenzi wake (sio mume), utakoga matusi ukome. Plus IMO, I don't think it's wise kudeal na mwanamke mwingine, instead of kudeal na mumeo anayekuhusu, yeye ndo wa kuweka limit dhidi ya wanawake wa nje
 
Hao wanawake wa dizain hiyo mimi huwa nahis wa sociological problem ni tofauti na mwanamke ambaye yupo sawa kifikra na kiakili, katika hali ya kawaida huwezi kuta namba ya Mwanamke kwenye cm ya mumeo ukaanza ku react sidhani lazima uwe na tatizo,
 
Mimi huwa najiamini sana na mawazo na fikra zangu.

Huwa nipo vizuri sana katika kuweka mipango na kufanya maamuzi.

Sijawahi kabisa kuhitaji msaada wa kimawazo toka kwa mwanamke.

Mh .... usijali ndugu, na mke wako kuna mtu mawazo yake anayafurahia sana, mke wako anamshauri vizuri, anajua huyaitaji
 
Back
Top Bottom